Technophilic Pool
JF-Expert Member
- Jan 18, 2024
- 2,597
- 3,965
Ngoja wajeNi kama wiki hivi sina hamu ya tendo la ndoa, wala nikiamka asubuhi sioni kama mshedede unasimama!
Nikawa najiuliza nimepatww na nn?
yaan unakuta kanyamakazi kamesinyaaw😳….
Sasa juzi homa imechochea leo nimeendaa naambiww nina UTI.
Je ni kawaida??
hamna wala
Nyeto inahusianana nini na U.T.I..!?
Nyamwi255 nae kashaingia kwenye 18 za hayo mambo nn 😂😂😂😂
mkuu umeeleza kitaalam sanaUTI kwa kimombo ni Urinary Tract infection, hii inaamanisha ni maambukizi kwenye njia ya mkojo...
eti eehHavina uhusiano.
😂😂Mola akurehemu. 🙏
Asante