Je, Mwanamke anaweza kupata ujauzito baada ya kutolewa kizazi kwa kuombewa na Manabii na Mitume?

Je, Mwanamke anaweza kupata ujauzito baada ya kutolewa kizazi kwa kuombewa na Manabii na Mitume?

ukufuatilia youtube utagundua wanamazingaombwe wote ni ujanja tu wanatumia hakuna muujiza wowote, wana akili ya haraka sana katika kubadili mambo na vitu vingi vitakavyotumika vinakuwa vimeandaliwa tayari, ingawa ni kipaji lkn lengo lake yeye ni kutengeneza hela kwako baada ya kufanya wewe umwamini. kama kutengeneza hela ingekuwa rahisi hivyo niambie alikuwa na utajiri wa kiasi gani?.
Wewe hujui unachokijua na YouTube imekuharibu ubongo wako watu km nyinyi ndio kila kitu mnaiuliza Google eti "Google kwanini mimi mpaka sasa sina demu?"

Unaiuliza Google?

Mimi nmeshuhudia mwenyewe sio kwa kuiuliza YouTube wala Google haya km ni hivyo alikua anatoa hadi matunda ndizi ndizi machungwa kwenye Gazette alikua analifungafunga km anaweka kitu kisha mnapuliza kila mmoja anaona ndani hamna kitu analifunga kisha analinyanyua juu km vile Yesu anaitisha mikate akishusha chini kufungua machungwa haya hapa tunayamenya tunayala na hapo utasema ameenda kuyaficha wakati anafanya tunamuona?

Acha uzwazwa ile ni elimu km elimu zingine it's Magic (Uchawi) ila sio Ushirikina (Witch craft)

Ushaelewa hapo sasa?

Mimi nmeshuhudi nyumbani kwetu tena kuna kipindi ilikua hatuna majani ya kuungia chai Jamaa alikua anafanya tu yake mambo yake yaani dakika sifuri anatupea majani ya kuuingia chai na tunaunga tunapika na tunakunywa chai

Alikua Magician wa aina yake yaani sometimes tupipi pipi anafanya tu km anakupanguda pua kamasi hivi akitoa anakugawia mapipi kibao mkononi mwake yalipotoka hujui

That's magic kiswahili mnaaita Uchaaaawi
 
100% inawezekana na zimetokeaga. Nataman niwape documentary sema naogopa ID yangu itaanza kugundulika.
I marytina wa Jamii forum confirm before you that I witnessed four cases ya watu waliotolewa kizazi kuzaa baada ya maombi.
Sio wale wa kuambiwa bali wale ambao nimeshiriki nao hatua kadhaa wa kadhaaa kwenye afya zao.
Kwa mambo nliyokwisha kuyaona naamin in Jesus name hakuna shindikanaaaaaaa
 
Nina ushuhuda. Mtoto wa Shangazi yangu alibakwa na watu zaidi ya 10, miaka ya tisini akapata maambukizi ya ugonjwa wa zinaa. Kwakuwa alikuwa mdogo wa umri (14yrs by the time) likashughulikiwa swala la yeye kubakwa, watuhumiwa walikamatwa na wakaadhibiwa vifungo virtually gerezani.

Lakini yule binamu alipata infection, kizazi kikaoza na hakukuwa na namna nyingine isipokuwa kukitoa.

Alifanyiwa upasuaji na akatolewa na kuambiwa hatozaa tena. Baada ya miaka mingi akapata jamaa, auntie akamjulisha kabisa jamaa kuwa atafute mtu mwingine maana yeye hana kabisa uwezo wa kuzaa. Jamaa akakomaa naye wakaoana.

Walipooana wakawa watu wa maombi sana, aiseee, binamu alipigwa maombi hadi kizazi kikaota, sasa ana watoto wanne
Kho kho khoo.

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Wewe hujui unachokijua na YouTube imekuharibu ubongo wako watu km nyinyi ndio kila kitu mnaiuliza Google eti "Google kwanini mimi mpaka sasa sina demu?"

Unaiuliza Google?

Mimi nmeshuhudia mwenyewe sio kwa kuiuliza YouTube wala Google haya km ni hivyo alikua anatoa hadi matunda ndizi ndizi machungwa kwenye Gazette alikua analifungafunga km anaweka kitu kisha mnapuliza kila mmoja anaona ndani hamna kitu analifunga kisha analinyanyua juu km vile Yesu anaitisha mikate akishusha chini kufungua machungwa haya hapa tunayamenya tunayala na hapo utasema ameenda kuyaficha wakati anafanya tunamuona?

