Je, Mwanamke anaweza kupata ujauzito baada ya kutolewa kizazi kwa kuombewa na Manabii na Mitume?

Sijasema kua ulirudi
Nimesema kua kama Kuna ushahidi wa mtu aliekatwa mkono halafu akaombewa mkono wake ukarudi tena
Basi na Huyo bidada itawezekana kupata mimba baada ya TAH
Hapo umeeleweka mkuu ni maigizo tu, wengi wanakua wamewehuka na sauti za magitaa na vinanda na makelele ya mchungaji kukolomewa kolomewa anajikuta anaanza kuropoka uongo wa ajabu ajabu

Uchomolewe mguu alafu eti uombewe mguu urudi tena umesikia wapi?
 
South Africa Jamaa aliigiza amekufa akafufuliwa kimaigizo hakukaa mda mrefu akafa kweli msijisahaurishe

Kuna mchungaji aliomba azikwe eti kwamba baada ya siku 3 atafufuka hajafufuka mpaka leo alimuigiza Yesu

Kuna mchungaji alitaka kufunga siku 40 bila kula km Yesu alifanikiwa kutimiza siku 9 tu siku ya 10 aliukwaa umauti

Kuna mchungaji Nigeria miaka ya nyuma alitambulika km Daniel aliendesha show ya kuingia kwenye zizi la Simba eti hawatamla alipoingia walimuonyesha show ambayo hajawahi kuiona akiwa mbele ya waumini wake

Sometimes uongo upungue tafadhari uongo ukizidi sana usisahau kuna kuumbuka pia tena utaumbuka vibaya
 
Nina ushuhuda. Mtoto wa Shangazi yangu alibakwa na watu zaidi ya 10, miaka ya tisini akapata maambukizi ya ugonjwa wa zinaa. Kwakuwa alikuwa mdogo wa umri (14yrs by the time) likashughulikiwa swala la yeye kubakwa, watuhumiwa walikamatwa na wakaadhibiwa vifungo virtually gerezani.

Lakini yule binamu alipata infection, kizazi kikaoza na hakukuwa na namna nyingine isipokuwa kukitoa.

Alifanyiwa upasuaji na akatolewa na kuambiwa hatozaa tena. Baada ya miaka mingi akapata jamaa, auntie akamjulisha kabisa jamaa kuwa atafute mtu mwingine maana yeye hana kabisa uwezo wa kuzaa. Jamaa akakomaa naye wakaoana.

Walipooana wakawa watu wa maombi sana, aiseee, binamu alipigwa maombi hadi kizazi kikaota, sasa ana watoto wanne
Acha kudanganya watu. Unajua humu kuna mamburura ambao hawashirikishi bongo zao, wanaamini kila wanachosoma. Utawapotezea muda na fedha za kuzunguka kwa manabii.

Mfumo wa uzazi umewekwa na Mungu mwenyewe...kama ilivyo mifumo mingine ya mwili. Ni utaratibu wa asili na ndivyo ilivyo haiwezi kubadilika.

Siku ikitokea hali hiyo basi itaandikwa kwenye Journal.za kisayansi na dunia yote itajua na wanasayansi hawatalala kwa mshangao.

Kwa vile hadi sasa hakuna ushahidi wowote wa kisayansi uliothibitishwa mwanamke asiye na kizazi kuzaa, basi hizo zote zitaendelea kuwa porojo.
 
Habari za wakati huu wanajamiiforums!

Jamani mimi binafsi kuna jambo napata ukakasi kuamini kama ni kweli.

Ipo hivi kuna muda huwa naangalia channel za manabii na mitume maaraufu hapa Tanzania, Sasa kuna shuhuda huwa nazisikia mwanamke anadai kupata ujauzito bila ya kuwa na kizazi!

Wengi wa hao wanawake wanadai washatolewa vizazi vyao kutokana na matatizo ya kiafya.

Sasa Wauuguzi na Madaktari naomba mje mnipe ufafanuzi, wanapata mimba kweli bila vizazi au tunapangwa tu?

MREJESHO
kutokana ni maoni ya wadau mbalimbali ni kwamba hata kama kafanyiwa total hysterectomy ila kwa Imani anaweza pata mimba!

🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺
Swala la kujiuliza je hao wanawake wanajifungulia nyumbani au hospital? Je wanahushuria clinic au hawahudhurii?

