Je, mwanamke uko tayari kumpa pesa mchumba wako akakulipie mahari kwenu?

Je, mwanamke uko tayari kumpa pesa mchumba wako akakulipie mahari kwenu?

Okay basi msimkomoe kijana wa watu mkamwambia alete milioni na ng'ombe kama wote hili asishindwe kukuchukua kwa wazazi wakoMaana wengi wanajilipia Mara nyingi wazazi wanataja kiwango ambacho ni too much mnoo mlengwa anashindwa kutoa
Labda Kama hawakutaki.
Mwanamke ndiye anakujua vema ulivyo kiuchumi.
Yeye ndiye mwenye wajibu wa kuongea na wazazi kuwauliza kuhusu mahari..
Nadhani Mambo ya kukomoana siku hizi hayapo..labda kwa familia zenye njaa zinazochukulia mahari Kama mtaji wa kujinufaisha/utajiri.
 
Ndo kupenda uko mkuu...wanawake wakipenda wanapenda haswa...yani apo haoni ata kama anateseka , anaona tu heri
Kumbe ushawahi kupenda hivyoo hadi ukaoza kabisaa naona umesisitiza kwa experience

Mtumishi Anne ye ndo anajifanya Van damme au Arnold shwazniger wa mapenzi haya bana
 
Labda Kama hawakutaki.
Mwanamke ndiye anakujua vema ulivyo kiuchumi.
Yeye ndiye mwenye wajibu wa kuongea na wazazi kuwauliza kuhusu mahari..
Nadhani Mambo ya kukomoana siku hizi hayapo..labda kwa familia zenye njaa zinazochukulia mahari Kama mtaji wa kujinufaisha/utajiri.
Nadhani hapo unazungumzia zile familia ambazo baba, mama na watoto wanaweza wakala meza moja au kukaa sebuleni pamoja na kupiga story. Zipo familia baba akiwepo sebuleni basi mwenye uthubutu wa kusogea hapo ni mama tu. Hapa unafikiri bibi harusi mtarajiwa utaanza kuzungumza sijui hali ya kiuchumi ya boifurendi wako ? L
 
Basi Mimi nimezungumzia familia zinazoishi kwa upendo ikiwepo ya kwetu.
Sizungumzii familia zinazoishi maisha ya kisimba Simba [emoji23].
 
Mwanaume kupewa mahari Ni umama..
Mwanaume wa hivi Mimi simtaki kwa kweli,,,apite tu pembeni,,yaani ameshindwa hata kuzibua vyoo au kuzungusha karanga??
Huu sio upendo,Ni ujinga
Hahahahahahah ngumu sana kwa mwanamke kugundua huu ujinga akiwa kakunwa sawa sawa.

Mbona we hudate na mzibua choo mama, kwa haraka haraka utakuwa single. Sijawahi ona mwanamke ana wish ku date na mzibua vyoo au mtembeza karanga humu pamoja na matangazo yote.
 
Back
Top Bottom