Naomba nikujibu. I declare mimi siyo mlokole ila najua details nyingi sana za hayo mambo. In fact walokole ibada yao haijajikita kwenye kusoma biblia na kumwelewa Mungu. Badala yake Ibada zao zimejikita katika kuamsha hisia (to arouse emotions). Yaani mtu anakujaza upepo kitu ambacho ukitumia akili vizuri kufikiria huwezi kukubaliana nacho, ila unatengenezewa muamsho wa kihisia ambazo ili ukubaliane nazo lazima uwezo wako wa kuchambua mambo uushushe kwanza alafu upandishe uwezo wa emotions zaidi. Imagine kwenye maombi mtu unaambiwa pokea gari, pokea nyumba, pokea ajira n.k. na wewe unajua kabisa hujafanya chochote ili hilo gari ulipate. Akili yenye kufikiria inakuambia je utaliokota? Unatakiwa kufanya kazi kwa bidii na nidhamu ya fedha. Lakini kwa sababu ya emotions unaaminishwa kwamba unapokea kimiujiza. Na hapo hapo unaaminishwa utoe sadaka ili upokee huo muujiza. Huyo anayekujaza upepo huo anataka sadaka yako ili akanunue gari ila wewe anakuambia utapokea muujiza.Wakisali ni makelele makubwa sana, mpaka unashangaa, hivi haiwezekani wakiomba waombe kwa Sauti za kawaida tu na sio kupayukapayuka?
Wakianza kuabudu sasa, muziki utawekwa full blast, buzuki kubwa sana halafu ndani ya kanisa unakuta wako watu wanne tu wa familia Moja, hapo watapiga makelele kuanzia saa mbili asubuhi hadi saa SITA usiku.
Kwa ibada ndefu za makelele zinasababisha maswali mengi sana, huenda Mungu wao Yuko mbali sana. Huenda haelewi Kiswahili hivyo inabidi wampigie makelele mazito ili aweze kubahatisha baadhi ya maneno.
Labda Yuko busy sana hivyo wanamahtua ili awakumbuke...
Maswali ni mengi majibu ni haba.
bujibuji, ulikuwa umeenda wapi?Wakisali ni makelele makubwa sana, mpaka unashangaa, hivi haiwezekani wakiomba waombe kwa Sauti za kawaida tu na sio kupayukapayuka?
Wakianza kuabudu sasa, muziki utawekwa full blast, buzuki kubwa sana halafu ndani ya kanisa unakuta wako watu wanne tu wa familia Moja, hapo watapiga makelele kuanzia saa mbili asubuhi hadi saa SITA usiku.
Kwa ibada ndefu za makelele zinasababisha maswali mengi sana, huenda Mungu wao Yuko mbali sana. Huenda haelewi Kiswahili hivyo inabidi wampigie makelele mazito ili aweze kubahatisha baadhi ya maneno.
Labda Yuko busy sana hivyo wanamahtua ili awakumbuke...
Maswali ni mengi majibu ni haba.
Umeachanga mambo mawili hapo.Naomba nikujibu. I declare mimi siyo mlokole ila najua details nyingi sana za hayo mambo. In fact walokole ibada yao haijajikita kwenye kusoma biblia na kumwelewa Mungu. Badala yake Ibada zao zimejikita katika kuamsha hisia (to arouse emotions). Yaani mtu anakujaza upepo kitu ambacho ukitumia akili vizuri kufikiria huwezi kukubaliana nacho, ila unatengenezewa muamsho wa kihisia ambazo ili ukubaliane nazo lazima uwezo wako wa kuchambua mambo uushushe kwanza alafu upandishe uwezo wa emotions zaidi. Imagine kwenye maombi mtu unaambiwa pokea gari, pokea nyumba, pokea ajira n.k. na wewe unajua kabisa hujafanya chochote ili hilo gari ulipate. Akili yenye kufikiria inakuambia je utaliokota? Unatakiwa kufanya kazi kwa bidii na nidhamu ya fedha. Lakini kwa sababu ya emotions unaaminishwa kwamba unapokea kimiujiza. Na hapo hapo unaaminishwa utoe sadaka ili upokee huo muujiza. Huyo anayekujaza upepo huo anataka sadaka yako ili akanunue gari ila wewe anakuambia utapokea muujiza.
“Kwa sauti yangu namwita Bwana Naye aniitikia toka mlima wake mtakatifu. ”Ningelipenda tumwabudu Mungu wetu kwa utulivu wa hali ya juu sehemu za ibada kwani Mungu anasikia kupitia mioyo yetu.Ndo maana wengine huomba kimya kimya.Lakini tunapomtolea sifa kwa nyimbo tutoe sauti sana kadiri roho atakavyotuongoza.Hizo sauti za juu kwake ni kwasababu Anastahili ndiye aliyetuumba
rakatakatarata reketeteteeeeeeeeeeeeeee makoroboiiii makorobo shikoroooooooooo hahahhhhhhhhhhhhhhhhh wale umbwa wamechanganyikiwa sana kam mafisiemu na no reforms no elections, wajinga sana wale ndugu.Wakisali ni makelele makubwa sana, mpaka unashangaa, hivi haiwezekani wakiomba waombe kwa Sauti za kawaida tu na sio kupayukapayuka?
