Je, mwanaume anaweza kumbaka mke wake wa ndoa?

Hivi wasio kwenye ndoa wanayo haki ya kujadili mambo yasiyowahusu?

Please Kaizer nisaidie kidogo hapa!!
 
Last edited by a moderator:
Hivi wasio kwenye ndoa wanayo haki ya kujadili mambo yasiyowahusu?

Please Kaizer nisaidie kidogo hapa!!

Mkuu sina uhakika na status ya mtoa mada ila nadoubt kama ni mwanandoa mwenzetu....
 
Last edited by a moderator:
huo ni ubakaji ndio..na kwa baadhi ya nchi unafungwa kabisa..sijajua kwa tz imekaaje
 
FROM LEGAL POINT OF VIEW
Kiujumla mme hawezi kumbaka mkewe, labda kama

1. Mme kaleta au kashirikiana na watu wengine (a.k.a mande au mtungo) kumbaka mke wake.
2. Kufanya mapenzi na mke wake bila ridhaa yake pale wanapokuwa wametengana kwa muda (separation).

Tofauti na hapo, MKE AKIGOMA TUMIA NGUVU hana pa kwenda.
it's not a criminal offence, rape.
 
samahani vipi sheria inasemaje kwa mume anayepotea njia kwa nguvu na kutumia mlango wa uwani?!
 
Ananibakaga.

Umeona hii post??

Kaizer kashinda bila hata kwenda mahakamani....Nakushauri ufanye revenge!!
 
Last edited by a moderator:
Mweeeeeh!! Kwahiyo nami nimbake??


Siyo lazima...wewe lipiza kisasi tu......

Hata kumu-overdose ni kisasi tosha.....
Kaizer please.....mie nataka kwenda kulala kabla bibi hajanibadilishia kibao!!
 
Last edited by a moderator:

Huna haja ya kutumia nguvu wewe,tumia ujuzi wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…