Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Hujaondoa contradiction ya problem of evil.nimegundua kiranga unadauti na mungu kwa sababu ya kuwepo na matatizo mengi duniani(vta njaa n.k)
acc
Mazingira yapo mengi tuu ..ila wewe huamini kuwa hayo mazingira ni ishara tosha..ila ukifa ndio utakuwa waona live uwepo wake bila kubabaika.
Kama ishara za kwenye plane hii umeziona hazina mashiko basi jibu zuri utalipata katika umauti .
Kwa nini Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?
Hujajibu swali hili.