Wakianza kuabudu sasa, muziki utawekwa full blast, buzuki kubwa sana halafu ndani ya kanisa unakuta wako watu wanne tu wa familia Moja, hapo watapiga makelele kuanzia saa mbili asubuhi hadi saa SITA usiku.
Kwa ibada ndefu za makelele zinasababisha maswali mengi sana, huenda Mungu wao Yuko mbali sana. Huenda haelewi Kiswahili hivyo inabidi wampigie makelele mazito ili aweze kubahatisha baadhi ya maneno.
Labda Yuko busy sana hivyo wanamahtua ili awakumbuke...
Maswali ni mengi majibu ni haba.
Wana ma budha ila wengi nadhani hawaaaminiHivi China wanamuabudu Nani?
Sawa, Buddha anapenda kupigiwa magitaa na makelele?Wana ma budha ila wengi nadhani hawaaamini
Naomba nikujibu. I declare mimi siyo mlokole ila najua details nyingi sana za hayo mambo. In fact walokole ibada yao haijajikita kwenye kusoma biblia na kumwelewa Mungu. Badala yake Ibada zao zimejikita katika kuamsha hisia (to arouse emotions). Yaani mtu anakujaza upepo kitu ambacho ukitumia akili vizuri kufikiria huwezi kukubaliana nacho, ila unatengenezewa muamsho wa kihisia ambazo ili ukubaliane nazo lazima uwezo wako wa kuchambua mambo uushushe kwanza alafu upandishe uwezo wa emotions zaidi. Imagine kwenye maombi mtu unaambiwa pokea gari, pokea nyumba, pokea ajira n.k. na wewe unajua kabisa hujafanya chochote ili hilo gari ulipate. Akili yenye kufikiria inakuambia je utaliokota? Unatakiwa kufanya kazi kwa bidii na nidhamu ya fedha. Lakini kwa sababu ya emotions unaaminishwa kwamba unapokea kimiujiza. Na hapo hapo unaaminishwa utoe sadaka ili upokee huo muujiza. Huyo anayekujaza upepo huo anataka sadaka yako ili akanunue gari ila wewe anakuambia utapokea muujiza.
Mkuu tunapiga kelele kutafuta vibe mzeeNi namna yao wameamua kumuomba huyo Mungu wao. Ila vitabu vimesema wazi kabisa, kabla hatujaomba yeye anajua yaliyo mahitaji yetu.
Na namna ya kuomba/kusali pia ametuambia... Mathew 6: 9-10.
Ujumbe uwafikie Tlaatlaah, Lucas Mwashambwa, ChoiceVariable , MamaSamia2025 ,ChawaWaMama, chawa wa mama, Malaria 2 na CHAWA wote wasio na akili timamuwale umbwa wamechanganyikiwa sana kam mafisiemu na no reforms no elections, wajinga sana wale ndugu.
Issue yako ilikuwa ni Makelele huko kupayukapayuka umetoa wapi? Au kwako wewe kupiga kelele ndiyo kupayuka?. Pia umesema Ibada zinaanza saa mbili asubuhi Mpaka saa sita Usiku, Sijui hao watu wanne wa familia moja wanakula saa ngapi au wewe unawapelekea chakula?. Na Kelele za spika kwenye Misikiti wewe hizo huzisikii? na mungu wao yeye ana masikio kwa sababu wanapiga kelele za kiarabu?Wakisali ni makelele makubwa sana, mpaka unashangaa, hivi haiwezekani wakiomba waombe kwa Sauti za kawaida tu na sio kupayukapayuka?
Wakianza kuabudu sasa, muziki utawekwa full blast, buzuki kubwa sana halafu ndani ya kanisa unakuta wako watu wanne tu wa familia Moja, hapo watapiga makelele kuanzia saa mbili asubuhi hadi saa SITA usiku.
Kwa ibada ndefu za makelele zinasababisha maswali mengi sana, huenda Mungu wao Yuko mbali sana. Huenda haelewi Kiswahili hivyo inabidi wampigie makelele mazito ili aweze kubahatisha baadhi ya maneno.
Labda Yuko busy sana hivyo wanamahtua ili awakumbuke...
Maswali ni mengi majibu ni haba.
Mapadre wanawamiminia sana mbegu masisteriNipasi nguo mapema, kanisani Misa ya matawi. Tumsifu Yesu kristo
Wakatoliki huwa hatuna makelele! Hata kwenye mahubiri yetu (homilia) huwezi kumkuta Katekista/ Shemasi/Padre/Askofu ametokwa na mishipa ya shingo, macho yamemtoka, na mate yamejaa mdomoni; huku akipiga makelele 🗣️🎤 pepoo tookaa! Mbengo zemefongoka! Sharaghabar tashasha! 😁Nipasi nguo mapema, kanisani Misa ya matawi. Tumsifu Yesu kristo
Kijana wangu umepotea sana. Au umeoa?Nipasi nguo mapema, kanisani Misa ya matawi. Tumsifu Yesu kristo
Kila mwaka una mwabudiwa wake, kuna mwaka wa nyoka, nyani, moto, maji nkHivi China wanamuabudu Nani?
Mbona hata wachungaji wenu huwa wanakula sana kondoo wao! Au wewe si mmoja wao? Waulize wenzako watakuambia.Mapadre wanawamiminia sana mbegu masisteri
Tayari kishashonewa shati la vitengeKijana wangu umepotea sana. Au umeoa?