Je! Mungu ni yule yule?

Je! Mungu ni yule yule?

HAKUNA ANAYEWEZA KUMJIBU KIRANGA HOJA ZAKE ....WOTE WANAOJARIBU KUZIJIBU WAMEKUWA WANAISHIA KUONGEA BLAAA BLAA TU "''Jamaa ana maswali mazito mtu ambayo mtu mwenye upeo mdogo hawezi kung'amua kitu
Me japo ni MROMA ila hoja za Kiranga siziwezi kuzijibu.Huwa natulia nasubiri wataalamu waje kujibu ila nao wanakuja kusema amini tu yupo
 
Me japo ni MROMA ila hoja za Kiranga siziwezi kuzijibu.Huwa natulia nasubiri wataalamu waje kujibu ila nao wanakuja kusema amini tu yupo
hahaa utaskia wewe amini tu yupo "" kwani huoni vitu kama peni ..magari .nyumba etc uwepo wa hvyo vitu unabainisha kuwa kuna aliyeviweka ambaye ni binaadamu "" kwa hiyo na uwepo wetu wa binaadamu hapa duniani kuna ambaye amehusika kutuweka......anatokea kiranga anajibu KWAHOJA YAKO HIYO INAMAANA UNADHIHIRISHA WAZI KUWA HUYO ALYEKUWEKA NAYE KUNA AMBAYE ALIMUWEKA .....!!!!
??

HAHAAA mwisho wa siku wanaomuamini MUNGU wanaishia kula chochoro ...kiranga acha kabisaaa yule mtu
 
Tunaporuhusu bongo zetu zitawaliwe na kutaka majibu na ithibati za kidunia kwenye ulimwengu wa roho ndio hapo mkanganyiko unapoanza....
Jambo lolote la kiroho halina ithibati za kisayansi hivyo mtu anapokukazania umthibitishie uwepo wa Mungu nawe ukaanza kubabaika jua umekwisha... Atacheza nawe atakavyo kwakuwa tayari ameshakutega nawe ukategeka
 
Me japo ni MROMA ila hoja za Kiranga siziwezi kuzijibu.Huwa natulia nasubiri wataalamu waje kujibu ila nao wanakuja kusema amini tu yupo
binafsi mimi ni Muslim ..lakini nasema dhahiri kabisaaa Mungu wa hivi vitabu vyetu hivi anamushkeri kwakweli anapaswa kutazamwa kwa jicho LA 3 ...kuna maswali mengi mnooo ukianza kuyauliza kam uko timamu huwezi kupatiwa majibu yake
 
hahaa utaskia wewe amino tu yupo "" kwani huoni vitu kama peni ..magari .nyumba etc uwepo wa hvyo vitu unabainisha kuwa kuna aliyeviweka ambaye ni binaadamu "" kwa hiyo na uwepo wetu wa binaadamu hapa duniani kuna ambaye amehusika kutuweka......anatokea kiranga anajibu KWAHOJA YAKO HIYO INAMAANA UNADHIHIRISHA WAZI KUWA HUYO AKIYEKUWEKA NAYE KUNA AMBAYE ALIMUWEKA .....!!!!

HAHAAA mwisho wa siku wanaomuamini MUNGU wanaishia kula chochoro ...kiranga acha kabisaaa yule mtu
Hiyo avatar yangu,uufute acha kuiga
 
"Maandiko yanasema Mungu ni Roho"

Ili uweze kumuelewa lazima uwe mtu wa kiroho pia. Huwezi kutaka kumthibitisha Mungu kisayansi na aonekane kiuhalisi kama huyo jamaa atakavyo ndio shida ilipokuwa pamoja na wachangiaji walivyomjibu

Lakini hiyo haina maana Mungu hayupo laa Mungu yupo na tunamthibitisha kupitia neno lake maana yote aliyoyasema tunayaona yalitokea yanatokea na yatatokea.
 
Back
Top Bottom