Kama ingekuwa ni kweli kuwa daktari amempima au amemzalisha mwanamke mwenye mimba bila kizazi basi ingekuwa ni Big news kwenye majarida ya kisayansi.

The fact that hadi sasa hakuna news kama hiyo basi ujue hizo ni porojo tu.

Lakini hivi mtu na akili zake anawezaje kuwaamini hawa wachungaji wababaishaji? Wanaotenda miujiza kuliko hata Yesu mwenyewe?
 
While a complete uterus is the typical site of gestation, it is not absolutely necessary for fertilization and implantation. Ectopic pregnancies are most commonly found in the fallopian tubes or on peritoneal surfaces in the pelvis, including on the ovaries and omentum [1]. Pregnancy after hysterectomy is extremely rare, with the first case of ectopic pregnancy after hysterectomy reported by Wendler in 1895 [2,3,4]. To the best of our knowledge, there are only 72 cases of post-hysterectomy ectopic pregnancy reported in the world literature [3].
A 32-year-old G3P3002 African woman came from Yifag Kebele, Amhara Region, to Felege Hiwot referral hospital in Bahir Dar, Northwest Ethiopia in July 2016. She presented with abdominal pain and intractable vomiting of 1 day’s duration. She was also unable to pass feces and flatus and had developed progressive abdominal distension. She had a past medical history notable only for chronic gastritis for which she took unspecified medications and a past surgical history notable for a Cesarean hysterectomy after an intrauterine fetal demise during labor. As she had been told that her uterus was removed, she did not use contraception and had no menses. She was admitted to our surgical ward with a diagnosis of small bowel obstruction due to presumed post-operation adhesions and possible incisional hernia. She also had severe anemia and was resuscitated with 2 liters of normal saline and transfused with 2 units of blood. A plan was made to correct the hernia once she was stabilized. After 2 days in our hospital, however, her condition worsened and a consultation was made to Obstetrics and Gynecology for further evaluation.

On physical examination at the time of consultation, she was confused and irritable, with an undetectable blood pressure and a thready pulse of 132. She had labored breathing, pale conjunctiva, and a distended abdomen with a palpable mass below the midline surgical scar. An abdominal examination also revealed a fluid wave and hypoactive bowel sounds. Laboratory testing showed a white blood cell count of 12.9 × 103 with 88.4% neutrophils and hemoglobin of 5.8 g/dl. Urine human chorionic gonadotropin (hCG) was positive. A transabdominal ultrasound showed a normal liver, spleen, pancreas, and kidneys. There was a significant debris-filled intraperitoneal fluid collection, especially on the right side of her abdomen, with a deepest pocket measuring 5 cm. No lymphadenopathy was seen. A singleton, viable pregnancy was identified measuring 13 weeks of gestational age with no gross abnormality and adequate amniotic fluid.

The Obstetrics and Gynecology team diagnosed hypovolemic shock secondary to ruptured ectopic pregnancy, and our patient was taken to the operating room for a laparotomy. Intraoperative findings included 4.5 liters of hemoperitoneum, a cervical stump pregnancy with well-formed fetus and intact gestational sac, and active bleeding from partially
 
Hapo umeeleweka mkuu ni maigizo tu, wengi wanakua wamewehuka na sauti za magitaa na vinanda na makelele ya mchungaji kukolomewa kolomewa anajikuta anaanza kuropoka uongo wa ajabu ajabu

Uchomolewe mguu alafu eti uombewe mguu urudi tena umesikia wapi?
Hawawehuki. Wanapangwa. Mimi dada ya alikuwa na uvimbe kwenye kizazi. Akaenda kanisani...kaombewa ombewa wapi.

Akapangwa kwamba akatoe ushuhuda kwamba alikuwa na uvimbe sasa umeyeyuka....eti aki kili.hivyo mbele ya kadamnasi ndo atakuwa ameonyesha imani na uvimbe utayeyuka. On top of that pia alipewa shs 50,000

Akaenda...akafanya alivyofanya..mwisho wa siku akaenda kutolewa uvimbe kwa operations. Mchungaji akamwambia.alikuwa.na imani haba.

Hii ni michezo tu, watu wanapangwa waeleze vile wanavyo eleza.

