Je! Mungu ni yule yule?

Je! Mungu ni yule yule?

Huna uthibitisho ukiwa ndani, kwa vile nyumba haina madirisha huwezi kuona nje.

Hivyo unatoka nje ili uone vizuri na kuthibitisha kwamba sauti ile inatokana na mvua au magari.

Unatoka nje na kuthibitisha kwamba sauti inatokana na mvua, mvua inanyesha, hakuna gari.

Hapo cha ajabu ni nini?
Hahaha...mkuu mbona unaanza kuchekesha tena? Yani et huna uthibitisho kwa kuwa upo ndani,sasa hauna uthibitisho kwa kuwa upo ndani au ndiyo kutokuwa na uthibitisho kwenye huko?

Halafu hapo hapo unasema utoke nje ili uone vizuri!! na kuthibitisha!

Mi naona unalazimisha tu hapa.
 
Ninacholazimisha nini ni?

Unapokwenda Posta wakati huna uhakika kwamba sanduku lakola barua lina barua au halina barua, lakini una imanilitakuwa na barua kwa kuwa unategemea mtu fulani atakuandikia, kablahujaenda posta kuthibitisha,hiyo ni imani.

Ukienda Posta , ukafungua sanduku laPosta, ukaiona baruauliyotegemea,umethibitisha kwamba barua imetumwa kwakona imefikakatikasanduku lako la posta.

Hapo nilipolazimisha ni wapi? Nimelazimisha nini? Kivipi?

Hebu nieleze vizuri nipate kuelewa kamaunavyoelewa wewe na ulivyofikiakuona nalazimisha.
 
Kwanza kabisa, sijataka u prove Mungu kwa mtindo niutakao mimi, nimetakau prove Mungu yupo kwa mtindo usiojipinga wenyewe.

Ndoto zote ni activity katika ubongo, ukiweza ku rekodi activity katika ubongo utaweza kurekodi ndoto uliyoota jana kama unavyoweza kurekodi maneno uliyerokodi jana.

Kusema umeota kitu jana si ajabu kwa sababu almost kila mtu anaota, na dhana ya kuota haina contradiction.

Dhana ya kuwepo kwa Mungu ina contradiction.

Na hata ukishindwa kurekodi ndoto ulizoota jana, hilo halithibitishi Mungu yupo.

Unaweza kuthibitisha Mungu yupo? Hilo ndilo swali.
Life span =45years
You will see the truth...we are in a diferent dimensional reality with god we cant make physical pruf on the phenomena which is in another dimentio mfano mzuri dream and real world.
 
Hujathibitisha kwamba Mungu yupo.

Na wala hujaelewa nilichoomba. Sijaomba physical proof. Nimeomba proof hata kwa logical argument. That is not physical proof.

Hujathibitisha kwamba Mungu yupo.

Umethibitisha kwamba huwezi kuthibitisha kwamba Mungu yupo.

Unajua kwa nini huwezi kuthibitisha kwamba Mungu yupo?

Kwa sababu hayupo.
 
Mkuu ulipotea sana karibu tafadhali, hivi ni nini kinachoamua sasa afe huyu na kesho afe huyu
 
Hujathibitisha kwamba Mungu yupo.

Na wala hujaelewa nilichoomba. Sijaomba physical proof. Nimeomba proof hata kwa logical argument. That is not physical proof.

Hujathibitisha kwamba Mungu yupo.

Umethibitisha kwamba huwezi kuthibitisha kwamba Mungu yupo.

Unajua kwa nini huwezi kuthibitisha kwamba Mungu yupo?

Kwa sababu hayupo.
Nlishaga wahi kukupa katika uzi wako ukazikataa zoote.
 
Ninacholazimisha nini ni?

Unapokwenda Posta wakati huna uhakika kwamba sanduku lakola barua lina barua au halina barua, lakini una imanilitakuwa na barua kwa kuwa unategemea mtu fulani atakuandikia, kablahujaenda posta kuthibitisha,hiyo ni imani.

Ukienda Posta , ukafungua sanduku laPosta, ukaiona baruauliyotegemea,umethibitisha kwamba barua imetumwa kwakona imefikakatikasanduku lako la posta.

Hapo nilipolazimisha ni wapi? Nimelazimisha nini? Kivipi?

Hebu nieleze vizuri nipate kuelewa kamaunavyoelewa wewe na ulivyofikiakuona nalazimisha.

Utazidi kuongeza mifano tu ila tatizo liko pale pale,kwamba hauwezi kuthibitisha usicho na uthibitisho nacho.

