Je, Musa hakuandika kitabu cha Mwanzo??

Je, Musa hakuandika kitabu cha Mwanzo??

Kama mimi nimeandika upuuzi wewe utakuwa umeandika nini?
biblia yako imejaa upuuzi wa kutosha

YEHOVA ARUHUSU WATU KULA WATOTO WAO

Kumbukumbu la Torati 28:53

53 Nawe utakula uzao wa tumbo lako mwenyewe, nyama ya wana wako na binti zako aliokupa Bwana, Mungu wako; katika mazingirwa na katika mkazo utakaokazwa na adui zako.

YEHOVA KUWAPAKA MAVI MAKUHANI

Malaki 2:1-3

2 Kama hamtaki kusikia, na kama hamtaki kuitia moyoni, ili kulitukuza jina langu, asema Bwana wa majeshi, basi nitawapelekeeni laana, nami nitazilaani baraka zenu; naam, nimekwisha kuzilaani, kwa sababu hamyatii haya moyoni.

3 Angalieni, nitaikemea mbegu kwa ajili yenu, nami nitapaka nyuso zenu mavi, naam, mavi ya vyakula vyenu; nanyi mtaondolewa pamoja nayo

YESU AWAAMBIA WAFUASI WAKE WANUNUE MAPANGA

Luka 22:36

Akawaambia, Lakini sasa mwenye mfuko na auchukue, na mkoba vivyo hivyo; naye asiye na upanga, na auze joho yake akanunue.

YEHOVA HATAKI BINADAMU AJUE MEMA NA MABAYA

Mwanzo 3:22

Kisha Mwenyezi-Mungu akasema, “Sasa, binadamu amekuwa kama mmoja wetu, anajua mema na mabaya. Lazima kumzuia kula lile tunda la mti wa uhai, kwani akilila ataishi milele!”

YEHOVA AUA HALAIKI NA KUWAACHA BIKRA

HESABU 31:15-17

15 Kwa hiyo Musa akawaambia: “Je, mmemhifadhi hai kila mwanamke?+ 16 Tazama! Hao ndio, kupitia kwa neno la Balaamu, waliowashawishi wana wa Israeli kukosa uaminifu+ kwa Yehova juu ya lile jambo la Peori,+ hivi kwamba tauni ikaja juu ya kusanyiko la Yehova.+ 17 Na sasa ueni kila mtoto wa kiume, na kumuua kila mwanamke ambaye amefanya ngono na mtu kwa kulala na mwanamume

YEHOVA ATAKA WATU WATII SERIKALI HATA KAMA HAIKUCHAGULIWA NA WATU

Warumi 13

13 Kila mtu hana budi kutii serikali inayotawala. Kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na serikali zote zilizopo zimewekwa na Mungu. 2 Kwa hiyo anayepinga mamlaka inayotawala ana pinga chombo kilichowekwa na Mungu; na watu wanaoasi watajiletea hukumu.

YEHOVA MUASISI WA MFUMO-DUME

1 timotheo 2:11-12

11 Mwanamke na ajifunze akiwa kimya na kwa kujitiisha kikamili.+ 12 Simruhusu mwanamke kufundisha,+ wala kuwa na mamlaka juu ya mwanamume,+ bali kuwa kimya.

YEHOVA,MUASISI WA UTUMWA

Mwanzo 9:25-27

25 Basi akasema:“Alaaniwe Kanaani.

Na awe mtumwa wa hali ya chini kabisa kwa ndugu zake.”26 Naye akasema tena:“Abarikiwe Yehova, Mungu wa Shemu,Kanaani na awe mtumwa wake. 27 Mungu na ampe Yafethi nafasi ya kutosha,Akae katika mahema ya Shemu. Kanaani na awe mtumwa wake pia.”

PONOGRAFIA NDANI YA BIBLIA

Ezekieli 23:20

Aliwatamani sana wanaume wenye uume kama wa punda na manii kama farasi dume.”

YEHOVA BINGWA WA KUKOMOA NA KUTESA

Kumbukumbu la torati 28:28-35

28 Yehova atakupiga kwa wazimu+ na kupoteza uwezo wa kuona+ na kuchanganyikiwa kwa moyo.+ 29 Nawe kwa kweli utakuwa mtu anayepapasa-papasa katikati ya mchana, kama vile kipofu anavyopapasa-papasa gizani,+ nawe hutafanya njia zako zifanikiwe; nawe utakuwa mtu tu ambaye sikuzote hupunjwa na kunyang’anywa, pasipo mtu wa kukuokoa.+ 30 Utamchumbia mwanamke, lakini mwanamume mwingine atamlala kinguvu.+ Utajenga nyumba, lakini hutakaa ndani yake.+ Utapanda shamba la mizabibu, lakini hutaanza kutumia matunda yake.+ 31 Ng’ombe-dume wako atachinjwa hapo mbele ya macho yako—lakini hutakula sehemu yoyote yake. Utanyang’anywa punda wako mbele ya uso wako—lakini hatarudi kwako. Kondoo wako watapewa adui zako—lakini hutakuwa na mwokozi yeyote.+ 32 Wana wako na binti zako watapewa watu wengine+ na macho yako yakitazama na kuwatamani sikuzote—lakini mikono yako itakuwa haina nguvu.+ 33 Mazao ya udongo wako na mazao yako yote yataliwa na watu ambao hukuwajua;+ nawe utakuwa mtu aliyepunjwa na kupondwa sikuzote.+ 34 Nawe utatiwa wazimu kwa kuona kwa macho yako mambo ambayo utaona.+ 35 “Yehova atakupiga kwa jipu hatari kwenye magoti yote mawili na miguu yote miwili, ambalo hutaweza kupona, kutoka wayo wa mguu wako mpaka utosi wa kichwa chako