Kinacho nishangaza ni kwa jinsi gani watu.wanapiteza muda huko badala ya kuwahi tiba sahihi hospitalini. Maana hata hizi tiba za hospitali ni njia ya Mungu kuponya binadamu
 
Kweli mkuu sema ndio hivyo ukishatekwa ndio umetekwa
 
huenda miujiza ipo lkn kwa haya makanisa ya siku hizi yaliyojaa kila baada ya nyumba mbili yani makanisa yamekuwa kama baa za sinza.
 
Miujiza yote inawezekana,ila miujiza ya watu kunyenyuka kiuchumi hiyo manabii wake hakuna!
Muujiza wa kukaa kwenye zizi la Simba wenye njaa ulifeli au hujui mkuu?
Screenshot_20221018-214843.png

Aliliwa na Simba na muujiza ukafeli, usikaririshwe mambo mkuu
 
tutolee upumbavu hapa
Kwa wanadamu haiwezekani kwa Mungu inawezekana.
Kama unasoma Biblia Ile story ya mke wa Abraham Sarah kuzaa mtoto wakati ana miaka 90 UNAWEZA kunielewa.
Mungu alipokuwa anamwambia Sarah atapata mtoto ,Sarah alikuwa anacheka kwa kutokuamini alijua Mungu anatania sababu alishavuka umri wa kuzaa. Alikuwa na miaka 90 kitu ambacho kwa akili za kibinadamu na kisayansi haiwezekani.Ila muujiza ulitokea.
 
Hii imekaa kiroho zaidi. Kama Wewe Sio mtaalam wa Imani za Mambo ya rohoni, UTAONA haiwezekani. ILA UKWELI INAWEZEKANA. Kila Kitu unachokiona physically, muonekano hUO wa physical umeanza kiroho (spiritual)kwanza.

Ukumbuke Mungu aliumba kila unachokiona physically kwa kutamka tuu!. Mwanga uwepo,na ukawepo, maji, Giza vitu vyote duniani viwepo na vikawepo, Bila ya kutumia physical material yoyote.

Je hii nayo huiamini ?

We si ndio ulwaambia wenzako risasi zitageuka maji mkauliwa kama nzige….
 
huenda miujiza ipo lkn kwa haya makanisa ya siku hizi yaliyojaa kila baada ya nyumba mbili yani makanisa yamekuwa kama baa za sinza.
Mazingaombwa yapo

Marehemu kaka yangu alikua anafanya hivyo yaan anakusanya matamba anafanya mazimbwezimbwe mara paap elfu 5 5 hizi hapa kutoka kwenye matambala km matambala alafu pesa mpyaaaa

RIP Brother
 
Nina ushuhuda. Mtoto wa Shangazi yangu alibakwa na watu zaidi ya 10, miaka ya tisini akapata maambukizi ya ugonjwa wa zinaa. Kwakuwa alikuwa mdogo wa umri (14yrs by the time) likashughulikiwa swala la yeye kubakwa, watuhumiwa walikamatwa na wakaadhibiwa vifungo virtually gerezani.

Lakini yule binamu alipata infection, kizazi kikaoza na hakukuwa na namna nyingine isipokuwa kukitoa.

Alifanyiwa upasuaji na akatolewa na kuambiwa hatozaa tena. Baada ya miaka mingi akapata jamaa, auntie akamjulisha kabisa jamaa kuwa atafute mtu mwingine maana yeye hana kabisa uwezo wa kuzaa. Jamaa akakomaa naye wakaoana.

Walipooana wakawa watu wa maombi sana, aiseee, binamu alipigwa maombi hadi kizazi kikaota, sasa ana watoto wanne
MUNGU NI MKUBWA SIKU ZOTE NA HAKUNA LINALOMSHINDA
 
Mazingaombwa yapo

Marehemu kaka yangu alikua anafanya hivyo yaan anakusanya matamba anafanya mazimbwezimbwe mara paap elfu 5 5 hizi hapa kutoka kwenye matambala km matambala alafu pesa mpyaaaa

RIP Brother
ukufuatilia youtube utagundua wanamazingaombwe wote ni ujanja tu wanatumia hakuna muujiza wowote, wana akili ya haraka sana katika kubadili mambo na vitu vingi vitakavyotumika vinakuwa vimeandaliwa tayari, ingawa ni kipaji lkn lengo lake yeye ni kutengeneza hela kwako baada ya kufanya wewe umwamini. kama kutengeneza hela ingekuwa rahisi hivyo niambie alikuwa na utajiri wa kiasi gani?.
 
