Je, Mungu wa walokole hasikii hadi apigiwe makelele Makubwa?

lini umekuwa mwanaume we mshangazi?
 
Machawa wa ccm ndio wendawazimu kukiko mtu yeyote duniani, fuatilia nyuzi za shangazi Lucas utanielewa
 

Na waislam vipi ndugu?
 
RC tu uhakika bila kelele
 
Ndio maana sipendi kukaa karibu na bar, kanisa au msikiti.

Afya yangu ya akili naithamini Sana, I mean no malice to nobody
 
Hiyo ni vita ya kiroho nawewe unatumika na adui ,ushindwe kwa jina la yesu
 
hayo madhehebu uliyoyataja huo ndio utaratibu na muongozo wa kufanya ibada zao. Sasa inakuaje ukerwe na taratibu za ibada za watu wengine? Hizo kelele ndio ibada yao unapaswa kuziheshimu bila kukerwa
 
mungu wa kisanii , uliona wapi anataka makelele? rakatatataaaaaaaaaaaaaaaa rukutuuuuuuuuu
 
At noon Elijah began to taunt them. “Shout louder!” he said. “Surely he is a god! Perhaps he is deep in thought, or busy, or traveling. Maybe he is sleeping and must be awakened.”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…