Naendelea kusisitiza Kuna kila dalili ya kupigwa atakula vihela vyako na hiyo mimba utaambiwa imeharibika
DelHa ha haaaaa eti "I will kill this kid" hapo umepigwa pia huyo ManZi ni mjinga sana pia hata wewe usipokuwa makini atakufanyia hvyo hvyo kama anavyotaka huyo mtoto aliye tumboni mwake.
Am done. ✅