Uislam hauna tofaut sana na uroman
Wote wanaabudu vitu.
Isipokuwa mromani anaabudu miungu yake mitatu(baba, mwana na mama) wazi wazi na kusujudu na kubusu na kuwaomba kwenye sala zao
Ila uislamu waliwekewa hvyo ndni ya kijumba wao wasali nje kukielekea kijumba iko
Ni wale wale wote ni waabudu vtu na masanamu.
Biblia inasema mungu ni mmoja
Na hakuna kamwe miungu watatu
Ila mungu mmoja tu apa anafanya kazi kama baba apa km mwana apa anaporudi kama roho mtakatifu
Katoliki ndio ilimgawa mungu vipande vitatu ili waendane na imani zao za awali za kipagani zakuwa na miungu mitatu.
Na wameiaminisha dunia hvyoo
1 Wakorintho 8:6
[6]lakini kwetu sisi Mungu ni mmoja tu, aliye Baba, ambaye vitu vyote vimetoka kwake, nasi tunaishi kwake; yuko na Bwana mmoja Yesu Kristo, ambaye kwake vitu vyote vimekuwapo, na sisi kwa yeye huyo.
1 Timotheo 2:5
[5]Kwa sababu Mungu ni mmoja, na mpatanishi kati ya Mungu na wanadamu ni mmoja, Mwanadamu Kristo Yesu;
Mathayo 1:23
[23]Tazama, bikira atachukua mimba,
Naye atazaa mwana;
Nao watamwita jina lake Imanueli;
Yaani, Mungu pamoja nasi.
Isaya 9:6
[6]Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa,
Tumepewa mtoto mwanamume;
Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake;
Naye ataitwa jina lake,
Mshauri wa ajabu, Mungu mwenye nguvu,
Baba wa milele, Mfalme wa amani.
Uyo mtoto ni baba piaa
Yohana 14:8-9
[8]Filipo akamwambia, Bwana, utuonyeshe Baba, yatutosha.
[9]Yesu akamwambia, Mimi nimekuwapo pamoja nanyi siku hizi zote, wewe usinijue, Filipo? Aliyeniona mimi amemwona Baba; basi wewe wasemaje, Utuonyeshe Baba?
Mungu yule yule na ni mmoja