YEHOVA AHAMASISHA WATU WAPIGANE

Kumbukumbu la torati 25:11

11 “Ikiwa wanaume wawili watapambana pamoja, na mke wa mmoja awe amekuja karibu ili kumkomboa mume wake kutoka mkononi mwa yule anayempiga, naye ameunyoosha mkono wake na kumkamata sehemu zake za siri,+ 12 basi ukate mkono wa mwanamke huyo.

YEHOVA APANDISHA JAZBA,AUA WATOTO 42 PAPO HAPO

2 wafalme 2:23-25

3 Naye akapanda kutoka hapo mpaka Betheli.+ Alipokuwa akipanda njiani, tazama, palikuwa na wavulana+ wadogo waliotoka katika jiji, nao wakaanza kumdhihaki,+ wakazidi kumwambia: “Nenda juu, wewe kipara!+ Nenda juu, wewe kipara!” 24 Mwishowe akageuka nyuma, akawaona, naye akawalaani+ katika jina la Yehova. Ndipo dubu-jike+ wawili wakatoka katika vichaka, wakaanza kuwararua vipande-vipande watoto 42 kati yao.+ 25 Naye akaendelea kutoka hapo mpaka Mlima Karmeli,+ na kutoka hapo akarudi Samaria.

YEHOVA APITISHA ADHABU YA KIFO KWA MLEVI

Kumbukumbu la torati 21:18-21

“Ikiwa mtu atakuwa na mwana ambaye ni mkaidi na mwasi,+ awe hasikilizi sauti ya baba yake au sauti ya mama yake,+ nao wamemrekebisha bali yeye hawasikilizi,+ 19 baba yake na mama yake watamshika na kumtoa nje mpaka kwa wanaume wazee wa jiji lake na kwenye lango la mahali pake,+ 20 nao watawaambia wanaume wazee wa jiji lake, ‘Huyu mwana wetu ni mkaidi na mwasi; hasikilizi sauti yetu,+ ni mlafi+ na mlevi.’+ 21 Ndipo watu wote wa jiji watampiga kwa mawe, naye lazima afe.

YEHOVA ANYANYAPAA VILEMA,WENYE PUA PANA(KAMA zA WATU WEUSI)

Mambo ya walawi 21:17-23

17 “Sema na Haruni, na kumwambia, ‘Mtu yeyote wa uzao wako katika vizazi vyao vyote ambaye ana kasoro+ asije karibu ili kuutoa mkate wa Mungu wake.+ 18 Ikiwa kuna mtu yeyote mwenye kasoro, asikaribie: mtu aliye kipofu au kilema au mwenye pua pana au mwenye kiungo kimoja kilicho kirefu mno,+ 19 au mtu aliyevunjika mguu au aliyevunjika mkono, 20 au mwenye kijongo au aliyekonda au mwenye ugonjwa wa macho au mwenye vigaga au mwenye mba au aliyevunjwa mapumbu yake.+ 21 Mtu yeyote wa uzao wa Haruni kuhani ambaye ana kasoro hatakaribia ili kutoa matoleo ya Yehova kwa njia ya moto.+ Kuna kasoro ndani yake. Hatakaribia ili kuutoa mkate wa Mungu wake.+ 22 Anaweza kula mkate wa Mungu wake kutoka kati ya vitu vitakatifu zaidi+ na kutoka kati ya vitu vitakatifu.+ 23 Hata hivyo, hatakaribia pazia,+ wala hatakaribia madhabahu,+ kwa sababu kuna kasoro ndani yake;+ naye hatapatia unajisi patakatifu pangu,+ kwa kuwa mimi ni Yehova ninayewatakasa wao.

YEHOVA AFANYA MAUAJI YA HALAIKI,AUA WATOTO WACHANGA HADI WANYAMA

1 samweli 15:3

3 Sasa nenda, umpige Amaleki,+ umwangamize+ pamoja na vitu vyote alivyo navyo, usimhurumie, nawe uwaue,+ mwanamume na mwanamke, mtoto na mtoto anayenyonya,+ ng’ombe pamoja na kondoo, ngamia pamoja na punda.’

