sayeir
Member
- Mar 20, 2018
- 30
- 3
Socratic debate tiririka mzeeHakuna kujadiliana bila kuulizana maswali.
Na ukikataa kujibu maswali, umekataa kujadiliana.
Wengine mijadala yetu inaenda kwa Socratic method.
Unaijua Socratic method?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Socratic debate tiririka mzeeHakuna kujadiliana bila kuulizana maswali.
Na ukikataa kujibu maswali, umekataa kujadiliana.
Wengine mijadala yetu inaenda kwa Socratic method.
Unaijua Socratic method?
Socratic method inahusisha majadiliano kwa maswali, mpaka maswali yanapoonesha contradiction inayo expose mapungufu katika hoja, halafu watu wanaona mapungufu ya hoja yako wapi na hoja isiyo na mapungufu ipo wapi.Socratic debate tiririka mzee
Una ng'ang'ana hapo labda pengine hauwezi kuendelea na huu mjadala sababu utalazimika kueleza nilipokosea na sidhani kama kuna hiyo sehemu.Hakuna kujadiliana bila kuulizana maswali.
Na ukikataa kujibu maswali, umekataa kujadiliana.
Wengine mijadala yetu inaenda kwa Socratic method.
Unaijua Socratic method?
Inahitaji imani kusema kuwa hakuna mungu na si hivyo unavyofikiri wewe mkuu.We hatari mkuu watakubali tu we usichoke kuwafundisha kuwa mungu hayupo watakuelewa tu
Umepewa nafasi ya kuonesha hayo mapungufu ila hadi sasa haujaonesha hayo mapungufu,ajabu umeng'ang'ana ujibiwe maswali ili uone upungufu.Socratic method inahusisha majadiliano kwa maswali, mpaka maswali yanapoonesha contradiction inayo expose mapungufu katika hoja, halafu watu wanaona mapungufu ya hoja yako wapi na hoja isiyo na mapungufu ipo wapi.
Sasa mtu unamuuliza maswali ili mchambue hoja kwa Socratic method, anakataa kujibu maswali.
Mapungufu ya hoja tutayajua vipi kama mtu hataki kujibu maswali?
Nakupeleka kwenye tovuti ya Chuo Kikuu cha Chicago uone walivyoandika.
The Socratic Method | University of Chicago Law School
The Socratic Method
Socrates (470-399 BC) was a Greek philosopher who, despite being considered one of the greatest and most important philosophers who ever lived, left no writings at all. Most of what we know about his life and work comes from the writings of his disciples, Xenophon and Plato. He lived during a period of transition in the Greek empire, and after the Peloponnesian War, he was tried, convicted, and executed for corrupting the young.
Socrates engaged in questioning of his students in an unending search for truth. He sought to get to the foundations of his students' and colleagues' views by asking continual questions until a contradiction was exposed, thus proving the fallacy of the initial assumption. This became known as the Socratic Method, and may be Socrates' most enduring contribution to philosophy.
Tatizo unadhani sana, nikikuuliza ili tuondoke kwenye kudhani, tufanye uhakiki, hutaki kujibu maswali.Una ng'ang'ana hapo labda pengine hauwezi kuendelea na huu mjadala sababu utalazimika kueleza nilipokosea na sidhani kama kuna hiyo sehemu.
Pungufu la kwanzahutaki kujibu maswali.Umepewa nafasi ya kuonesha hayo mapungufu ila hadi sasa haujaonesha hayo mapungufu,ajabu umeng'ang'ana ujibiwe maswali ili uone upungufu.
Aamini yeye mwenyewe lakini sio kuaminisha watu wengineWe hatari mkuu watakubali tu we usichoke kuwafundisha kuwa mungu hayupo watakuelewa tu
Utasemaje nakimbia maswali wakati ndiyo nayetaka twende moja kwa moja kwenye lengo la kuuliza hayo maswali ila wewe ndiye hautaki. Wewe umeona mahali nilipokosea na ndiyo chanzo cha kuuliza hayo maswali na mie kutambua hilo nikakupa nafasi ya kuonesha hapo nilipokosea ila ajabu hautaki kufanya na kufanya kukwamisha mjadala.Tatizo unadhani sana, nikikuuliza ili tuondoke kwenye kudhani, tufanye uhakiki, hutaki kujibu maswali.
Kama kuna anayekimbia kwa kutoweza kuendelea, ni anayekimbia maswali.
Si anayeuliza maswali.
Nimekwambia lengo la maswali ni kufanya majadiliano kwa "Socratoc Method".Utasemaje nakimbia maswali wakati ndiyo nayetaka twende moja kwa moja kwenye lengo la kuuliza hayo maswali ila wewe ndiye hautaki. Wewe umeona mahali nilipokosea na ndiyo chanzo cha kuuliza hayo maswali na mie kutambua hilo nikakupa nafasi ya kuonesha hapo nilipokosea ila ajabu hautaki kufanya na kufanya kukwamisha mjadala.
Ni sawa na mtu mwenye haja na kutaka kujisaidia ila analazimisha kwenda uwani kwamba ndio kuna choo wakati ndani pia kuna choo na hakina tatizo.
