Je, mwekezaji anaruhusiwa kununua ardhi kwa wananchi au sheria ni utwaaaji?

Je, mwekezaji anaruhusiwa kununua ardhi kwa wananchi au sheria ni utwaaaji?

TheDreamer Thebeliever

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2018
Posts
2,490
Reaction score
3,584
Habari wadau,

Wajuzi wa sheria naomba mnipe vifungu vinavyoruhusu mwekezaji kuruhusiwa kununua mwananchi mmoja mmoja na kuwaondoa kijiji kizima kwa muda usiotabirika (Buyer to Seller).

Binafsi natambua kwamba mwekezaji akiitaji ardhi ya wananchi anapaswa kulitwaa na kuwaondoa wote kwa pamoja na kuwalipa fidia, lakini kuna afisa mmoja ananambia kwamba manunuzi yanaruhusiwa, je huyu afisa yupo sahihi au ni mwongo?
 
Back
Top Bottom