Je mwanaume akiwa na U.T.I anashindwa kusimamisha?

Je mwanaume akiwa na U.T.I anashindwa kusimamisha?

Technophilic Pool

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2024
Posts
2,597
Reaction score
3,965
Ni kama wiki hivi sina hamu ya tendo la ndoa, wala nikiamka asubuhi sioni kama mshedede unasimama!

Nikawa najiuliza nimepatww na nini?

yaan unakuta kanyamakazi kamesinyaaw😳….

Sasa juzi homa imechochea leo nimeendaa naambiww nina UTI.

Je, ni kawaida?
 
UTI kwa kimombo ni Urinary Tract infection, hii inaamanisha ni maambukizi kwenye njia ya mkojo!

Kwa maana nyingine ni bladder infection au maambukizi katika kibofu, figo na mfumo wa uzazi! Hadi mgongo!

Maeneo yote hayo ni nguzo mhimu sana kwenye urijali au kuamka kwa uume!

Unapoumwa mawasiliano yanavurugwa usitegeemee utakuwa kama kawaida!

Ni vyema kumuona daktali mapema kwa tiba
 
Back
Top Bottom