DelHa ha haaaaa eti "I will kill this kid" hapo umepigwa pia huyo ManZi ni mjinga sana pia hata wewe usipokuwa makini atakufanyia hvyo hvyo kama anavyotaka huyo mtoto aliye tumboni mwake.
Am done. ✅
😀 😀ungemjibi na kiingereza chetu hiki hiki cha kuombea maji ya kunywa, 'u better die bitch but that baby must live, whoever the father is'
Yaani this is the greatest concern nimefungua moyo kwenye malezi ya mtoto, lakini hofu yangu asije akaniletea huo ushenzi eti mimba iliharibikaNaendelea kusisitiza Kuna kila dalili ya kupigwa atakula vihela vyako na hiyo mimba utaambiwa imeharibika
Del
😀 😀
Niko Tayari sana.. sema uhakika muhimu
1 na 3 ni reasonable 2 inategemea hayo mengine na mtotoKitanda hakizai Haram
1. Lea mimba
2. Kama vipi... mchukuwe kabisa awe mke
3. Lea mtoto
Familia zetu asilimia kubwa kupigwa na kupiga kupo.
Fatherhood is a social thing, not biological "Palamagamba Kabudi - 2020"Hivi karibuni nimepokea Taarifa nzuri kwa kila mwanamme...
Kuna binti mmoja nili do naye takribani wiki 2/3 tatu zilizopita. Hivi karibuni baada ya kuona mabadiliko ya kimwili akaenda kupima ujauzito na kukuta ana ujauzito wa wiki 2/3.
Baada ya kugundua hivyo, moja kwa moja alinifata na kunipa taarifa kwa sababu mimi ndio mtu anaye amini ni muhusika mkuu Sterling wa hii movie. Binafsi niko tayari kulea hiyo mimba na mtoto,
Swali langu je kuna namna tofauti ya Kisaikolojia ya kudungua 100% kuwa mimi ndio streling hakuna nigga mwingine aliyejiongeza muda karibu na huu?
Nikichelewa kujibu SMS au kupokea simu nakuta malalamiko na. Ujumbe... 'I will kill this kid'
Baada ya kukwazana na hasira zake za Mimba... baada ya muda mfupi akanitumia message hiyo so ikawa ni njia ya kupata attention yangu upya baada ya hapo ikabidi tujadili what happened.I will kill this wizkid. Hii ni ishara kuwa huyu mtoto si wako ila kati ya wote aliokutana nao wewe ndio chaguo la kwamza
Darlin
Ulienda nae kupima ukapewa majibu au alikuletea majibu nyunbaniBaada ya kukwazana na hasira zake za Mimba... baada ya muda mfupi akanitumia message hiyo so ikawa ni njia ya kupata attention yangu upya baada ya hapo ikabidi tujadili what happened.
My concern ni either naweza nikawa mtu mwingine au baba halisi na mimba ndio njia yake kupata attention kila akiwa anashida also what if akitoa akasema imeharibika..
[emoji16][emoji16][emoji16] mtoto wa kuibia.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]jaman wizkid tena jaman khaa
niliendaUlienda nae kupima ukapewa majibu au alikuletea majibu nyunbani
😀 😀Wewe ulipita kavu...umeambiwa matokeo ya yake..unaanza kujifaragua..
Lea mimba...
Ulienda nae na ukashuhudia proc?nilienda
YapUlienda nae na ukashuhudia proc?