YEHOVA APATA KIU YA DAMU YA BINADAMU

Mwanzo 22:2

Mungu akamwambia, “Mchukue mwanao, Isaka, mwanao wa pekee umpendaye, uende mpaka nchi ya Moria, ukamtoe sadaka ya kuteketezwa juu ya mlima mmojawapo nitakaokuonesha.”

YESU AWATAKA WATUMWA KUTII MABWANA WAKATILI

1 Petro 2:18

18 Ninyi watumwa, watiini mabwana wenu kwa heshima yote, si wale mabwana walio wapole na wema peke yao, bali hata wale walio wakali.
 
Ninaufahamu ila sijauweka kwasababu sijaona mantiki yake kwenye mjadala, hata kuandika hivyo ni basi tu nisionekane mkaidi. Ila kwa sasa nimefahamu vitu vingi ambavyo vimefanya nitoke katika vifungo vilivyokuwa si vya lazima. Kila mtu amepewa fikra na kuchambua mambo kadri ya uwezo wake na mtazamo wake. Mtazamo chanya kwa upande wako hauwezi kuwa mtazamo chanya kwa watu wengine.

Mwisho: si vyema kujibu maswali magumu kwa majibu mepesi, ni bora kutokujibu.
Noted
 
wewe nawe stori yako bila kuweka deuterenomy 34(kumbukumbu la torati 34) inakuwa haijakamilika
hivi umeshindwa kuona kuwa sio tu kitabu cha mwanzo isipokuwa vitabu vyote vinavyosemwa vimeandikwa na musa ni feki?
musa hakuandika kitabu chochote,stori zake zimejaa third person narrations
Nimeiweka mkuu ila kuna mtu hapo juu kasema itakuwa wanafunzi wake ndio waliandika hicho kipande wengine wanadai alikuwa ameonyeshwa future ndio akaandika in advance hilo tukio kabla hajafa

Cha kushangaza kuna apocrypha nyingi kwenye bible hazijawekwa kisa tu kilikuwa na waandishi kibao ila nashangaa kuna vitabu kwa bible vimeachwa vyenye utata wa uandishi kama hiki.
 
Hiyo siri ndiyo kitabu chote cha mwanzo.
Sasa aliwezaje kusema Uru ni ya wakaldayo ilihali wameanza kuishi hapo miaka 400 baada ya kifo chake

Pia aliwezaje kusema wakaanan walishatimuliwa Israel ilihali kipindi chake mpaka anakufa walikuwa bado hawajachukua canaan ...... Huoni angechanganya hadhira yake kuwahadithia kwa past tense vitu ambavyo havijatokea bado

Yaani mtu aandike magufuli alitawala Tanzania kabla zitto kabwe hajawa Rais ilihali ni 2018!! Imekaaje hii
 
Musa alipokuwa mlima Sinai siku 40 Mungu alimweleza habari zote tangu mwanzo. Yaani alimweleza asili ya mwanadamu ilianzia kwa Adamu! Alimpa mtiririko wote jinsi mambo yalivyokuwa. Musa aliandika kile alicho ambiwa.
Fafanua kidogo, vipi majina ya sehemu kutofautiana na uhalisia? Aliambiwa hadi atapokufa watu wataombolezaje? Aliposhuka mlimani alishuka na maagizo hayo kama alivyoleta amri kumi
 
biblia yako imejaa upuuzi wa kutosha

YEHOVA ARUHUSU WATU KULA WATOTO WAO

Kumbukumbu la Torati 28:53

53 Nawe utakula uzao wa tumbo lako mwenyewe, nyama ya wana wako na binti zako aliokupa Bwana, Mungu wako; katika mazingirwa na katika mkazo utakaokazwa na adui zako.

YEHOVA KUWAPAKA MAVI MAKUHANI

Malaki 2:1-3

2 Kama hamtaki kusikia, na kama hamtaki kuitia moyoni, ili kulitukuza jina langu, asema Bwana wa majeshi, basi nitawapelekeeni laana, nami nitazilaani baraka zenu; naam, nimekwisha kuzilaani, kwa sababu hamyatii haya moyoni.

3 Angalieni, nitaikemea mbegu kwa ajili yenu, nami nitapaka nyuso zenu mavi, naam, mavi ya vyakula vyenu; nanyi mtaondolewa pamoja nayo

YESU AWAAMBIA WAFUASI WAKE WANUNUE MAPANGA

Luka 22:36

Akawaambia, Lakini sasa mwenye mfuko na auchukue, na mkoba vivyo hivyo; naye asiye na upanga, na auze joho yake akanunue.

YEHOVA HATAKI BINADAMU AJUE MEMA NA MABAYA

Mwanzo 3:22

Kisha Mwenyezi-Mungu akasema, “Sasa, binadamu amekuwa kama mmoja wetu, anajua mema na mabaya. Lazima kumzuia kula lile tunda la mti wa uhai, kwani akilila ataishi milele!”