Unajuaje kwamba hiyo nguvu ni Mungu na si kitu kingine chochote?Japokuwa naendelea kujifunza ila hadi sasa naamini kuna nguvu inayoofanya kazi ndani na nje yangu (Mungu) ila nakataa katakata kuwa biblia, au vitabu vya kidini vingine vinatoa uhalisia wa nguvu hiyo (Mungu). Akili yangu inanituma kuwa Mungu yupo tofauti kabisa na jinsi watu au vitabu vya kidini vya dunia vinavyomueleza.
Period.
Mu ngu siyo kitu au kiumbe kinachosimama chenyewe. (Kama tunavyoweza kusema huu ni mti kila MTU anaauona kuwa ni mti) Mungu ni neno linaloeleza nguvu inayoendesha maisha katika ulimwengu moja kwa moja au kupitia kanuni zilizowekwa nayo tangu na tangu.Unajuaje kwamba hiyo nguvu ni Mungu na si kitu kingine chochote?
Kwa hiyo kama nguvu inayoendesha maisha katika ulimwengu ni The Second Law of Thermodynamics, Mungu ni The Second Law of Thermodynamics?Mu ngu siyo kitu au kiumbe kinachosimama chenyewe. (Kama tunavyoweza kusema huu ni mti kila MTU anaauona kuwa ni mti) Mungu ni neno linaloeleza nguvu inayoendesha maisha katika ulimwengu moja kwa moja au kupitia kanuni zilizowekwa nayo tangu na tangu.
Hiyo ni kwa mujibu wa uelewa wangu na naamini hivyo.
The Second Law of Thermodynamics ina gorvern hekima, upendo, furaha ya ainabinadamu?Kwa hiyo kama nguvu inayoendesha maisha katika ulimwengu ni The Second Law of Thermodynamics, Mungu ni The Second Law of Thermodynamics?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]The Second Law of Thermodynamics ina gorvern hekima, upendo, furaha ya ainabinadamu?
Kwanza unafahamu The Second Law of Thermodynamics, inasemaje na ni nini?The Second Law of Thermodynamics ina gorvern hekima, upendo, furaha ya ainabinadamu?
Nimekuuliza kuwa The Second Law of Thermodynamics inaongoza furaha, hekima na mambo mengine kwa binadamu kwa sababu nguvu hiyo ninayoiamini Mimi (Mungu) ina uwezo wa kufanya hayo. Kwa hiyo nilitarajia jibu la ndiyo au hapana. Kama The Second Law of Thermodynamics inaweza kufanya hayo niliyoyataja hapo juu basi The Second Law of Thermodynamics ndiyo Mungu lakini kama hapana basi katika akili yako ujue kuna nguvu kubwa zaidi ya hako ka Second Law of Thermodynamics. Kwa hiyo jibu swali, The Second Law of Thermodynamics inaweza kufanya mtu akawa na amani ya moyo kama akiihitaji kutoka kwayo, The Second Law of Thermodynamics inaweza kumpa mtu tumaini akiwa wakati mgumu? Nadhani ukijibu hili swali hakutakuwa na majadiliano tena.Kwanza unafahamu The Second Law of Thermodynamics, inasemaje na ni nini?
Umeandika "Mu ngu siyo kitu au kiumbe kinachosimama chenyewe. (Kama tunavyoweza kusema huu ni mti kila MTU anaauona kuwa ni mti) Mungu ni neno linaloeleza nguvu inayoendesha maisha katika ulimwengu moja kwa moja au kupitia kanuni zilizowekwa nayo tangu na tangu.
Hiyo ni kwa mujibu wa uelewa wangu na naamini hivyo."
Nikakuambia, "Kwa hiyo kama nguvu inayoendesha maisha katika ulimwengu ni The Second Law of Thermodynamics, Mungu ni The Second Law of Thermodynamics?"
Umekubali kwamba nguvu inayoendesha maisha katika ulimwengu ni Mungu, kabla hata hujaichunguza na kuijua hiyo nguvu.
Nakuuliza, ukiambiwa kwamba uchunguzi wote umeonesha kwamba nguvu hiyo ni The Second Law of Thermodynamics, utakubali The Second Law of Thermodynamics ni Mungu?
Umekipa jina la Mungu kitu usichokijua, ninakuuliza, ukiambiwa kitu hicho ulichokubali kukiita Mungu ni kitu A utakubali?
Umefanya makosa kuanza kukubali kwamba kinachoongoza maisha ni Mungu bila hata kujua kinachoongoza maisha ni nini.
Umetoa jibu kabla ya kuelewa unachojibu ni nini.Nimekuuliza kuwa The Second Law of Thermodynamics inaongoza furaha, hekima na mambo mengine kwa binadamu kwa sababu nguvu hiyo ninayoiamini Mimi (Mungu) ina uwezo wa kufanya hayo. Kwa hiyo nilitarajia jibu la ndiyo au hapana. Kama The Second Law of Thermodynamics inaweza kufanya hayo niliyoyataja hapo juu basi The Second Law of Thermodynamics ndiyo Mungu lakini kama hapana basi katika akili yako ujue kuna nguvu kubwa zaidi ya hako ka Second Law of Thermodynamics. Kwa hiyo jibu swali, The Second Law of Thermodynamics inaweza kufanya mtu akawa na amani ya moyo kama akiihitaji kutoka kwayo, The Second Law of Thermodynamics inaweza kumpa mtu tumaini akiwa wakati mgumu? Nadhani ukijibu hili swali hakutakuwa na majadiliano tena.