Hivi wasio kwenye ndoa wanayo haki ya kujadili mambo yasiyowahusu?
Please Kaizer nisaidie kidogo hapa!!
Duuuuuuu,
Kustaafu kuna magumu yake aisee.....
Huyu Kaizer katorokea wapi??
Haki ya nani naweza kuahirisha kulala kwanza....
Ngoja nipate ruhusa ya bibi....
samahani vipi sheria inasemaje kwa mume anayepotea njia kwa nguvu na kutumia mlango wa uwani?!
samahani vipi sheria inasemaje kwa mume anayepotea njia kwa nguvu na kutumia mlango wa uwani?!
Navyoelewa ni ile hali ya ke kuingiliwa kimwili bila ridhaa yake either by genital au toys kwa lengo la kujifurahisha kingono.1. Nini maana ya kubaka.
2. Nini maana ya ndoa.
Ngoja wadada waje wajibu na shuhuda
Wanadai usipomlainisha umebaka!Uwepo wako kwenye nyumba ya mwanaume maana yake wewe mkewe, sasa mtu anabakwa vipi ndani ya majukumu yake? Kweli waje watueleze, maana huu ni mzaha na mahari zetu