YEHOVA AUA HALAIKI NA KUWAACHA BIKRA

HESABU 31:15-17

15 Kwa hiyo Musa akawaambia: “Je, mmemhifadhi hai kila mwanamke?+ 16 Tazama! Hao ndio, kupitia kwa neno la Balaamu, waliowashawishi wana wa Israeli kukosa uaminifu+ kwa Yehova juu ya lile jambo la Peori,+ hivi kwamba tauni ikaja juu ya kusanyiko la Yehova.+ 17 Na sasa ueni kila mtoto wa kiume, na kumuua kila mwanamke ambaye amefanya ngono na mtu kwa kulala na mwanamume

YEHOVA ATAKA WATU WATII SERIKALI HATA KAMA HAIKUCHAGULIWA NA WATU

Warumi 13

13 Kila mtu hana budi kutii serikali inayotawala. Kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na serikali zote zilizopo zimewekwa na Mungu. 2 Kwa hiyo anayepinga mamlaka inayotawala ana pinga chombo kilichowekwa na Mungu; na watu wanaoasi watajiletea hukumu.

YEHOVA MUASISI WA MFUMO-DUME

1 timotheo 2:11-12

11 Mwanamke na ajifunze akiwa kimya na kwa kujitiisha kikamili.+ 12 Simruhusu mwanamke kufundisha,+ wala kuwa na mamlaka juu ya mwanamume,+ bali kuwa kimya.

YEHOVA,MUASISI WA UTUMWA

Mwanzo 9:25-27

25 Basi akasema:“Alaaniwe Kanaani.

Na awe mtumwa wa hali ya chini kabisa kwa ndugu zake.”26 Naye akasema tena:“Abarikiwe Yehova, Mungu wa Shemu,Kanaani na awe mtumwa wake. 27 Mungu na ampe Yafethi nafasi ya kutosha,Akae katika mahema ya Shemu. Kanaani na awe mtumwa wake pia.”

PONOGRAFIA NDANI YA BIBLIA

Ezekieli 23:20

Aliwatamani sana wanaume wenye uume kama wa punda na manii kama farasi dume.”

YEHOVA BINGWA WA KUKOMOA NA KUTESA

Kumbukumbu la torati 28:28-35

28 Yehova atakupiga kwa wazimu+ na kupoteza uwezo wa kuona+ na kuchanganyikiwa kwa moyo.+ 29 Nawe kwa kweli utakuwa mtu anayepapasa-papasa katikati ya mchana, kama vile kipofu anavyopapasa-papasa gizani,+ nawe hutafanya njia zako zifanikiwe; nawe utakuwa mtu tu ambaye sikuzote hupunjwa na kunyang’anywa, pasipo mtu wa kukuokoa.+ 30 Utamchumbia mwanamke, lakini mwanamume mwingine atamlala kinguvu.+ Utajenga nyumba, lakini hutakaa ndani yake.+ Utapanda shamba la mizabibu, lakini hutaanza kutumia matunda yake.+ 31 Ng’ombe-dume wako atachinjwa hapo mbele ya macho yako—lakini hutakula sehemu yoyote yake. Utanyang’anywa punda wako mbele ya uso wako—lakini hatarudi kwako. Kondoo wako watapewa adui zako—lakini hutakuwa na mwokozi yeyote.+ 32 Wana wako na binti zako watapewa watu wengine+ na macho yako yakitazama na kuwatamani sikuzote—lakini mikono yako itakuwa haina nguvu.+ 33 Mazao ya udongo wako na mazao yako yote yataliwa na watu ambao hukuwajua;+ nawe utakuwa mtu aliyepunjwa na kupondwa sikuzote.+ 34 Nawe utatiwa wazimu kwa kuona kwa macho yako mambo ambayo utaona.+ 35 “Yehova atakupiga kwa jipu hatari kwenye magoti yote mawili na miguu yote miwili, ambalo hutaweza kupona, kutoka wayo wa mguu wako mpaka utosi wa kichwa chako

YEHOVA AHAMASISHA WATU WAPIGANE

Kumbukumbu la torati 25:11

11 “Ikiwa wanaume wawili watapambana pamoja, na mke wa mmoja awe amekuja karibu ili kumkomboa mume wake kutoka mkononi mwa yule anayempiga, naye ameunyoosha mkono wake na kumkamata sehemu zake za siri,+ 12 basi ukate mkono wa mwanamke huyo.

YEHOVA APANDISHA JAZBA,AUA WATOTO 42 PAPO HAPO

2 wafalme 2:23-25

3 Naye akapanda kutoka hapo mpaka Betheli.+ Alipokuwa akipanda njiani, tazama, palikuwa na wavulana+ wadogo waliotoka katika jiji, nao wakaanza kumdhihaki,+ wakazidi kumwambia: “Nenda juu, wewe kipara!+ Nenda juu, wewe kipara!” 24 Mwishowe akageuka nyuma, akawaona, naye akawalaani+ katika jina la Yehova. Ndipo dubu-jike+ wawili wakatoka katika vichaka, wakaanza kuwararua vipande-vipande watoto 42 kati yao.+ 25 Naye akaendelea kutoka hapo mpaka Mlima Karmeli,+ na kutoka hapo akarudi Samaria.

