Je mwanaume akiwa na U.T.I anashindwa kusimamisha?

pamoja na kwamba una UTI but hiyo ni miongni mwa athari za punyeto kwa muda mrefu zimeanza kujionyesha...

kesho kwamfano ukaugua mafua au malaria mshedede utalala fofofo na utanyauka zaidi ๐Ÿ’

acha nyeto mara moja,sawa gentleman!๐Ÿ’
 
DR Mambo Jambo unalizungumziaje hili?
 
Maambukizi ya UTI kwa kawaida huwapata zaidi wanawake, ingawa wanaume wanaweza pia kupata. Wewe ni kati ya wanaume wachache wanaougua magonjwa ya kike
 
DR Mambo Jambo unalizungumziaje hili?
UTI ni Maambukizi ya Mfumo wa Mkojo kuanzia kwenye Figo mpaka kwenye Urethra...

Na Kupata Hamu Ya kufanya Ngono/Mapenzi inakuwa Controlled by Hormones Mbalimbali zinazozalishwa Kweny Ubongo na Kwenye Mfumo wa Uzazi wa Mwanaume/Mwanamke..

Ambao kwa mwanaume Huanzia kwenye Korodanu mpaka Urethra..

The only thing ambayo zinaweza kuconnect hii mifumo miwili Ni Urethra peke yake..
Na urethra haina uwezo wa Kuzuia Hashki au hamu ya kufanya Tendo la ndoa..

Na huenda akawa na Maambukizi ya RTI (Reproductive Tract infection) ambayo mara nyingi ukipima Mkojo utaambiwa UTI..

Japo ukitoa maelezo vizuri kwa Daktari Atajua hasa tatizo ni nini na Kupitia culture and sensitivity ya Mkojo kuangalia wadudu walioathiri kunaweza kutoa Picha kuhusu Mdudu huyo Ni wa UTI au RTI..

LAKINI KUMBUKA

UTI Kwa Mwanaume Ni Uncommon (sio kawaida)..
So whatever you see UTI in mwanaume Fikiria Kuhsu Ugonjwa wa zinaaa..
 
sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