Je, mwanamke uko tayari kumpa pesa mchumba wako akakulipie mahari kwenu?

Heee sio kwenye pesa nyingi kiasi iko...ata mahali sitaki aniambie apunguziwe...iyo iyo aliyotajiwa agangamale alipe
Hutamuonea huruma jamaa na ana nia kweli na akishindwa kutoa na ndoa si ndo basi tena utakubaliana nayo hayo ?

Si ataenda mchumbia rehema kwa njiwa wawili aweke ndani au anamuoa asha kwa elfu hamsini
 
Hutamuonea huruma jamaa na ana nia kweli na akishindwa kutoa na ndoa si ndo basi tena utakubaliana nayo hayo ?

Si ataenda mchumbia rehema kwa njiwa wawili aweke ndani au anamuoa asha kwa elfu hamsini
Simuonei huruma, kabla ya nitakuwa nishamueleza kuwa posa ni bei gani, so ni lazima ajipange kabisa...asipokubali bs huyo hana nia anapenda mteremko tu
 
Kwani posa unafikiri ni hela kubwa basi...ata sio kubwa hatoshindwa kutoa
Hutamuonea huruma jamaa na ana nia kweli na akishindwa kutoa na ndoa si ndo basi tena utakubaliana nayo hayo ?

Si ataenda mchumbia rehema kwa njiwa wawili aweke ndani au anamuoa asha kwa elfu hamsini
 
Umeona eeeh, yani endapo ukifanya icho kitu kwa mpenzi wako eti ili upate ndoa utakuja jutaaa...atakuachia majukumu yoteee ww ya kulea ndani ya familia...wadada msiwatolee waume zenu mahali jmn na ww mkaka utayekubali icho kitu utakuwa hujielewi...unakubali kuolewa
Kama walikuwepo Basi walikuwa wanawake wapumbavu kuwahi kutokea.
 
Hongera mkuu,hao wanawake wapo ila wachache
 
Ni ujinga Sana.
Wala sio upendo huo.
 
safi sana
 
Nakwambiaje wanaume ambao wametolewa mahali na wakawa waaminifu kwa wake zao na kuwaheshimu plus kuwarudishia pesa zao za posa ni wachache, hao ndo wanajua nini maana ya maisha lkn si vibrazameni vinavyooa miakaa hii ya magu ,wengi wao watakucheka pembeni watakuona yani ww umependa na umeoza kbs huwez kufurukuta chchte kwake, kiasi kwamba usishangae utabaki unahudumia mahitaji ya familia mwnyw na mwanamke unakuwa kichw ss bdl ya kiwili wili ...wanaume wa sasa ni tofauti na wenye akili ya kujua nini wanachokifanya na thamani ya upendo ni nini ni wachache...mark hiyo...mwanaume play part yako vzr...toa mahari mwenyewe hata kama ni elfu kumi au mbuz mmoja,jitahd toa ili upate kuheshimika...mana wanawake wa siku hizi pia ni vizungumkuti...
Hongera mkuu,hao wanawake wapo ila wachache
 
Kwahio alikukopesha mahari hio.🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…