YEHOVA APITISHA ADHABU YA KIFO KWA MLEVI

Kumbukumbu la torati 21:18-21

“Ikiwa mtu atakuwa na mwana ambaye ni mkaidi na mwasi,+ awe hasikilizi sauti ya baba yake au sauti ya mama yake,+ nao wamemrekebisha bali yeye hawasikilizi,+ 19 baba yake na mama yake watamshika na kumtoa nje mpaka kwa wanaume wazee wa jiji lake na kwenye lango la mahali pake,+ 20 nao watawaambia wanaume wazee wa jiji lake, ‘Huyu mwana wetu ni mkaidi na mwasi; hasikilizi sauti yetu,+ ni mlafi+ na mlevi.’+ 21 Ndipo watu wote wa jiji watampiga kwa mawe, naye lazima afe.

YEHOVA ANYANYAPAA VILEMA,WENYE PUA PANA(KAMA zA WATU WEUSI)

Mambo ya walawi 21:17-23

17 “Sema na Haruni, na kumwambia, ‘Mtu yeyote wa uzao wako katika vizazi vyao vyote ambaye ana kasoro+ asije karibu ili kuutoa mkate wa Mungu wake.+ 18 Ikiwa kuna mtu yeyote mwenye kasoro, asikaribie: mtu aliye kipofu au kilema au mwenye pua pana au mwenye kiungo kimoja kilicho kirefu mno,+ 19 au mtu aliyevunjika mguu au aliyevunjika mkono, 20 au mwenye kijongo au aliyekonda au mwenye ugonjwa wa macho au mwenye vigaga au mwenye mba au aliyevunjwa mapumbu yake.+ 21 Mtu yeyote wa uzao wa Haruni kuhani ambaye ana kasoro hatakaribia ili kutoa matoleo ya Yehova kwa njia ya moto.+ Kuna kasoro ndani yake. Hatakaribia ili kuutoa mkate wa Mungu wake.+ 22 Anaweza kula mkate wa Mungu wake kutoka kati ya vitu vitakatifu zaidi+ na kutoka kati ya vitu vitakatifu.+ 23 Hata hivyo, hatakaribia pazia,+ wala hatakaribia madhabahu,+ kwa sababu kuna kasoro ndani yake;+ naye hatapatia unajisi patakatifu pangu,+ kwa kuwa mimi ni Yehova ninayewatakasa wao.

YEHOVA AFANYA MAUAJI YA HALAIKI,AUA WATOTO WACHANGA HADI WANYAMA

1 samweli 15:3

3 Sasa nenda, umpige Amaleki,+ umwangamize+ pamoja na vitu vyote alivyo navyo, usimhurumie, nawe uwaue,+ mwanamume na mwanamke, mtoto na mtoto anayenyonya,+ ng’ombe pamoja na kondoo, ngamia pamoja na punda.’

YEHOVA APATA KIU YA DAMU YA BINADAMU

Mwanzo 22:2

Mungu akamwambia, “Mchukue mwanao, Isaka, mwanao wa pekee umpendaye, uende mpaka nchi ya Moria, ukamtoe sadaka ya kuteketezwa juu ya mlima mmojawapo nitakaokuonesha.”

YESU AWATAKA WATUMWA KUTII MABWANA WAKATILI

1 Petro 2:18

18 Ninyi watumwa, watiini mabwana wenu kwa heshima yote, si wale mabwana walio wapole na wema peke yao, bali hata wale walio wakali.
Aisee presentation yako imenichekesha hahaa...ila kikubwa ktk maandiko angalia context yanapozungumzwa hayo maneno kulikuwa na nini, tukio gani au kusudio ni nini?
Kwa ufupi tu hiyo Deut 28 inahusika na blessing na cursing nashawishika kusema upande ulioutaja ktk presentation yako ni wa laana.
 
Mkuu zitto
mimi binafsi sio msomaji mzuri wa bible
ila kwa mtazamo wangu ; kama biblia mpaka nyakati hizi bado wanaiedit hapana shaka imeshaeditiwa zaidi ya mara 100

endapo kama isinge editiwa basi biblia ingekuwa kitabu cha myth tu kwamaana ingekua na lugha ngumu kuliko zote.

mimi naamini sio vitabu vya musa tu ,vitabu vyote vimepitia na vitaendelea kupitia edition ili kuendana na wakati ulipo .

kwa maana hio basi Musa alipata kusimuliwa habari za kale, hata kuona maandishi yaliyoachwa na waandishi/mitume wa kale akachanganya na habari zake na habari za ufunuo utakaokuja akaandika kitabu. baada ya hapo akaja muandishi alieona kifo cha musa akaandika,baada ya huyo akaja mwingine ...........mpaka leo hii akaja mtu akaikokotoa biblia kutoka kingereza kuja kiswahili🙂🙂🙂
 
biblia yako imejaa upuuzi wa kutosha

YEHOVA ARUHUSU WATU KULA WATOTO WAO

Kumbukumbu la Torati 28:53

53 Nawe utakula uzao wa tumbo lako mwenyewe, nyama ya wana wako na binti zako aliokupa Bwana, Mungu wako; katika mazingirwa na katika mkazo utakaokazwa na adui zako.