Kitendo cha wewe kwenda hadi kwenye sanduku la posta ili kujua kama kuna barua au hakuna hauwezi kusema huko ni kuthibisha,pengine labda maana ya kuthibitisha ni nyengine kabisa unayokusudia wewe.

Kwa uthibitisho wa aina hii hata tunaoamini tunaweza kusema tunaweza kuthibitisha kwa kusema ukifa ndiyo itathibitika kuwa mungu yupo.
 
Hujathibitisha,unasemautathibitisha.

Kwa msingihuo, yeyote anaweza kudai chochote, na kusema atathibitisha.

Naweza kuja kutaka kukutoa kwenye nyumba yako, nikidai ni yangu, ukiniambia nitoe uthibitisho wa hati ya nyumba na nyaraka zote, nikikwambia nitathibitisha nikifa, utakubali kuniachia nyumba?
 
Waislamu nao wanaabudu Mungu. Wa kwao na wa wakristo anafanana au wana tofauti gani? Watu wa Asia kama Uchina na Japan wao vipi na Mungu au miungu yao? Kama wako na miungu, je Mungu huwafanyaje wakifa?
 
Hujathibitisha,unasemautathibitisha.

Kwa msingihuo, yeyote anaweza kudai chochote, na kusema atathibitisha.

Naweza kuja kutaka kukutoa kwenye nyumba yako, nikidai ni yangu, ukiniambia nitoe uthibitisho wa hati ya nyumba na nyaraka zote, nikikwambia nitathibitisha nikifa, utakubali kuniachia nyumba?
Kama umeweza kukubali kuwa mtu asiye na uthibitisho anaweza kuthibitisha pia inashindikana vp na hilo?

Yani useme sauti inayosikikika nje ni ya kitu fulani na uthibitisho hauna et kwa sababu upo ndani,lakini et ukitoka nje ndiyo utathibitisha.

Sasa kama mazingira ya kuthibitisha yanahitaji hadi ufe utakataa?
 
Kwa nini Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote atunyime mazingira ya kuthibitisha sasa hivi, afanye mazingira ya kuthibitisha yasubiri mpaka kifo?

Akitaka kunihukumu baada ya kifo, nikamwambia hukumu hiyo si ya haki, kwa sababu alikuwa hajanipa mazingira ya kuthibitisha kwamba yupo kabla sijafa, nimeweza kuthibitisha kwamba yupo baada ya kufa tu, atajitetea vipi?

Kwa nini Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote asijiweke wazi kwa namna ambayo haiwezi kuwekewa shaka au kupingika na mtu yeyote?

Kinachokufanya uamini Mungu yupo na kajificha tu, utapata uthibitisho baada ya kufariki tu ni kipi? Kina mantiki? Au unakiamini kwa hisia tu kama mtu anayeweza kuamini kwamba kwenye visiwa vya Antipodes kuna pembetatu yenye pembe sita?

Nikikwambia kwenye visiwa vya Antipodes kuna pembetatu yenye pembe sita, utakubali?
 
Hujathibitisha,unasemautathibitisha.

Kwa msingihuo, yeyote anaweza kudai chochote, na kusema atathibitisha.

Naweza kuja kutaka kukutoa kwenye nyumba yako, nikidai ni yangu, ukiniambia nitoe uthibitisho wa hati ya nyumba na nyaraka zote, nikikwambia nitathibitisha nikifa, utakubali kuniachia nyumba?
any thing beyond your sense kuthibisha ni ngumu
mfano kama binaadamu tusingrkuwa na masikio je tungejua kuwa kuna kitu kinaitwa sauti?
defence mechanism tunaangukia kwenye belifs kiranga.
first ukitaka kujua mungu yupo kwanza jenga imani.
imani ndio key word.
 
Sina tatizo na imani.

Naamini jua litachomoza kesho.

Kwa nini?

Kuna ushahidi mkubwa sana kwa kuangalia nyuma. Jua halijawahi kushindwa kuchomoza miaka yote.

Kuna ushahidi mkubwa sana unaoelezea jua linavyofanya kazi, na halielekei kuzimika kabla ya kesho kwa sababu yoyote inayojulikana.

Hakuna kujipinga (contradiction) katika dhana ya kwamba jua litachomoza kesho.

Kwa hiyo imani ya kwamba jua litachomoza kesho hainipi tabu. In fact mtu atakayekuja na imani kwamba jua halitachomiza kesho ndiye nitaona imani hii inanipa tabu.

Sasa imani ya kuwepo Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, ambaye kaumba dunia hii, ina matatizo mengi.

Moja kubwa kabisa ni la contradiction.

Dhana ya Mungu huyo kiwepo, inajipinga yenyewe.

