Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Wewe mwenye akili unaweza kuthibitisha mungu yupo?nionyeshe nini wakati akili zako hazmo.........hauna kitu kichwani wewe
unasema hamna Mungu......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe mwenye akili unaweza kuthibitisha mungu yupo?nionyeshe nini wakati akili zako hazmo.........hauna kitu kichwani wewe
unasema hamna Mungu......
Kwako wewe kuwepo au kutokuwepo kwa mungu hakubadilishi chochote kwako?kwa maana kwamba hata endapo ungepata uthibitisho kuwa mungu yupo je,kusingekuwa na tofauti yeyote kwako?Wewe mwenye akili unaweza kuthibitisha mungu yupo?
Tofauti ingekuwa nimeweza kuthibitishiwa mungu yupo.Kwako wewe kuwepo au kutokuwepo kwa mungu hakubadilishi chochote kwako?kwa maana kwamba hata endapo ungepata uthibitisho kuwa mungu yupo je,kusingekuwa na tofauti yeyote kwako?
Kwa hiyo unakubali kuwa kutakuwa na tofauti endapo itathibitishwa kuwepo kwa mungu?Tofauti ingekuwa nimeweza kuthibitishiwa mungu yupo.
Unaweza kuthibitisha mungu yupo? Hujajibu swali hili.
Tofauti itakosaje kuwepo?Kwa hiyo unakubali kuwa kutakuwa na tofauti endapo itathibitishwa kuwepo kwa mungu?
Kutakuwa na tofauti zipi?Tofauti itakosaje kuwepo?
Tatizo hujathibitisha kuwepo kwa mungu.
Kwamba mungu amethibitishwa.Kutakuwa na tofauti zipi?
Tuanzie hapa, hivi unaamini kwamba kuna mwanzo wa ukoo wako? Kabla ya wazazi wako palikukwa na babu zako ambao pia walikuwa na babu zao na babu zao?Hujatibitisha kwamba mungu yupo.
Wanadamu huzaliwa kwa sexual reproduction inayohitaji wazazi wawili kukutana na kuzaa mtoto, hivyo ni wazi mimi nina wazazi na wao wana wazazi.Tuanzie hapa, hivi unaamini kwamba kuna mwanzo wa ukoo wako? Kabla ya wazazi wako palikukwa na babu zako ambao pia walikuwa na babu zao na babu zao?
Kama jibu ni ndiyo, nini kinachokufanya uamini kwamba palikuwa na waanzilishi wa ukoo wako ambao hujawahi kuwaona??
Kama jibu siyo, then una logic behind what you believe.
Ni sawa wanadamu tunatokana na hiyo sexual reproduction (kwa mujibu wa science)Wanadamu huzaliwa kwa sexual reproduction inayohitaji wazazi wawili kukutana na kuzaa mtoto, hivyo ni wazi mimi nina wazazi na wao wana wazazi.
Habari ya mwanzo wa ukoo inabidi iwe defined vizuri Zaidi. kwanza, ukoo ni nini, unaanzia wapi na kuishia wapi?
Unapimaje huyu ni mtu wa ukoo wangu na huyu si mtu wa ukoo wangu?
What is your point?
Kwa nini unafikiri kuna wazazi wa kwanza kabisa?Ni sawa wanadamu tunatokana na hiyo sexual reproduction (kwa mujibu wa science)
Wale wazazi wa kwanza kabisa kabla ya hii sexual reproduction mwanzo wao nini?
Kwa sababu kila kitu kina mwanzo.....Kwa nini unafikiri kuna wazazi wa kwanza kabisa?
Basi hakuna mungu, kwa sababu naye atakuwa na mwanzo na chanzo chake kitakuwa na mwanzo, na chanzo cha chanzo chake kitakuwa na mwanzo. Ad infinitum, ad absurdia.Kwa sababu kila kitu kina mwanzo.....
Tuzungumzie huyu binadamu ambaye tuna uhakika nae ambae uwepo wake hauna shaka,Basi hakuna mungu, kwa sababu naye atakuwa na mwanzo na chanzo chake kitakuwa na mwanzo, na chanzo cha chanzo chake kitakuwa na mwanzo. Ad infinitum, ad absurdia.
Mwanzo wa number line ni namba ngapi?
Tuzungumzie huyu binadamu ambaye tuna uhakika nae ambae uwepo wake hauna shaka,
Swali langu linarudi pale pale..huyu mwanzo wake ni nini?
Unamtambua huyu ni binadamu kwa "intelligence power"Kwanza kabisa.
Binadamu ni nani?
Unamjuaje huyu ni binadamu na huyu si dinadamu?
Unapimaje "intelligence power" ? Computer ikimzidi binadamu "intelligence power" computer hiyo itakuwa binadamu?Unamtambua huyu ni binadamu kwa "intelligence power"
Tofauti na wanyama wengine binadamu ana uwezo mkubwa wa kutafakari na kuchambua mambo.
"A human being is an intelligence served by organs." Ralph Waldo Emerson