YEHOVA KUWAPAKA MAVI MAKUHANI

Malaki 2:1-3

2 Kama hamtaki kusikia, na kama hamtaki kuitia moyoni, ili kulitukuza jina langu, asema Bwana wa majeshi, basi nitawapelekeeni laana, nami nitazilaani baraka zenu; naam, nimekwisha kuzilaani, kwa sababu hamyatii haya moyoni.

3 Angalieni, nitaikemea mbegu kwa ajili yenu, nami nitapaka nyuso zenu mavi, naam, mavi ya vyakula vyenu; nanyi mtaondolewa pamoja nayo

YESU AWAAMBIA WAFUASI WAKE WANUNUE MAPANGA

Luka 22:36

Akawaambia, Lakini sasa mwenye mfuko na auchukue, na mkoba vivyo hivyo; naye asiye na upanga, na auze joho yake akanunue.

YEHOVA HATAKI BINADAMU AJUE MEMA NA MABAYA

Mwanzo 3:22

Kisha Mwenyezi-Mungu akasema, “Sasa, binadamu amekuwa kama mmoja wetu, anajua mema na mabaya. Lazima kumzuia kula lile tunda la mti wa uhai, kwani akilila ataishi milele!”

YEHOVA AUA HALAIKI NA KUWAACHA BIKRA

HESABU 31:15-17

15 Kwa hiyo Musa akawaambia: “Je, mmemhifadhi hai kila mwanamke?+ 16 Tazama! Hao ndio, kupitia kwa neno la Balaamu, waliowashawishi wana wa Israeli kukosa uaminifu+ kwa Yehova juu ya lile jambo la Peori,+ hivi kwamba tauni ikaja juu ya kusanyiko la Yehova.+ 17 Na sasa ueni kila mtoto wa kiume, na kumuua kila mwanamke ambaye amefanya ngono na mtu kwa kulala na mwanamume

YEHOVA ATAKA WATU WATII SERIKALI HATA KAMA HAIKUCHAGULIWA NA WATU

Warumi 13

13 Kila mtu hana budi kutii serikali inayotawala. Kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na serikali zote zilizopo zimewekwa na Mungu. 2 Kwa hiyo anayepinga mamlaka inayotawala ana pinga chombo kilichowekwa na Mungu; na watu wanaoasi watajiletea hukumu.

YEHOVA MUASISI WA MFUMO-DUME

1 timotheo 2:11-12

11 Mwanamke na ajifunze akiwa kimya na kwa kujitiisha kikamili.+ 12 Simruhusu mwanamke kufundisha,+ wala kuwa na mamlaka juu ya mwanamume,+ bali kuwa kimya.

YEHOVA,MUASISI WA UTUMWA

Mwanzo 9:25-27

25 Basi akasema:“Alaaniwe Kanaani.

Na awe mtumwa wa hali ya chini kabisa kwa ndugu zake.”26 Naye akasema tena:“Abarikiwe Yehova, Mungu wa Shemu,Kanaani na awe mtumwa wake. 27 Mungu na ampe Yafethi nafasi ya kutosha,Akae katika mahema ya Shemu. Kanaani na awe mtumwa wake pia.”

PONOGRAFIA NDANI YA BIBLIA

Ezekieli 23:20

Aliwatamani sana wanaume wenye uume kama wa punda na manii kama farasi dume.”

YEHOVA BINGWA WA KUKOMOA NA KUTESA

Kumbukumbu la torati 28:28-35

28 Yehova atakupiga kwa wazimu+ na kupoteza uwezo wa kuona+ na kuchanganyikiwa kwa moyo.+ 29 Nawe kwa kweli utakuwa mtu anayepapasa-papasa katikati ya mchana, kama vile kipofu anavyopapasa-papasa gizani,+ nawe hutafanya njia zako zifanikiwe; nawe utakuwa mtu tu ambaye sikuzote hupunjwa na kunyang’anywa, pasipo mtu wa kukuokoa.+ 30 Utamchumbia mwanamke, lakini mwanamume mwingine atamlala kinguvu.+ Utajenga nyumba, lakini hutakaa ndani yake.+ Utapanda shamba la mizabibu, lakini hutaanza kutumia matunda yake.+ 31 Ng’ombe-dume wako atachinjwa hapo mbele ya macho yako—lakini hutakula sehemu yoyote yake. Utanyang’anywa punda wako mbele ya uso wako—lakini hatarudi kwako. Kondoo wako watapewa adui zako—lakini hutakuwa na mwokozi yeyote.+ 32 Wana wako na binti zako watapewa watu wengine+ na macho yako yakitazama na kuwatamani sikuzote—lakini mikono yako itakuwa haina nguvu.+ 33 Mazao ya udongo wako na mazao yako yote yataliwa na watu ambao hukuwajua;+ nawe utakuwa mtu aliyepunjwa na kupondwa sikuzote.+ 34 Nawe utatiwa wazimu kwa kuona kwa macho yako mambo ambayo utaona.+ 35 “Yehova atakupiga kwa jipu hatari kwenye magoti yote mawili na miguu yote miwili, ambalo hutaweza kupona, kutoka wayo wa mguu wako mpaka utosi wa kichwa chako

