Grace glory
JF-Expert Member
- Feb 17, 2018
- 374
- 531
Wewe mungu alishawahi kukupnesha ukweli gani na kwa namna gani? Unaweza kuwathibitshia kwa mantiki jinsi mungu amekuonesha? Mnasema kuwa mungu anadeal nawatu wachache anaacha wengi kwann? Kwamba wengi wanamzidia yeye uwezo wake ni mdogo yaan kama gar linabeba tani200 huwez kulibebesha tan 500 au ndio mbigu ni ndogo sana haiwatoshi watu wote? Najua tu unaongelea upande wa kanisa lako tofaut na roman catholic haya tuambie, huko kwenu mnatakiwa muwaue mashoga? Au msiwazae mashoga?Mungu hajawahi kudeal na kundi kubwa la watu, yeye sikuzote anakuwa nakikundi kidogo pemben kinachomuamini
Atakama ni wa chache
Kipind cha nuhu alikuwa na wanne
Kipind cha ruth sodoma na gomora alikiwa na nane tuu
Kipind cha yesu vile vile
Usizan kanisa lako kusali watu mashuhuri basi mungu atakuwepo umo.
Ama kisa ni watu wengi.
Mara mtume na nabii.
Inabidi umuombe mungu akuonyeshe ukweli.
Usimuwekee mpaka
Mara mbona kanisa letu halisemi hvyo, padri wetu hajawah kutufundisha ayo
Luka 12:32
[32]Msiogope, enyi kundi dogo; kwa kuwa Baba yenu ameona vema kuwapa ule ufalme.
Mithali 14:12
[12]Iko njia ionekanayo kuwa sawa machoni pa mtu,
Lakini mwisho wake ni njia za mauti.
There is a way which seemeth right unto a man, but the end thereof are the ways of death.
.
Tueleweshe tu kuhusu hayo mambo ya akina nuhu tuachane nayo kwanza nitakuuliza kesho.