Je! Mungu ni yule yule?

Je! Mungu ni yule yule?

Unataka kukataa proof ya kwamba Mungu hayupo inayotumia logic, halafu hapo hapo unataka tukubali proof yako kwamba Mungu yupo ambayo inatumia logic?

That alone is a contradiction, double standard.

Halafu, hata logic uliyotumia, tukisema tukubali logic, ina makosa.

Umefanya kosa la "non sequitur" katika logic.

Umeunganisha premise na conclusion kwa assumption ambayo haina msingi wa ukweli.

Just because we are here,it does not follow that we were created by God.

It could be something totally different that we don't know.

Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, kama unakubalilogic, tusha prove hayupo.

Kamahukubali logic, huwezi kukubali chochote, hata 1+1 =2, hata huyo Mungu wakohumkubali, maana hata kitendo cha kukubalikitu kipo au hakipo ni logic tayari, kwa hivyo ukikataa logic umekataa kukubali Mungu yupo pia..
Hili neno logic ndio linawadanganya sana.
 
Nani amekataa logic, mkuu usinilishe maneno

Mimi nimeikubali, lakini nimekwambia si njia pekee ya kujua

Lakini pia kupitia logic mtu anaweza kwenda kwenye wrong conclusion

Mfano:-

KESY NI MWANAUME

WANAUME HUWA WANAOA

HIVYO KESY ATAOA....

Je tumesahau tuliwahi kuwa anti KESY ambaye aliolewa?
 
kinachonishangaza mbona duniani kote kuna wanaoabudu miti,ng'ombe 😀😀😀😀😀 ,waislamu wakristo etc mbona hili lipo universally/duniani kote???........................if he wasn't exist then uwepo wake ungeangamia naturally.................I am a believer,if this happens in the world,then must be right....lol
 
That is not a God my friend, that may be some Superman or Batman or King Kong or Godzilla or some very intelligent alien, but not God.
We jamaa unaposema "that is not a God" inamaanisha kwamba there is a God.
 
Hivi wale mnaosema hakuna Mungu mnataka kuniambia uwepo wa dunia hii na viumbe vyote vimetokea bahati mbaya tu??? Yaani mtu una akili ya kujua mema na mabaya, unajua kuwa kuna kupenda, kuoa, kuolewa, kujamiiana, kujuta, kuchukia, kuhuzunika, kufurahi, n.k haya yote yanayotuzunguka, kunyesha mvua, tunapanda na tuna uhakika tutavuna bado tu mtu haamini kwamba kuna Mungu.??!!
Nikikwambia kila mtu ana umungu ndani yake, unaweza kataa?. what if nikikwambia dini ya hindu inaamini kila mtu ana uungu ndani yake je utaibishia hiyo dini?. Badala ya kuuliza Mungu ni nani tunaweza jiuliza Mungu ni nini!!?.
 
Nani amekataa logic, mkuu usinilishe maneno

Mimi nimeikubali, lakini nimekwambia si njia pekee ya kujua

Lakini pia kupitia logic mtu anaweza kwenda kwenye wrong conclusion

Mfano:-

KESY NI MWANAUME

WANAUME HUWA WANAOA

HIVYO KESY ATAOA....

Je tumesahau tuliwahi kuwa anti KESY ambaye aliolewa?

syllogisim,mkuu hio kitu inasumbua....lol
 
That is not a God my friend, that may be some Superman or Batman or King Kong or Godzilla or some very intelligent alien, but not God.
Hahaha umeisoma mada ya Theism?. if not hebu rudi kaisome ujue huyo unayeita Mungu yupo kwenye aina ngapi!.. Otherwise tafuta thread yangu Mungu, Dini na Imani soma some grips!, then your welcome to return with more arguments!.
 