YEHOVA AHAMASISHA WATU WAPIGANE

Kumbukumbu la torati 25:11

11 “Ikiwa wanaume wawili watapambana pamoja, na mke wa mmoja awe amekuja karibu ili kumkomboa mume wake kutoka mkononi mwa yule anayempiga, naye ameunyoosha mkono wake na kumkamata sehemu zake za siri,+ 12 basi ukate mkono wa mwanamke huyo.

YEHOVA APANDISHA JAZBA,AUA WATOTO 42 PAPO HAPO

2 wafalme 2:23-25

3 Naye akapanda kutoka hapo mpaka Betheli.+ Alipokuwa akipanda njiani, tazama, palikuwa na wavulana+ wadogo waliotoka katika jiji, nao wakaanza kumdhihaki,+ wakazidi kumwambia: “Nenda juu, wewe kipara!+ Nenda juu, wewe kipara!” 24 Mwishowe akageuka nyuma, akawaona, naye akawalaani+ katika jina la Yehova. Ndipo dubu-jike+ wawili wakatoka katika vichaka, wakaanza kuwararua vipande-vipande watoto 42 kati yao.+ 25 Naye akaendelea kutoka hapo mpaka Mlima Karmeli,+ na kutoka hapo akarudi Samaria.

YEHOVA APITISHA ADHABU YA KIFO KWA MLEVI

Kumbukumbu la torati 21:18-21

“Ikiwa mtu atakuwa na mwana ambaye ni mkaidi na mwasi,+ awe hasikilizi sauti ya baba yake au sauti ya mama yake,+ nao wamemrekebisha bali yeye hawasikilizi,+ 19 baba yake na mama yake watamshika na kumtoa nje mpaka kwa wanaume wazee wa jiji lake na kwenye lango la mahali pake,+ 20 nao watawaambia wanaume wazee wa jiji lake, ‘Huyu mwana wetu ni mkaidi na mwasi; hasikilizi sauti yetu,+ ni mlafi+ na mlevi.’+ 21 Ndipo watu wote wa jiji watampiga kwa mawe, naye lazima afe.

YEHOVA ANYANYAPAA VILEMA,WENYE PUA PANA(KAMA zA WATU WEUSI)

Mambo ya walawi 21:17-23

17 “Sema na Haruni, na kumwambia, ‘Mtu yeyote wa uzao wako katika vizazi vyao vyote ambaye ana kasoro+ asije karibu ili kuutoa mkate wa Mungu wake.+ 18 Ikiwa kuna mtu yeyote mwenye kasoro, asikaribie: mtu aliye kipofu au kilema au mwenye pua pana au mwenye kiungo kimoja kilicho kirefu mno,+ 19 au mtu aliyevunjika mguu au aliyevunjika mkono, 20 au mwenye kijongo au aliyekonda au mwenye ugonjwa wa macho au mwenye vigaga au mwenye mba au aliyevunjwa mapumbu yake.+ 21 Mtu yeyote wa uzao wa Haruni kuhani ambaye ana kasoro hatakaribia ili kutoa matoleo ya Yehova kwa njia ya moto.+ Kuna kasoro ndani yake. Hatakaribia ili kuutoa mkate wa Mungu wake.+ 22 Anaweza kula mkate wa Mungu wake kutoka kati ya vitu vitakatifu zaidi+ na kutoka kati ya vitu vitakatifu.+ 23 Hata hivyo, hatakaribia pazia,+ wala hatakaribia madhabahu,+ kwa sababu kuna kasoro ndani yake;+ naye hatapatia unajisi patakatifu pangu,+ kwa kuwa mimi ni Yehova ninayewatakasa wao.

YEHOVA AFANYA MAUAJI YA HALAIKI,AUA WATOTO WACHANGA HADI WANYAMA

1 samweli 15:3

3 Sasa nenda, umpige Amaleki,+ umwangamize+ pamoja na vitu vyote alivyo navyo, usimhurumie, nawe uwaue,+ mwanamume na mwanamke, mtoto na mtoto anayenyonya,+ ng’ombe pamoja na kondoo, ngamia pamoja na punda.’

YEHOVA APATA KIU YA DAMU YA BINADAMU

Mwanzo 22:2

Mungu akamwambia, “Mchukue mwanao, Isaka, mwanao wa pekee umpendaye, uende mpaka nchi ya Moria, ukamtoe sadaka ya kuteketezwa juu ya mlima mmojawapo nitakaokuonesha.”