Ninsawa na dhananya kuwepo "pembe tatu yenye pembe sita" katika Euclidean plane geometry.

Kabla sijaipinga dhana, definition yake tu inajipinga yenyewe. Hivyo dhana haiwezi kuwepo kiuhalisi.

Sababu ile ile inayofanya kusiwepo pembetatu yenye pembe sita katika Euclidean plane geometry, ndiyo hiyo hiyo inayofanya Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote ambaye kaumba ulimwengu huu, asiweze kuwepo.

Contradiction.
 
endapo binaadamu tungeumbwa hatuna masikio je ..kiranga angepata ushahidi/proofs kuwa kuna uwezekano wa kuwepo kwa kitu kinaitwa sauti? kuhusu jua achana nalo..tumesha zoea {mazoea kama ulivyo sema} jua linatoka na tunaliona hapa nataka kulenga kitu kilicho beyond our sense.
 
Sasa na mimi nikikwambia hujui kwamba Mungu hayupo kwa sababu huna masikio ya kujua kwamba Mungu hayupo (akili ya kufikiri kimantiki bila woga na uongo wa dini) utanijibu vipi?
 
Kwa nini Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote atunyime mazingira ya kuthibitisha sasa hivi, afanye mazingira ya kuthibitisha yasubiri mpaka kifo?

Akitaka kunihukumu baada ya kifo, nikamwambia hukumu hiyo si ya haki, kwa sababu alikuwa hajanipa mazingira ya kuthibitisha kwamba yupo kabla sijafa, nimeweza kuthibitisha kwamba yupo baada ya kufa tu, atajitetea vipi?

Kwa nini Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote asijiweke wazi kwa namna ambayo haiwezi kuwekewa shaka au kupingika na mtu yeyote?

Kinachokufanya uamini Mungu yupo na kajificha tu, utapata uthibitisho baada ya kufariki tu ni kipi? Kina mantiki? Au unakiamini kwa hisia tu kama mtu anayeweza kuamini kwamba kwenye visiwa vya Antipodes kuna pembetatu yenye pembe sita?

Nikikwambia kwenye visiwa vya Antipodes kuna pembetatu yenye pembe sita, utakubali?

Nimekuuliza kama mazingira ya kuthibitisha yanahitaji hadi ufe utakataa?kama yalivyo mazingira ya kuthibitisha sauti unazosikia nje ni lazima hadi utoke nje.
 
Kwa nini yahitaji mpaka nife?

Mungu huyo alishindwa kuweka mazingira ya kumthibitisha kwamba yupo kabla ya kufa?
 
Sina tatizo na imani.

Naamini jua litachomoza kesho.

Kwa nini?

Kuna ushahidi mkubwa sana kwa kuangalia nyuma. Jua halijawahi kushindwa kuchomoza miaka yote.

Kuna ushahidi mkubwa sana unaoelezea jua linavyofanya kazi, na halielekei kuzimika kabla ya kesho kwa sababu yoyote inayojulikana.

Hakuna kujipinga (contradiction) katika dhana ya kwamba jua litachomoza kesho.

Kwa hiyo imani ya kwamba jua litachomoza kesho hainipi tabu. In fact mtu atakayekuja na imani kwamba jua halitachomiza kesho ndiye nitaona imani hii inanipa tabu.

Sasa imani ya kuwepo Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, ambaye kaumba dunia hii, ina matatizo mengi.

Moja kubwa kabisa ni la contradiction.

Dhana ya Mungu huyo kiwepo, inajipinga yenyewe.

Ninsawa na dhananya kuwepo "pembe tatu yenye pembe sita" katika Euclidean plane geometry.

Kabla sijaipinga dhana, definition yake tu inajipinga yenyewe. Hivyo dhana haiwezi kuwepo kiuhalisi.

Sababu ile ile inayofanya kusiwepo pembetatu yenye pembe sita katika Euclidean plane geometry, ndiyo hiyo hiyo inayofanya Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote ambaye kaumba ulimwengu huu, asiweze kuwepo.

Contradiction.
nimegundua kiranga unadauti na mungu kwa sababu ya kuwepo na matatizo mengi duniani(vta njaa n.k)
acc
Kwa nini yahitaji mpaka nife?

Mungu huyo alishindwa kuweka mazingira ya kumthibitisha kwamba yupo kabla ya kufa?
Mazingira yapo mengi tuu ..ila wewe huamini kuwa hayo mazingira ni ishara tosha..ila ukifa ndio utakuwa waona live uwepo wake bila kubabaika.
Kama ishara za kwenye plane hii umeziona hazina mashiko basi jibu zuri utalipata katika umauti .
 
Back
Top Bottom