Hypershulemia
JF-Expert Member
- May 19, 2021
- 275
- 841
Kivipi inawezekana, tunaomba shule ya reproduction mkuuNdio mkuu. Anaweza.
Karibu mkuu, ukiweza tuwekee na Scientific evidenceNina ushuhuda.
Lete maneno Sheikh.Nina ushuhuda.
Hata mimi huwa nahisi ni uongo, bila kizazi mayai yanatokea wapiNi utapeli tu hakuna miujiza ya ivo
HaiwezdkaniHabari za wakati huu wanajamiiforums!
Jamani mimi binafsi kuna jambo napata ukakasi kuamini kama ni kweli.
Ipo hivi kuna muda huwa naangalia channel za manabii na mitume maaraufu hapa Tanzania, Sasa kuna shuhuda huwa nazisikia mwanamke anadai kupata ujauzito bila ya kuwa na kizazi!
Wengi wa hao wanawake wanadai washatolewa vizazi vyao kutokana na matatizo ya kiafya.
Sasa Wauuguzi na Madaktari naomba mje mnipe ufafanuzi, wanapata mimba kweli bila vizazi au tunapangwa tu??
Sio mayai tuhHata mimi huwa nahisi ni uongo, bila kizazi mayai yanatokea wapi
Maombi ni nguvu beyond science, huamini unaacha tuKaribu mkuu, ukiweza tuwekee na Scientific evidence
Eeeeh Imani huponyaNina ushuhuda. Mtoro wa Shangazi yangu alibakwa na watu zaidi ya 10, miaka ya tisini akapata maambukizi ya ugonjwa wa zinaa.
Kwakuwa alikuwa mdogo wa umri (14yrs by the time) likashughulikiwa swala la yeye kubakwa, watuhumiwa walikamatwa na wakaadhibiwa vifungo virtually gerezani.
Lakini yule binamu alipata infection, kizazi kikaoza na hakukuwa na namna nyingine isipokuwa kukitoa.
Alifanyiwa upasuaji na akayolewa na kuambiwa hatozaa tena. Baada ya miaka mingi akapata jamaa, auntie akamjulisha kabisa jamaa kuwa atafute mtu mwingine maana yeye hana kabisa uwezo wa kuzaa. Jamaa akakomaa naye wakaoana.
Walipooana wakawa watu wa maombi sana, aiseee, binamu alipigwa maombi hadi kizazi kikaota, sasa ana watoto wanne
Hili swala ni kweli na inawezekana,Nina ushuhuda. Mtoro wa Shangazi yangu alibakwa na watu zaidi ya 10, miaka ya tisini akapata maambukizi ya ugonjwa wa zinaa.