any thing beyond your sense kuthibisha ni ngumu
mfano kama binaadamu tusingrkuwa na masikio je tungejua kuwa kuna kitu kinaitwa sauti?
defence mechanism tunaangukia kwenye belifs kiranga.
first ukitaka kujua mungu yupo kwanza jenga imani.
imani ndio key word.
Sina tatizo na imani.
Naamini jua litachomoza kesho.
Kwa nini?
Kuna ushahidi mkubwa sana kwa kuangalia nyuma. Jua halijawahi kushindwa kuchomoza miaka yote.
Kuna ushahidi mkubwa sana unaoelezea jua linavyofanya kazi, na halielekei kuzimika kabla ya kesho kwa sababu yoyote inayojulikana.
Hakuna kujipinga (contradiction) katika dhana ya kwamba jua litachomoza kesho.
Kwa hiyo imani ya kwamba jua litachomoza kesho hainipi tabu. In fact mtu atakayekuja na imani kwamba jua halitachomiza kesho ndiye nitaona imani hii inanipa tabu.
Sasa imani ya kuwepo Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, ambaye kaumba dunia hii, ina matatizo mengi.
Moja kubwa kabisa ni la contradiction.
Dhana ya Mungu huyo kiwepo, inajipinga yenyewe.
Ninsawa na dhananya kuwepo "pembe tatu yenye pembe sita" katika Euclidean plane geometry.
Kabla sijaipinga dhana, definition yake tu inajipinga yenyewe. Hivyo dhana haiwezi kuwepo kiuhalisi.
Sababu ile ile inayofanya kusiwepo pembetatu yenye pembe sita katika Euclidean plane geometry, ndiyo hiyo hiyo inayofanya Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote ambaye kaumba ulimwengu huu, asiweze kuwepo.
Contradiction.