Acha uzwazwa ile ni elimu km elimu zingine it's Magic (Uchawi) ila sio Ushirikina (Witch craft)

Ushaelewa hapo sasa?

Mimi nmeshuhudi nyumbani kwetu tena kuna kipindi ilikua hatuna majani ya kuungia chai Jamaa alikua anafanya tu yake mambo yake yaani dakika sifuri anatupea majani ya kuuingia chai na tunaunga tunapika na tunakunywa chai

Alikua Magician wa aina yake yaani sometimes tupipi pipi anafanya tu km anakupanguda pua kamasi hivi akitoa anakugawia mapipi kibao mkononi mwake yalipotoka hujui

That's magic kiswahili mnaaita Uchaaaawi
hapo ni akili tu inatumika hakuna uchawi, sisi primary 80' tulikuwa hadi tunachangishwa siku ambayo anakuja mtu wa mazingaombwe. kwa wakati ule tulikuwa tunaona uchawi lkn hakuna uchawi wowote pale.

fuatilia american's got talent yote yaliyokuwa yanafanyika kipindi hicho na unayoyaelezea hapa yanafanyika. na ukitaka links ya ulivyovielezea hapo juu nakupa.
 
Kwa wanadamu haiwezekani kwa Mungu inawezekana.
Kama unasoma Biblia Ile story ya mke wa Abraham Sarah kuzaa mtoto wakati ana miaka 90 UNAWEZA kunielewa.
Mungu alipokuwa anamwambia Sarah atapata mtoto ,Sarah alikuwa anacheka kwa kutokuamini alijua Mungu anatania sababu alishavuka umri wa kuzaa. Alikuwa na miaka 90 kitu ambacho kwa akili za kibinadamu na kisayansi haiwezekani.Ila muujiza ulitokea.
We jamaa wewe! Sarah alikuwa haamini kwakuwa amekaa kwenye ndoa muda mrefu bila mtoto na si umri mkubwa, watu wa enzi za sarah walikuwa wakiishi miaka hadi 300 huko sasa iweje wa miaka 90 awe mzee wa kushindwa kuzaa?
 
Habari za wakati huu wanajamiiforums!

Jamani mimi binafsi kuna jambo napata ukakasi kuamini kama ni kweli.

Ipo hivi kuna muda huwa naangalia channel za manabii na mitume maaraufu hapa Tanzania, Sasa kuna shuhuda huwa nazisikia mwanamke anadai kupata ujauzito bila ya kuwa na kizazi!

Wengi wa hao wanawake wanadai washatolewa vizazi vyao kutokana na matatizo ya kiafya.

Sasa Wauuguzi na Madaktari naomba mje mnipe ufafanuzi, wanapata mimba kweli bila vizazi au tunapangwa tu?

MREJESHO
kutokana ni maoni ya wadau mbalimbali ni kwamba hata kama kafanyiwa total hysterectomy ila kwa Imani anaweza pata mimba!

🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺
Wala haiitaji maombi, inawezekana.
Ila itakuwa ni uzazi wa hatari.

Kama ulishawahi kusikia abdominal pregnancy/ujauzito nje ya tumbo la kizazi, ila kwenye maeneo ya kawaida mengine ya tumbo.

LAKINI: Kama kizazi kitakuwa kimetolewa na tyubu zimebaki bila kufungwa.

Kumbuka yai hutolewa na ovari na mji wa mimba kazi yake ni kupokea tu mbugu iliyochavushwa. Mbegu hii huitaji tu eneo lenye blood supply ya kutosha. Kumbuka kuwa mbegu ya kiume pia hujongea kwa mfumo wa chemotactis/kufuata kemikali husika.

Mtihani kwa watu wa aina hii huwa nu kushughulikia kondo la nyuma, kwani kulitoa au kuliacha huwa ni mtihani.

La kizazi kuota: laweza kuwa ni kanyaboya ya watu kutengeneza hela. Unaambiwa hali ni mbaya tutatoa mfuko wa uzazi kumbe hata kuganya hysterectomy hajui. Anafungua tumbo na kugunga na unampa chake.
 