While a complete uterus is the typical site of gestation, it is not absolutely necessary for fertilization and implantation. Ectopic pregnancies are most commonly found in the fallopian tubes or on peritoneal surfaces in the pelvis, including on the ovaries and omentum [1]. Pregnancy after hysterectomy is extremely rare, with the first case of ectopic pregnancy after hysterectomy reported by Wendler in 1895 [2,3,4]. To the best of our knowledge, there are only 72 cases of post-hysterectomy ectopic pregnancy reported in the world literature [3].
A 32-year-old G3P3002 African woman came from Yifag Kebele, Amhara Region, to Felege Hiwot referral hospital in Bahir Dar, Northwest Ethiopia in July 2016. She presented with abdominal pain and intractable vomiting of 1 day’s duration. She was also unable to pass feces and flatus and had developed progressive abdominal distension. She had a past medical history notable only for chronic gastritis for which she took unspecified medications and a past surgical history notable for a Cesarean hysterectomy after an intrauterine fetal demise during labor. As she had been told that her uterus was removed, she did not use contraception and had no menses. She was admitted to our surgical ward with a diagnosis of small bowel obstruction due to presumed post-operation adhesions and possible incisional hernia. She also had severe anemia and was resuscitated with 2 liters of normal saline and transfused with 2 units of blood. A plan was made to correct the hernia once she was stabilized. After 2 days in our hospital, however, her condition worsened and a consultation was made to Obstetrics and Gynecology for further evaluation.

On physical examination at the time of consultation, she was confused and irritable, with an undetectable blood pressure and a thready pulse of 132. She had labored breathing, pale conjunctiva, and a distended abdomen with a palpable mass below the midline surgical scar. An abdominal examination also revealed a fluid wave and hypoactive bowel sounds. Laboratory testing showed a white blood cell count of 12.9 × 103 with 88.4% neutrophils and hemoglobin of 5.8 g/dl. Urine human chorionic gonadotropin (hCG) was positive. A transabdominal ultrasound showed a normal liver, spleen, pancreas, and kidneys. There was a significant debris-filled intraperitoneal fluid collection, especially on the right side of her abdomen, with a deepest pocket measuring 5 cm. No lymphadenopathy was seen. A singleton, viable pregnancy was identified measuring 13 weeks of gestational age with no gross abnormality and adequate amniotic fluid.

The Obstetrics and Gynecology team diagnosed hypovolemic shock secondary to ruptured ectopic pregnancy, and our patient was taken to the operating room for a laparotomy. Intraoperative findings included 4.5 liters of hemoperitoneum, a cervical stump pregnancy with well-formed fetus and intact gestational sac, and active bleeding from partially
Sasa hawa si inaonesha uterus iliondolewa, but ovary, fallopian tubes zilisalia....... hapa ectopic pregnancy ikitokea hatushangai.

Mimi naona wenye hizi shuhuda watafutwe halafu tuangalie medical records zao za kutolewa vizazi zilikuwaje
 
Nina ushuhuda. Mtoto wa Shangazi yangu alibakwa na watu zaidi ya 10, miaka ya tisini akapata maambukizi ya ugonjwa wa zinaa. Kwakuwa alikuwa mdogo wa umri (14yrs by the time) likashughulikiwa swala la yeye kubakwa, watuhumiwa walikamatwa na wakaadhibiwa vifungo virtually gerezani.

Lakini yule binamu alipata infection, kizazi kikaoza na hakukuwa na namna nyingine isipokuwa kukitoa.

Alifanyiwa upasuaji na akatolewa na kuambiwa hatozaa tena. Baada ya miaka mingi akapata jamaa, auntie akamjulisha kabisa jamaa kuwa atafute mtu mwingine maana yeye hana kabisa uwezo wa kuzaa. Jamaa akakomaa naye wakaoana.

Walipooana wakawa watu wa maombi sana, aiseee, binamu alipigwa maombi hadi kizazi kikaota, sasa ana watoto wanne
Uongo mkubwa huu. Kizazi hakikutoka. Na Kizazi kikitolewa hakioti
 
Back
Top Bottom