Je, mwanaume anaweza kumbaka mke wake wa ndoa?

Ndoa ni hiari ya tendo la ndoa, kosa la kubaka linatokana na kukosa hiari kwa mwanamke, hivyo hakuna kubaka wawili wakiwa kwenye ndoa labda kama wametengana.
 
Ndoa ni hiari ya tendo la ndoa, kosa la kubaka linatokana na kukusa hiari kwa mwanamke, hivyo hakuna kubaka wawili wakiwa kwenye ndoa labda kama wametengana.
Kwa sheria za Tanzania marital rape haipo.
 
Kinachonisikitisha zaidi ni kuwa mwanamke anaebakwa na mumewe mara nyingi anaamini kuwa wanawake wote wanabakwa. Nina ndugu anabakwa na mumewe daily. Anakiri hajapata orgasm for the past 5 years (nahisi ya mumewe manake siamini kama hana affair aisee).
Tunabakwa kila siku na hatusemi (naomba mungu my huby asisome hapa BE)

Hii sheria ni muhimu saaa. Mwanaume wa kweli furaha yake ni kuona mwanamke anafurahia tendo. Tena mwanaume wa kweli akiona mwenza hafurahii yuko tayari kukatisha mechi na kujadili mbinu mbadala.

Usiongelee tu alietoka kwenye pombe na kuparamia mke. Kuna anaetoka atokako, anampiga mkewe na kulazimisha tendo. Na wanawake badala ya kuchukua hatua, anaamua kuwa na affair amanake mapenzi hayapo hapo. Well, binafsi labda nisingeenda mahakamani, lakini seriously nitamuacha. Tena tendo la kubaka halitafanikiwa manake nitamtukana hadi kibamia kita-cease!
 
Reactions: BAK
Mahari ni tooeeh. Tena dume kadha tu naja home nina hamu na tunda tena haswa apo na kama wik sija kugusa eti we una nijibu fyoko fyoko sitaki kuguswa we we unazani nita acha kukubaka kweli dah. Liwalo na liwe nakubaka na ukileta ugumu vitanzi apo apo una kula.
 
Hata mume ku-mdo mkewe bila kumfikisha kileleni ni ubakaji!

(Inabidi kama hicho kipengele hakipo hyo sheria iwe reviewed)

Kwi kwiiiiiiiii msinirushie mawe wajameniiii!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 

Mwanaume huwa hakatai papuchi.. .. So hakuna mwanaume kubakwa.


Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Shame on you!!!!!!!do you think that' funny?em tell me it's just a joke can't believe kuna wanaume ambao bado wana mila za kizamani eti ooh nimetoa mali,kwa hiyo we kwa maoni yako unafikiri huyo mkeo anakupenda bado kwa hiyo tabia yako au??????kama ni kweli una hiyo tabia hebu badilika!!!!!!!
 
Nafikiri mume kubaka ni pale anapolazimisha tendo wakati mke hayupo tayari

nawewe mwanamke ukilazimisha hubaki? mbona huu naona ushetani maana kwenye ndoa si kila mmoja atakuwa kufanya tendo ila inategemeana na mwenzi wako anataka basi manapeana
 

Kooote sijaona nimeona hapo tu kwenye red ha ha ha ha acha vituko wewe
 
Statistics has it that 64% of married women in United states are raped everyday. Assumption is there is always no consent when it comes to sexual intercourse. Reasons for this is fatigue from daily works that one fails to give consent and as a result ending up in pleasing the spouse rather than participating in the act.
I hope when you understand the word consent you can be able to deduce that even men are prone to be raped.
 
Haya nimeyaona, unajua tuliopo kwenye ndoa maranyingi tunapata shida sana pale unapokuwa na mke halafu muda mwningine anakufanyia makusudi, mfano toka ukiwa kazini mfano umempigia simu na kumtaarifu jambo lako...na bila sababu jioni unajua utapata,ikifika muda anaanza kuleta shida mara atakuambia amechoka au hajisikii... au anakubali fore play kwenye mchezo kamili anakataa... kwa nini hapo mtu asilazimishie...ndo wanadai wamebakwa..
 

u've offered a precise definition of rape. I concur with you and actualy i dismis the moderator's conception of rape as simply missing orgasm
 

siyo wikipedia tu, sheria ya ndoa tanzania ya 1971, iko hivyo, tatizo ni watu ambao hawajasoma sheria pamoja na wanaharakati uchwara huko mitaani wanapotosha ukweli huu, lakini kubakwa itategemea endapo mtakuwa mumetengana, hapo ukilazimisha yako bila malidhiano ni ubakaji kisheria!
 
Very well said Best...:yo::yo::yo:

 
cho thue kho HoÃ-ng Mai HN

Di?n tÃ-ch cho thue kho: Hon 2000 m2 (kho) vÃ- 370 m2 x 2 t?ng (nhÃ- di?u hÃ-nh)

H? th?ng cho thue kho n?m trong KCN, xu?ng d?p, cao, xe container ra vÃ-o r?t thu?n ti?n, b?o v? 24/24, r?t thu?n l?i cho vi?c lÃ-m xu?ng s?n xu?t, lÃ-m kho hÃ-ng, m? trung tâm dÃ-o t?o vÃ- d?y ngh?.

Gi?y t? d?y d?, xu?t du?c hóa don. Di?n 3 pha, nu?c d?y d?.

uu tiên cho thue kho lâu dÃ-i.

Quý khách có nhu c?u vui lòng liên h?:

Ms Dung: 0462733819

Email: dungkmass@gmail.com

Công ty CP Tu v?n BDS Kmass Vi?t Nam

P 213, 51 D?c Ng?, Ba Dình, HÃ- N?i, VN

http://kmassproperty.com

http://batdongsankmass.com
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…