Je, Mungu wa Wakatoliki amebadilika au Wakatoliki wamepata Mungu mwingine?

Makasisi mashoga, mapadri mashoga, unategemea waumini wao waweje?

Ni kama kumpigia mbuzi gita.


Uislam ni mwema sana.

Uislam huu unaotegemea ugaidi ili kueneza dini?!
Labda haujui maana ya neno mwema.
 
Na wala hilo halishangazi sana. Kinachosikitisha na kuumiza zaidi ni pale ambapo, waumini wake wasiojua vizuri ulaghai wa Ukatoliki, wanaukumbatia kama kanisa halisi la Mungu duniani![emoji24][emoji24][emoji24]
INASIKITISHA SANA,NA MUNGU ANASEMA WATU WANGU WANAANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA WAO! WAMO TU,BIBLIA IPO SI WASOME TU KUANZIA MWANZO MPAKA UFUNUO WATAGUNDUA? NA WAMUOMBE MUNGU KWANZA AWAFUNULIE KABLA YA KUSOMA WATAELEWA NA WATATOKA HUKO BABELI KWENYE MACHAFUKO
 
Tunapenda sana dini zetu kuliko kumpenda MUNGU.

"Mkinipenda mtazishika amri zangu" Yohana 14:15
 
Na wala hilo halishangazi sana. Kinachosikitisha na kuumiza zaidi ni pale ambapo, waumini wake wasiojua vizuri ulaghai wa Ukatoliki, wanaukumbatia kama kanisa halisi la Mungu duniani![emoji24][emoji24][emoji24]
Unajuaje kama hawajui?
Kwani mchawi hajui kwamba uchawi ni mbaya?
Wanajua sana kuwa walishaingizwa chaka,lakini hawawezi kuachana na dini hiyo kwani inawaunganisha na kutokana na fahari ya uwekezaji wake,watu wengi wanaona fahari kuwa sehemu ya dini. hiyo.
Kuna hata wengine pamoja na mapungufu hayo,bado wanatamani kuwa wakatoliki,ili wawe sehemu za jumuia zenye nguvu sana mitaani.Wanashirikiana sana katika matukio ya kijamii

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Leta Ushahidi wa Kanisa Katoliki kupinga hivyo vifungu.
Soma kwa umakini, ili uelewe hoja. Usiharakishe kujibu kabla hujaelewa msingi wa swali.

Hoja na swali lenyewe hivi hapa:👇

Nyongeza:
^Ulimwengu wote wa Ukristo uko katika hatari kuu.... Nendeni, kairejesheni Bethlehemu mahali alipozaliwa Bwana wetu na kaburi Lake Yerusalemu. Wote waendao nitawapa msamaha kamili wa dhambi zao na hakikisho la kuingia mbinguni.^

Hiyo ni sehemu ya waraka mojawapo mashuhuri wa Ukatoliki.

Hivi unaona maneno hayo ni kama sauti ya Mkristu anayemwamini Yesu kuwa ndiye pekee Njia, Kweli na Uzima?

Hivi siyo sauti ya mtu ambaye amepoka mamlaka ya Mungu na kujidai anasamehe dhambi?

👉^Ni nani awezaye kusamehe dhambi isipokuwa Mmoja, Mungu?^ Marko 2:7
 
Mwisho wa siku itapendeza ukimtafuta Mungu zaidi kuliko kutafuta kanisa lipi linafanya sahihi kuliko lingine.
Unajua kweli maana ya Kanisa la Mungu? Je, unajua kazi zake na umuhimu wa washarika kuwa pamoja katika umoja?

Kumtafuta Mungu na kulijua Kanisa sahihi la Mungu ni mambo mawili yanayotegemeana kikamilifu.

Kanisa ni mwili mmoja wa Kristu, na ndiye kichwa cha kanisa. Efeso 2:16; 1:23; 5:23; Kolosai 1:18.

👉 wala tusiache kukusanyika pamoja,
kama ilivyo desturi ya wengine; bali tuonyane; na kuzidi kufanya hivyo, kwa kadiri mwonavyo siku ile kuwa inakaribia. -Waebrania 10:25
 
👉Waacheni; hao ni viongozi vipofu wa vipofu. Na kipofu akimwongoza kipofu mwenzake, watatumbukia shimoni wote wawili. - Mathayo 15:14
 
When Muhamad the prophet of Islam started preaching his new religion in Mecca, he was conciliatory to Christians and Jews. He told them:

👉^We believe in what has been sent down to us and sent down to you, our God is the same as your God.^ Surah 29:46.

This attitude changed completely after he gained strength.

Allah then tells him to ^Fight People of the Book (Christians and Jews), who do not accept the religion of the truth (Islam), until they pay tribute (penalty tax) by hand, being inferior.^ Surah 9:29.
 
Soma hii
 

Zinaa kuoa mke zaidi ya mmoja,mbona umepotoshwa sana,kwahiyo yakobo alikua mzizi?[emoji28]
 

Mkuu rumi ya katoliki ilishawahi kutawala ni dola kamili,hivi unadhani kusimama na kiendesha dola ni suala la mchezo,walifanya hivyo ili kulinda dola yao,ebu niambie wewe na kanisa lako liwa na wapi mlishawahi kuwa na dola kamili?
 

Mkuu unajifariji sana na unaonyesha jinsi gani huyo mungu aunayemuamini hanauwezo wa kuhandle watu wengi.
 
Kwa Roma kawaida nilitegemea hivyo mpinga Kristu
Ndiye huyo haswa baba wa uongo, wakala wa ufalme wa kuzimu.

👉 mtu yeyote akiwahubiri ninyi injili yoyote isipokuwa hiyo mliyoipokea, na alaaniwe. Wagalatia 1:7-9

Sasa kwani mkuu hujui, taasisi za kidini ni kama vyama vya siasa ni kuangalia wapi kwenye maslahi.
Kwa gharama ya roho za watu? Kwa gharama ya kupuuza na kupotosha Neno? Hell no!

Hiyo siyo taasisi ya dini halisi, bali shirika la huduma kwa jamii.

Zinaa kuoa mke zaidi ya mmoja, mbona umepotoshwa sana, kwa hiyo Yakobo alikua mzinzi?
Kwa hiyo Mfalme Daudi kipenzi cha Mungu (Acts 13:22) aliyeamuru Uria mumewe Bathsheba awekwe mstari wa mbele vitani ili auawe (2 Samuel 11:15) hakuwa muuaji?

Sikiliza hapa:👇
Basi, zamani zile za ujinga Mungu alijifanya kama hazioni; bali sasa anawaagiza watu wote wa kila mahali watubu. Matendo ya Mitume 17:30

Rumi ya Katoliki ilishawahi kutawala ni dola kamili, hivi unadhani kusimama na kiendesha dola ni suala la mchezo,walifanya hivyo ili kulinda dola yao
Basi iache kuwalaghai watu kwamba lenyewe ni kanisa la Mungu.

Kaisari abaki kuwa Kaisari; ^Mgalatia^ abaki kuwa ^Mgalatia.^

Kitendo cha Kaisari Papa kujifanya Mkristu na Kristu, ndiyo maana anaonekana tapeli wa kiroho.
 

Mkuu tambua hiyo biblia unayoiamini walio itunza na kuilinda ni wakatoliki ukiristo bila ukatoliki ungekua umepotea siku nyingi.

Kwangu mimi ukatoliki ndio mlizi wa ukristo duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…