Je, mwanamke anamjua mwanaume halisi aliyempa mimba?

Je, mwanamke anamjua mwanaume halisi aliyempa mimba?

Kiufupi mwanamke mwenye mimba yako na anakupenda kweli
Hatumii mtoto tumboni kama defense mechanism yake.

Hapo utapigwa sana mizinga japokuwa ni lazima ulee lakini utakuwa unalazimishwa yaani
hapo kwenye kupendana msema kweli ni mpenzi wa mungu... labda mtoto ndio atufanye tupendane sana.. ila yeye ana wivu sana
 
Subiri mtoto azaliwe ukapime DNA, usije ukadharau ..
 
Kama mwanamke anarukaruka hatajua ni nani, ila kama katulia na mmoja atajua. Mf. Siku za kushika mimba katembea na watatu,, atajua ni nani?
 
Inawezekana akawa ni wako au sio wako muda tu ndio utaongea lakini kwa nini akwambie "I will kill this kid" mtoto kamkosea nini
 
hapo kwenye kupendana msema kweli ni mpenzi wa mungu... labda mtoto ndio atufanye tupendane sana.. ila yeye ana wivu sana
Sasa Lea mtoto tu hakuna namba usiende kupima DNA wala nini
Mfanye Huyo mtoto kama malaika wa Mungu unaweza kuwa wako au sio wako.

Wewe mtunze huwezi jua ataweza kuwa msaada kwako huko mbele.
Huyo mwanamke unaweza kuwa hata hiyo mimba alishatoa
 
Inawezekana akawa ni wako au sio wako muda tu ndio utaongea lakini kwa nini akwambie "I will kill this kid" mtoto kamkosea nini
Mimi ndio nilimkosea... Na muda mwingi huwa naongea kupenda watoto... Anasemaga hivyo kupata attention yangu
 
endapo kwa kipindi kile atakua yuko na wewe tu na ndo anakupa mzigo peke ako. haina haja ya DNA
 
ungemjibi na kiingereza chetu hiki hiki cha kuombea maji ya kunywa, 'u better die bitch but that baby must live, whoever the father is'
 
Back
Top Bottom