Je, mwanamke uko tayari kumpa pesa mchumba wako akakulipie mahari kwenu?

Hahahahahahah ngumu sana kwa mwanamke kugundua huu ujinga akiwa kakunwa sawa sawa.

Mbona we hudate na mzibua choo mama, kwa haraka haraka utakuwa single. Sijawahi ona mwanamke ana wish ku date na mzibua vyoo au mtembeza karanga humu pamoja na matangazo yote.
Mimi nipo bae wangu mzoa taka kitaa kwetu nampenda mno.
 
Kuna Uzi mmoja niliandika bifu langu na mkwe wangu kabla sijamuoa. Sasa nilipotaka kuoa mzee akataka kunikomoa ili arudishe hela zake nilizomtoaga polisi. Kusoma barua akataka mahari ya 3 million.

Nikaka na muolewaji nikamwambia budget ni 2m na si vinginevyo, nikamtaka awashawishi wapunguze ila walikataa. Kilichofuata 1m kailipa mwenyewe wife na ndoa ipo mpaka leo. Kupanga ni kuchagua.
 
Hahahahahahah ngumu sana kwa mwanamke kugundua huu ujinga akiwa kakunwa sawa sawa.

Mbona we hudate na mzibua choo mama, kwa haraka haraka utakuwa single. Sijawahi ona mwanamke ana wish ku date na mzibua vyoo au mtembeza karanga humu pamoja na matangazo yote.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Kwani kuuza karanga sio kazi jamani??
Kazi Ni kazi tu hata Kama Ni kuzibua choo...hiyo inamfanya mwanaume aonekane mwanaume na Anakuwa anakamikisha maandiko ya kula kwa jasho.

Kikubwa Ni upendo...Kama Kuna chemistry nzuri Kati yenu mnadate tu,,,Kama hujampenda Basi hudeti nae maana huwezi Anza kudeti na mtu kwa huruma eti kisa tu Ni muuza karanga.
 
Basi Mimi nimezungumzia familia zinazoishi kwa upendo ikiwepo ya kwetu.
Sizungumzii familia zinazoishi maisha ya kisimba Simba [emoji23].
Hizo za upendo unakuta hata mahari hamna, muhimu mmependana na mmefanya mambo yenu kirasmi mnapewa tu baraka za wazazi. Ila ukishakutana na mzazi anapiga hesabu ya ile ada aliyomlipia ada mwanae Feza girls kuanzia form one hadi form 6, kisha akampeleka Oxford University sijui huko. Jiandae kuumia. Binti utapoanza oh unajua Ben wangu saizi ndo kwanza katoka kununua kiwanja hivyo saizi hana hela mpangie mahari ya laki 6, utaulizwa unajua ada uliyolipigwa form one ukiwa pale Feza ?
 
Hakuna mahari????
Haiwezekani hiyo...baraka zitatolewa na mahari lazima itolewe.
 
Hio chemistry huwa nyepesi sana kwa wastaafu ama vigogo wa serikalini ila kwa vijana fukara mbona huwa ngumu sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Kwani kuuza karanga sio kazi jamani??
Kazi Ni kazi tu hata Kama Ni kuzibua choo...hiyo inamfanya mwanaume aonekane mwanaume na Anakuwa anakamikisha maandiko ya kula kwa jasho.

Kikubwa Ni upendo...Kama Kuna chemistry nzuri Kati yenu mnadate tu,,,Kama hujampenda Basi hudeti nae maana huwezi Anza kudeti na mtu kwa huruma eti kisa tu Ni muuza karanga.
 
Hii Mara nying hutokea pale ambapo mwanamke ndo anafosi ndoa,mim mwenyewe ishanitokea lakin nikakataa kupokea pesa yake
 
Hio chemistry huwa nyepesi sana kwa wastaafu ama vigogo wa serikalini ila kwa vijana fukara mbona huwa ngumu sana.
Mbona si ngumu hata[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Mstaafu nampeleka wapi mzee wa watu mie[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Unashindwa kutofautisha kuwa Kuna mapenzi na Kuna udangaji.
 
Hizo za upendo unakuta hata mahari hamna, muhimu mmependana na mmefanya mambo yenu kirasmi mnapewa tu baraka za wazazi. Ila ukishakutana na mzazi anapiga hesabu ya ile ada aliyomlipia ada mwanae Feza girls kuanzia form one hadi form 6, kisha akampeleka Oxford University sijui huko. Jiandae kuumia. Binti utapoanza oh unajua Ben wangu saizi ndo kwanza katoka kununua kiwanja hivyo saizi hana hela mpangie mahari ya laki 6, utaulizwa unajua ada uliyolipigwa form one ukiwa pale Feza ?
🤣🤣🤣🤣🤣 hahahah mzee anataka mawe.
 
Back
Top Bottom