YESU AWATAKA WATUMWA KUTII MABWANA WAKATILI

1 Petro 2:18

18 Ninyi watumwa, watiini mabwana wenu kwa heshima yote, si wale mabwana walio wapole na wema peke yao, bali hata wale walio wakali.
Duh duh duh!!! Aiseee hatari!
 
Sasa aliwezaje kusema Uru ni ya wakaldayo ilihali wameanza kuishi hapo miaka 400 baada ya kifo chake

Pia aliwezaje kusema wakaanan walishatimuliwa Israel ilihali kipindi chake mpaka anakufa walikuwa bado hawajachukua canaan ...... Huoni angechanganya hadhira yake kuwahadithia kwa past tense vitu ambavyo havijatokea bado

Yaani mtu aandike magufuli alitawala Tanzania kabla zitto kabwe hajawa Rais ilihali ni 2018!! Imekaaje hii
Mkuu hii maada ni pana sana.

Musa aliambiwa yote, kuanzia kwa Adam na mtiririko wote yaani yeye alionyweshwa mambo yote.

Mfano wewe unaweza kujua baba yako ni Juma na tangia utotoni umeaminishwa Juma ndiyo baba yako. Sasa ikatokea mtu flani ameelezwa asili yako yote na pia yule Juma, siyo baba yako! Kwa uzuri kabisa anakueleza asili yako ni wapi!
Je, utamkatalia kwa sababu yeye hakwepo?

Kumbuka Mungu ni wautaratibu amependa kutujuza asili ya dunia na vilivyomo kwa usahihi.
 
katika mtirirko wa uandishi.
muhimu kufahamu watu wengi wamekuwa hawaifahamu/kulijua neno la Mungu vzuri na kwa undani ref.mleta maada...
kuna baadhi ya verse/vitabu havikuandikwa na watu moja kwa moja kama tunavyodhani isipokuwa hivyo vtabu kwa sehemu kubwa viliandkiwa na MTU Fulani
mf.siyo kama mussa aliandika vitabu vyote vile v5 HAPANA na kuna baadhi ya sehemu hakuandika mussa.
mathalani hata katika zaburi SIYO yote aliandika daudi
japo kwa sehemu kuu aliandika yeye.
mf.zaburi ya 90 iliandikwa na huyo mussa na hata zngine za mbele ziliandikwa na Suleiman ...
alikadhalika katika kitabu cha mwanzo kuna baadhi ya maeneo yaliandikwa na ENOKI na mengine waliandika watu na baadhi ya wengine.
hata WENGI sidhan kama wanafahamu kuwa Kati ya ayubu na Ibrahim alianza ayubu na kama title ya ubaba wa imani ilimfahaa Sanaa ayubu.

MKUU zitto nikiwa free nitarudi tena
Kuna kitu umekisema nimekumbuka mchungaji mmoja aliekua anatupa mahubiri alitupa ahad ya kutuambia Ayubu ni wa zamani kuliko hata Mussa,ila akasema atakuja kutupa ufafanuzi bahat mbaya alifariki siku moja kabla ya siku ya ahadi,umesema kitu cha ayubu hapo nikakukbuka hii
 
Nimekuelewa mkuu kuwa kimeandikwa na wanafunzi wake.... Je hao wanafunzi wake waliandika kipindi Musa akiwa hai bado maana mfano hiyo Issue ya wakaldayo walianza kuwepo miaka zaidi ya 400 baada ya Musa kufa je hao wanafunzi wake bado walikuwepo?? Hilo ndio nalotaka kufahamu kwamba final copy ya genesis ilitengenzwa na musa mwenyewe au kuna watu walimtumia musa tu kama moja ya chanzo cha taarifa zao ndio wakaja na final copy ya kitabu cha Mwanzo??

Swali lako ni zuri sana ila cha kijiuliza ni lini compilation ya biblia hasa agano la kale. Lakini je alivyofanya compilation hakufanya editing? N.k
 
Kuna kitu umekisema nimekumbuka mchungaji mmoja aliekua anatupa mahubiri alitupa ahad ya kutuambia Ayubu ni wa zamani kuliko hata Mussa,ila akasema atakuja kutupa ufafanuzi bahat mbaya alifariki siku moja kabla ya siku ya ahadi,umesema kitu cha ayubu hapo nikakukbuka hii
sahihi kiongozi .
kuielewa biblia /neno la Mungu ni tofauti na kukaririshwa madesa ya kina muddy phz
mfumo uliotumika kuandika biblia /kupanga vitabu Ndani ya biblia ni tofauti Sanaa na mfumo wa ki Dunia.
hapo ndipo kuna tokea swala la mkanganyiko kwa wale wasiofatilia/wasio na elimu ya theology..
lait ningepata wasaa ningekufafanulia mambo mengi.lakini karibu Pm nikupe hicho ambacho Mtumishi wa Mungu halishindwa kukukatisha kiu yako ya kutaka kufahamu
 
Hoja fikirishi,embu niendelee kuupa ubongo wangu chakula kama msomaji.
Jamaa uko vzr bg up,nataman sana niwe na access ya info km ww nakupata muongozo
 
Back
Top Bottom