Hypershulemia
JF-Expert Member
- May 19, 2021
- 275
- 841
Habari za wakati huu wanajamiiforums!
Jamani mimi binafsi kuna jambo napata ukakasi kuamini kama ni kweli.
Ipo hivi kuna muda huwa naangalia channel za manabii na mitume maaraufu hapa Tanzania, Sasa kuna shuhuda huwa nazisikia mwanamke anadai kupata ujauzito bila ya kuwa na kizazi!
Wengi wa hao wanawake wanadai washatolewa vizazi vyao kutokana na matatizo ya kiafya.
Sasa Wauuguzi na Madaktari naomba mje mnipe ufafanuzi, wanapata mimba kweli bila vizazi au tunapangwa tu?
MREJESHO
kutokana ni maoni ya wadau mbalimbali ni kwamba hata kama kafanyiwa total hysterectomy ila kwa Imani anaweza pata mimba!
🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