Mkuu hapo kinachoongelewa sio sayansi ni mambo ya Mungu, kumbuka Bikira maria alipata ujauzito bila manii ya mwanaume na akazaa fresh tu, kwa Mungu wa kweli hakuna kinachoshindikanaHaiwezekani, huo ni uongo. Ukiona ana mimba basi jua kizazi alikuwa nacho tokea kuzaliwa.
Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana !Nina ushuhuda. Mtoto wa Shangazi yangu alibakwa na watu zaidi ya 10, miaka ya tisini akapata maambukizi ya ugonjwa wa zinaa. Kwakuwa alikuwa mdogo wa umri (14yrs by the time) likashughulikiwa swala la yeye kubakwa, watuhumiwa walikamatwa na wakaadhibiwa vifungo virtually gerezani.
Lakini yule binamu alipata infection, kizazi kikaoza na hakukuwa na namna nyingine isipokuwa kukitoa.
Alifanyiwa upasuaji na akatolewa na kuambiwa hatozaa tena. Baada ya miaka mingi akapata jamaa, auntie akamjulisha kabisa jamaa kuwa atafute mtu mwingine maana yeye hana kabisa uwezo wa kuzaa. Jamaa akakomaa naye wakaoana.
Walipooana wakawa watu wa maombi sana, aiseee, binamu alipigwa maombi hadi kizazi kikaota, sasa ana watoto wanne
Yaani mtu utolewe meno alaf uambiwe utaendelea kutafuna nyama 😄Mkuu, ni sawa na mtu akang'olewa macho, yaani yakatolewa kabisa, halafu akakwambia anaona.
Likiombewa linatembea ni imani yako ndio itakuponyahivi gari inaweza kutembea kama ikitolewa mataili na engine
Anakuambia maombi mpaka kizazi kikaotatutolee upumbavu hapa
ss mpk uliombee leo kwel mda ushaptea hpoLikiombewa linatembea ni imani yako ndio itakuponya
Mungu ni zaidi ya Sayansi.Mungu hapimwi kwa Sayansi. Ndiyo maana hao wanasayansi wanasema Mungu HAYUPO.Acha kudanganya watu. Unajua humu kuna mamburura ambao hawashirikishi bongo zao, wanaamini kila wanachosoma. Utawapotezea muda na fedha za kuzunguka kwa manabii.
Mfumo wa uzazi umewekwa na Mungu mwenyewe...kama ilivyo mifumo mingine ya mwili. Ni utaratibu wa asili na ndivyo ilivyo haiwezi kubadilika.
Siku ikitokea hali hiyo basi itaandikwa kwenye Journal.za kisayansi na dunia yote itajua na wanasayansi hawatalala kwa mshangao.
Kwa vile hadi sasa hakuna ushahidi wowote wa kisayansi uliothibitishwa mwanamke asiye na kizazi kuzaa, basi hizo zote zitaendelea kuwa porojo.
Kweli dini ni kifungo kuliko gerezaMungu ni zaidi ya Sayansi.Mungu hapimwi kwa Sayansi. Ndiyo maana hao wanasayansi wanasema Mungu HAYUPO.
Hakuna scientific investigation inayoonyesha Mungu yupo. Ila watu wanajua Mungu yupo.
Sasa ukijitoa akili ukawafuata hao wanasayansi utakuta na wewe unasema Mungu HAYUPO sababu unatafuta Sayansi ya kuonesha Mungu yupo.
Wanasayansi wengi unakuta kwanza sio watu kiuhalisia . Unakuta mapepo yametumwa duniani kuwapotosha watu ili waamini na waseme Mungu HAYUPO. Hayo mapepo hayana tofauti na binadamu wa kawaida kwa macho ya NYAMA ila wachawi na watu wa rohoni ndyo Wanakuwa wanajua HUYU ni mtu HUYU sio MTU.
Usifuate fuate tu watu na wanasayansi waliokuja kutudanganya.
Mwisho wa SIKU ukishaamini Mungu HAYUPO utaishi maisha bila tahadhari YOYOTE.Hicho ndyo wanachokitaka kwako mwisho wa SIKU ukifa wakuchukue wakakutese kwenye moto. Na hizo DHAMBI wanakuona mpumbavuu tuliweza kumdanganya kirahisi.Tena Huyo aliyekuwa anakucheka ukijaribu kumwelezea mambo ya Mungu unakuta kumbe alikuwa sio MTU ni Pepo na ndyo anakuzidishia MATESO huko kuzimu kwenye moto na kukudhihaki.
Ukishaanza kumwamini Mungu ambaye haonekani ndyo UTAAMINI vitu kama hivyo ambavyo haviwezekani kwa macho ya binadamu.
Tafakari uumbaji tu UTAAMINI Hilo ni SUALA dogo sana kwa Mungu.
msiwe wajinga kiasi hikoEeh Mungu tunaomba tusamehe kwa kuto kukuamini.
Umetuumba kwa namna ya ajabu lakin bado hatukuamin, umeumba universe mfano bahari, milima, mbuga n.k kwa namna ya ajabu sana lakin bado hatukuamini.
Ulipokuja duniani ulifanya mambo mengi ya ajabu kama vile kumfufua Lazaro, vipofu kuona n.k ukasisitiza tukikuamin tutafanya zaidi hata uliyofanya lkn bado hatuamin, hata wachache wakijaribu kuyafanya mambo ya kiiman ya kweli bado hutuwaamini.
Saa nyingine tunawaamin zaidi wanadamu uliowaumba wewe kuliko wewe Yesu uliyekuja duniani pale Israel lkn bado tu wazito kukuelewa.
Tunaomba tusamehe na kutuongezea sababu ya kukuamini wewe pekee.
Amen.!