Je mwanaume akiwa na U.T.I anashindwa kusimamisha?

Sasa hapa kutishana kwamba UTI kwa mwanaume ni uncommon sasa hii kwangu imetoka wap
 
Maambukizi ya UTI kwa kawaida huwapata zaidi wanawake, ingawa wanaume wanaweza pia kupata. Wewe ni kati ya wanaume wachache wanaougua magonjwa ya kike
Au cyo?? UTI si ugonjwa wa kike ndo maana haukai kwene via vya kike
Urinary Track Infection umeona kuna kitu kimeandikwa woman hapo au kinaendana na ke?
 
Sasa hapa kutishana kwamba UTI kwa mwanaume ni uncommon sasa hii kwangu imetoka wap
Nop Sio Kutishana Mifumo ya Magonjwa Ya UTI na upatikanaji wake Anatomically Ni vigumu sana Kumpata Mwanaume hasa kutokana na Chanzo cha Bacteria anayesababisha UTI ya kawaida..

Mwanaume akupata UTI huenda Sio UTI ya kawaida na mara Nyingi Huwa tunaichukulia kama UTI inayotokana na magonjwa na Ngono!..

Kama una swali karibu
 
Aisee kwaiyo nitakua ni gonorrohea patient mm
 
Ila wanaume [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa unaumwa nguvu za kusimamisha hovyo unazikuta wapi??
Inategemea na homa uduguuu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wee hujui?
 
Kunywa maji mengi atasimama tu
 
Hiyo ni kweli mkuu, kuna muda inafikia upo na manzi yako geto imesimama ile ukitaka kuingiza hivi inasinyaa.... Hiyo kitu siyo ya kuletea mchezo
 
UTI inaweza kuwa moja ya sababu nyingi zinazokusababishia tatizo hilo.Una matatizo mengine zaidi kuliko UTI.Ukifunguka vizuri unaweza kusaidika kuliko kujifichia kwenye UTI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…