Muungano tulionao ni wa kipekee kabisa duniani. Na unafahamika zaidi kama Muungano wa changu changu, chako changu.
Yaani Zanzibar ina haki ya kufaidi raslimali za Tanganyika, ila Tanganyika hairuhusiwi kufaidi chochote kutoka Zanzibar kwenye huo Muungano. Maajabu ya karne haya!!
Hao Wazanzibari wenyewe sasa walio wengi!! Kila siku ni kulia kulia, kudeka, kulalamika, na kunung'unika tu! Hata wapewe nini, huwa hawatosheki! Wanajifanya hawautaki huo Muungano unao wafaidisha zaidi wao! Ukiwaambia wajitoe; hawataki!!