Kumwamini Mungu kunahitaji IMANI na sio logic zenu mnazodai.
MKUU mpka muda huu mmeshindwa kutoa ithibati ya uwepo wa MUNGU wenu "" MUNGU Mwenye upendo "" MUNGU mwenye huruma..Mungu Mwenye uweza wa yote ...ajabu nikwamba Mungu Mwenye uweza wa yote na Mwenye huruma tunaambiwa kuw ameanda moto kwaajili ya kuwachoma watu anaojinadi kuwa anawapenda logic yake kubwa ikiwa nikwasabbu hao watu niwatenda maovu ...swali linakuja kwako upya kama Mungu nimuweza wa yote alishindwa nini kuiumba dunia bila uwepo wa maovu "alishindwa nini kuwafnya watu wote kuwa niwatenda mema ili kuifnya dunia Iwe mahala salama pakuishi pasipo uwepo wa machafuko ...na kama alikuwa anaweza kufnya hivyo kisha hakufnya kwa makusudi inamaaana Mungu huyo sio kwli kwamba ana upendo maana kama angekuwa nao asingeumba viumbe ambavyo ameshindwa kuviweka ktika dunia isiyo na dhambi kwaajili ya uweza wake wote kisha kwa makusudi anakwenda kuvichoma ...
huo upendo wake uko wapi hapo "" hivi ina ingia akilini kweli ??

mungu huyu anastaajabisha mnooo
 
Muite mm nitamjibu
HAKUNA ANAYEWEZA KUMJIBU KIRANGA HOJA ZAKE ....WOTE WANAOJARIBU KUZIJIBU WAMEKUWA WANAISHIA KUONGEA BLAAA BLAA TU "''Jamaa ana maswali mazito mtu ambayo mtu mwenye upeo mdogo hawezi kung'amua kitu
 
Yupo na mwenzake Al watan nae anahoja kama hizo [emoji16][emoji16]
hahaa utaskia wewe amini tu yupo "" kwani huoni vitu kama peni ..magari .nyumba etc uwepo wa hvyo vitu unabainisha kuwa kuna aliyeviweka ambaye ni binaadamu "" kwa hiyo na uwepo wetu wa binaadamu hapa duniani kuna ambaye amehusika kutuweka......anatokea kiranga anajibu KWAHOJA YAKO HIYO INAMAANA UNADHIHIRISHA WAZI KUWA HUYO ALYEKUWEKA NAYE KUNA AMBAYE ALIMUWEKA .....!!!!
??

HAHAAA mwisho wa siku wanaomuamini MUNGU wanaishia kula chochoro ...kiranga acha kabisaaa yule mtu
 
kinachonishangaza mbona duniani kote kuna wanaoabudu miti,ng'ombe 😀😀😀😀😀 ,waislamu wakristo etc mbona hili lipo universally/duniani kote???........................if he wasn't exist then uwepo wake ungeangamia naturally.................I am a believer,if this happens in the world,then must be right....lol
Mama katika imani juu ya Mungu wengi wetu huamini Mungu ni kitu kimoja lakini kuna aina kuu 3 za imni juu ya Mungu, 1. Monotheism 2. Polytheism na 3.Deism Lakini Majority ya dini duniani zinaamini katika hiyo aina ya kwanza Monotheism.
Ili kuweza kukuza na kuweza kucounter check hiyo nadharia ya imani kuangamia naturally nashauri zielewe aina zote tatu!..
Ukristo, uislamu, uyahudi na some other dini wanaamini katika Mungu mmoja which is that Monotheism lakini what if nikikwambia kuna watu wanaamini katika uungu ndani yao, what about wale wanaoamini ng'ombe hawa how will their faith die?... sorry kama nimetumia harsh terms!
 
Yupo na mwenzake Al watan nae anahoja kama hizo [emoji16][emoji16]
hahaaa Alwatan ..njoo huku mkuu
naona wanamchosha tu kaka yangu kiranga "" hoja zao mfu ..lakini wapi hawataki kukubali ..daahh ama kweli imani nikitu kibaya sana
 
We jamaa unaposema "that is not a God" inamaanisha kwamba there is a God.
There is an idea of a God.That does not mean there is a God.

God is a character in a fiction, like Willy Gamba and 007 James Bond.
 
Back
Top Bottom