Je, Mwanamke anaweza kupata ujauzito baada ya kutolewa kizazi kwa kuombewa na Manabii na Mitume?

Je, Mwanamke anaweza kupata ujauzito baada ya kutolewa kizazi kwa kuombewa na Manabii na Mitume?

Nina ushuhuda. Mtoto wa Shangazi yangu alibakwa na watu zaidi ya 10, miaka ya tisini akapata maambukizi ya ugonjwa wa zinaa. Kwakuwa alikuwa mdogo wa umri (14yrs by the time) likashughulikiwa swala la yeye kubakwa, watuhumiwa walikamatwa na wakaadhibiwa vifungo virtually gerezani.

Lakini yule binamu alipata infection, kizazi kikaoza na hakukuwa na namna nyingine isipokuwa kukitoa.

Alifanyiwa upasuaji na akatolewa na kuambiwa hatozaa tena. Baada ya miaka mingi akapata jamaa, auntie akamjulisha kabisa jamaa kuwa atafute mtu mwingine maana yeye hana kabisa uwezo wa kuzaa. Jamaa akakomaa naye wakaoana.

Walipooana wakawa watu wa maombi sana, aiseee, binamu alipigwa maombi hadi kizazi kikaota, sasa ana watoto wanne
Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana !
 
Achana na manabii. Maombi hubadilisha kila kitu.

Kuna binti mwaka 2016 alitolewa kizazi kutokana na uvimbe kwenye kizazi. Madaktari wakamwambia hatokuja kuzaa. Binti alikua kamaliza kidato cha nne. Alivyoambiwa hamu ya kusoma ikisha aliyoingia form five alisoma muhula mmoja tu akaolewa. Akakaa na jamaa miaka mitatu, aisee kufupisha story ni kuwa huyo binti aba mtoto sasa hivi ana miaka miwili.

Nguvu ya imani. Binti aliamini atazaa. Story yake mi ndefu ila imani ni kitu kikubwa.
 
Acha kudanganya watu. Unajua humu kuna mamburura ambao hawashirikishi bongo zao, wanaamini kila wanachosoma. Utawapotezea muda na fedha za kuzunguka kwa manabii.

Mfumo wa uzazi umewekwa na Mungu mwenyewe...kama ilivyo mifumo mingine ya mwili. Ni utaratibu wa asili na ndivyo ilivyo haiwezi kubadilika.

Siku ikitokea hali hiyo basi itaandikwa kwenye Journal.za kisayansi na dunia yote itajua na wanasayansi hawatalala kwa mshangao.

Kwa vile hadi sasa hakuna ushahidi wowote wa kisayansi uliothibitishwa mwanamke asiye na kizazi kuzaa, basi hizo zote zitaendelea kuwa porojo.
Mungu ni zaidi ya Sayansi.Mungu hapimwi kwa Sayansi. Ndiyo maana hao wanasayansi wanasema Mungu HAYUPO.

Hakuna scientific investigation inayoonyesha Mungu yupo. Ila watu wanajua Mungu yupo.

Sasa ukijitoa akili ukawafuata hao wanasayansi utakuta na wewe unasema Mungu HAYUPO sababu unatafuta Sayansi ya kuonesha Mungu yupo.

Wanasayansi wengi unakuta kwanza sio watu kiuhalisia . Unakuta mapepo yametumwa duniani kuwapotosha watu ili waamini na waseme Mungu HAYUPO. Hayo mapepo hayana tofauti na binadamu wa kawaida kwa macho ya NYAMA ila wachawi na watu wa rohoni ndyo Wanakuwa wanajua HUYU ni mtu HUYU sio MTU.

Usifuate fuate tu watu na wanasayansi waliokuja kutudanganya.

Mwisho wa SIKU ukishaamini Mungu HAYUPO utaishi maisha bila tahadhari YOYOTE.Hicho ndyo wanachokitaka kwako mwisho wa SIKU ukifa wakuchukue wakakutese kwenye moto. Na hizo DHAMBI wanakuona mpumbavuu tuliweza kumdanganya kirahisi.Tena Huyo aliyekuwa anakucheka ukijaribu kumwelezea mambo ya Mungu unakuta kumbe alikuwa sio MTU ni Pepo na ndyo anakuzidishia MATESO huko kuzimu kwenye moto na kukudhihaki.

Ukishaanza kumwamini Mungu ambaye haonekani ndyo UTAAMINI vitu kama hivyo ambavyo haviwezekani kwa macho ya binadamu.

Tafakari uumbaji tu UTAAMINI Hilo ni SUALA dogo sana kwa Mungu.
 
Eeh Mungu tunaomba tusamehe kwa kuto kukuamini.

Umetuumba kwa namna ya ajabu lakin bado hatukuamin, umeumba universe mfano bahari, milima, mbuga n.k kwa namna ya ajabu sana lakin bado hatukuamini.

Ulipokuja duniani ulifanya mambo mengi ya ajabu kama vile kumfufua Lazaro, vipofu kuona n.k ukasisitiza tukikuamin tutafanya zaidi hata uliyofanya lkn bado hatuamin, hata wachache wakijaribu kuyafanya mambo ya kiiman ya kweli bado hutuwaamini.

Saa nyingine tunawaamin zaidi wanadamu uliowaumba wewe kuliko wewe Yesu uliyekuja duniani pale Israel lkn bado tu wazito kukuelewa.

Tunaomba tusamehe na kutuongezea sababu ya kukuamini wewe pekee.

Amen.!
 
Kweli dini ni kifungo kuliko gereza
 
msiwe wajinga kiasi hiko

Mungu alikiumba kila kitu kikiwa perfect kwenye mazingira yake

na baada ya hapo kaacha mifumo ioperate yenyewe ina maana kile ambacho hakiendani na mfumo kitajiondoa chenyewe na kufa au kujitenga kutafuta mazingira yake

Ndio maana wanyama pori wako pori na wanaofugwa tunaishi nao,sisimizi wana dunia yao ndani ya dunia ya viumbe wengine

Mungu aliumba binadamu mkamilifu...atazaa kwa njia halali za kubaolojia na ikitokea hitilafu lazima ni ya binadamu kushindwa kung'amua kabla kubeba mimba(hapa kuna sababu nyingi )

Mungu hawezi fanyia kazi vitu nje ya nature inavyoruhusu,kwahiyo huu ujinga kuwaza mtu aliyethibitishwa kutolewa kizazi akaja kushika mimba na kuzaa kabisaaaa msiuhusishe na mungu na miujiza yake

Miujiza yake inafanya kazi juu ya mambo yaliyo timilifu..miujiza ipo katika ukweli na unapokea muujiza wako katikati ya jitihada zako za kutafuta suluhu.

Mtu hawezi shika mimba kama hana kizazi,tusionane watoto na kuziba akili kwa excuse kuhusu miujiza...ujinga mtupu kuamini hayo.

Ni sawa useme ulale ndani usifanye kazi na Mungu akuletee pesa ya kula...mbona mengine akili ya kawaida tu?!
 
Back
Top Bottom