Ralph Tyler
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 2,828
- 3,579
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MkuuMmhhh!! Hapana kwa kweli kujioa, nakumbuka shemeji angu alioa dada angu kwa 50000 kwa sababu hali yake kiuchumi haikua nzuri, hivyo dada aliwaeleza ukweli wazazi na wazazi wakapanga mahari kulingana na hali halisi ya muoaji
Ndio na mimi nimesema asante yangu haipaswi kuandamana na mahari.Ukiamua kuoa lazima ukubali kubeba jukumu..ndiyo Maana ya kula kwa jasho [emoji23][emoji23].
Hakuna sehemu mtu anakulazimisha kuoa..
Kudeka Ni muhimu jamani[emoji1787]..mume ajiandae tu.
Kitendo Cha kubadili ukoo Ni Cha thamani kuliko vyote,mahari Ni muhimu
Mahari haiwezi ikalipa fadhila zote alizofanya mzazi kwa mtoto..ndiyo Maana nimekwambia mahari Ni aksante tu
Yeye kunipa hela Ni zawadi Wala SI ujira.Ndio na mimi nimesema asante yangu haipaswi kuandamana na mahari.
Naona ukifikiria siku moja unaenda kubadili ukoo huwa inatamani Kama usiolewe vile. Ukiambiwa ubadili dini je?
Fikiria siku hiyo umeenda kwa boyfriend wako, baada ya muunganiko wa kimwili anakupa laki 2 kama zawadi. Je, utaichukulia kama ni zawadi au utatafsiri huo ni ujira kwa kazi nzito uliyoifanya kwake ?
Nna wasiwasi na hilo. Kwamba hakuna wanolewa bila mahari ?Yeye kunipa hela Ni zawadi Wala SI ujira.
Sina mpango wa kuja kubadili dini hata iweje.
Wasioolewa kwa mahari hii dunia haipo.
Kuna dada pale juu amesema walikwenda na WWII na Bora tu walikwenda Maana walikuwa wanawake wapumbavu kuwahi kutoka[emoji1787]
Yeye Kama atanipa Ni maamuzi yake tu..na sio lazima anipe huo muda.Nna wasiwasi na hilo. Kwamba hakuna wanolewa bila mahari ?
Sawa ni zawadi Ila kwa nini asikupe muda mwingine hiyo zawadi aamue kukupa pindi tu mmalizapo tendo kama huo sio ujira ?
Kwa upande wangu ningependelea kutoa asante yangu kwa wazazi wa binti muda wowote ntakaojisikia ila sio wakati nnaomchukua binti yao mikononi mwao. Sema ndo hivyo kukutana na hii bahati Basi ni nadra sana japo zipo.
Soon nitakupa cardNdiyo ukae hapo utombeke wenzio wanaolewa unawaona..!
Ndiyo ukae hapo utombeke wenzio wanaolewa unawaona..!
Utakuwa lichagga wewe
Nilishasema pale juu kwamba hata ningekuwa na pesa za kumwaga,siwezi kumpa mwanaume hela ya mahari
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yani kuna wanaume hawajielew kabisa nini wanachoongea ...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Naona unajifanya unanijua sana kuliko ninavyojijua mwenyewe eeh?, we vp umetoka milembe au?, kila mtu anaelezea kile anachokiona mn ni uwanja mpana ndo mn tumekutana apa na ndo mn mada zinaletwa, au unaforce urfk na mimi?, siwi na mrfk wapuuz km ww na wafinyu wa akili plus kupenda mteremko km ww
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Umeona eeeh..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] naona anataka kunipanda kichwani, na kuforce urfk nimjibu...wkt hii ni mada imeletwa kila mtu anachangia vile anavyoona kwa upande wake, yeye km anasubiri kuolewa ni yeye lkn atambue wanaume wanaoa sio kuolewa...hayo mengine ni makubaliano tu kati ya mke na mume.
Siwezi kujitolea mahari abadanWe shwaini nangoja ufike sour28 ili ukakalipie kanyo kiduku kako mahari kwa mkopo,,,maliza kucheka kwanza uje!😂😂😂😂😂 ila huwez amini ndiko tunakoelekea, maisha yatakuwa kama India...mke ndio anatoa mahari!
🤣🤣🤣🤣🤣Siwezi kujitolea mahari abadan
Naona umegoma kabisa kuolewa bila mahari.Yeye Kama atanipa Ni maamuzi yake tu..na sio lazima anipe huo muda.
Asante wazazi unaruhusiwa kuwapa muda wowote tu utakaotaka..Ila ile aksante wakati wa kunichukua Ni lazima.
Ndo Kama Yale maswali yanayokuwaga compulsory kufanya kwenye paper[emoji2]
Naona umegoma kabisa kuolewa bila mahari.