UTI ni Maambukizi ya Mfumo wa Mkojo kuanzia kwenye Figo mpaka kwenye Urethra...
Na Kupata Hamu Ya kufanya Ngono/Mapenzi inakuwa Controlled by Hormones Mbalimbali zinazozalishwa Kweny Ubongo na Kwenye Mfumo wa Uzazi wa Mwanaume/Mwanamke..
Ambao kwa mwanaume Huanzia kwenye Korodanu mpaka Urethra..
The only thing ambayo zinaweza kuconnect hii mifumo miwili Ni Urethra peke yake..
Na urethra haina uwezo wa Kuzuia Hashki au hamu ya kufanya Tendo la ndoa..
Na huenda akawa na Maambukizi ya RTI (Reproductive Tract infection) ambayo mara nyingi ukipima Mkojo utaambiwa UTI..
Japo ukitoa maelezo vizuri kwa Daktari Atajua hasa tatizo ni nini na Kupitia culture and sensitivity ya Mkojo kuangalia wadudu walioathiri kunaweza kutoa Picha kuhusu Mdudu huyo Ni wa UTI au RTI..
LAKINI KUMBUKA
UTI Kwa Mwanaume Ni Uncommon (sio kawaida)..
So whatever you see UTI in mwanaume Fikiria Kuhsu Ugonjwa wa zinaaa..