We jamaa wewe! Sarah alikuwa haamini kwakuwa amekaa kwenye ndoa muda mrefu bila mtoto na si umri mkubwa, watu wa enzi za sarah walikuwa wakiishi miaka hadi 300 huko sasa iweje wa miaka 90 awe mzee wa kushindwa kuzaa?
Ukisoma Biblia vizuri KUHUSU habari ya Nuhu na Dunia nzima ilivyoangamizwa kwa gharika mwishoni baada ya ardhi kukauka Nuhu alimtolea Mungu sadaka na Mungu akapendezwa nayo akafanya agano na kiapo na Nuhu KWAMBA hatakaa aje aangamize Dunia tena kama alivyofanya.

Hapo Mungu akasema “Moyo wangu hautakaa ushindane na binadamu tena hivyo nampunguzia miaka ataishi miaka 120 "(kama sikosei)

Kuanzia hapo mzee baba watu wakawa wanaishi miaka mia na kidogo wakibahatika kuishi sana na ABRAHAMU ALIZALIWA BAADA YA HILI TAMKO LA MUNGU

Hivyo Sarah alivyokuwa na miaka 90 alikuwa tayari ni mzee lakini KIPINDI Cha Adamu na Hawa Adamu aliishi miaka 960++ mtoto wa kwanza tu wa Adamu amepatikana Adamu akiwa na miaka 300 Kwahiyo miaka 300 kwa hawa walioishi miaka mia Tisa bado walikuwa vijana wenye nguvu tu na sio wazee.

Tofauti na SARAH ambaye aliishi baada ya TAMKO.

Mzee Mungu anatamka tu mambo yanakuwa.Mtu ametamkiwa atazaa kwa uchungu kama masihara vile mpaka Leo hao wanawake wanazaa kwa uchungu.

Atashindwaje kurudisha KIZAZI.Ni formula tu ya kumfikia Mungu watu htujaijua .
 
Imani sio Biology mkuu...Mungu ni muweza sana kama Sarah katika umri ya kikongwe alipata mimba ambapo kwa biologia ya kawaida haiwezekani...Mungu huweza kurudisha na kurepair kila kitu
Vry true
 
Nina ushuhuda. Mtoto wa Shangazi yangu alibakwa na watu zaidi ya 10, miaka ya tisini akapata maambukizi ya ugonjwa wa zinaa. Kwakuwa alikuwa mdogo wa umri (14yrs by the time) likashughulikiwa swala la yeye kubakwa, watuhumiwa walikamatwa na wakaadhibiwa vifungo virtually gerezani.

Lakini yule binamu alipata infection, kizazi kikaoza na hakukuwa na namna nyingine isipokuwa kukitoa.

Alifanyiwa upasuaji na akatolewa na kuambiwa hatozaa tena. Baada ya miaka mingi akapata jamaa, auntie akamjulisha kabisa jamaa kuwa atafute mtu mwingine maana yeye hana kabisa uwezo wa kuzaa. Jamaa akakomaa naye wakaoana.

Walipooana wakawa watu wa maombi sana, aiseee, binamu alipigwa maombi hadi kizazi kikaota, sasa ana watoto wanne
Watu wanakupinga tu bure, lkn inawezekana kbs. Kuna mtu wa jrb kbs akitolewa kikazi na ss hv ni mjamzito.
 
Nina ushuhuda. Mtoto wa Shangazi yangu alibakwa na watu zaidi ya 10, miaka ya tisini akapata maambukizi ya ugonjwa wa zinaa. Kwakuwa alikuwa mdogo wa umri (14yrs by the time) likashughulikiwa swala la yeye kubakwa, watuhumiwa walikamatwa na wakaadhibiwa vifungo virtually gerezani.

Lakini yule binamu alipata infection, kizazi kikaoza na hakukuwa na namna nyingine isipokuwa kukitoa.

Alifanyiwa upasuaji na akatolewa na kuambiwa hatozaa tena. Baada ya miaka mingi akapata jamaa, auntie akamjulisha kabisa jamaa kuwa atafute mtu mwingine maana yeye hana kabisa uwezo wa kuzaa. Jamaa akakomaa naye wakaoana.

Walipooana wakawa watu wa maombi sana, aiseee, binamu alipigwa maombi hadi kizazi kikaota, sasa ana watoto wanne
Duh.!
Ni nchi gani huko?
 
Back
Top Bottom