Je, Mwenyezi Mungu anaweza kutenda hivi?

Pia ukisoma bibilia utaona Mungu hua anapiga story na shetani rejea kitabu cha Ayubu, mungu anapiga story na shetani anampa ruksa bwana shetani kumjaribu Ayubu ila tu asimtoe roho.

Lakini shetani anaua wana wa Ayubu lakini jambo hili machoni mwa mwenyenzi Mungu linaoneka kua ni jema sababu tu mtumishi wake Ayubu ajabadili msimamo wake na anaendelea kua mtiifu kwake.

Pia mwenyenzi Mungu analichagua Taifa la Israel na kuyatosa mataifa mengine, binadamu ambao wote wametokana na yeye anahamua kuwabagua na kuchagua watu fulani ndio wawe Taifa lake kweli?

Je right now Mungu anajisikiaje anapoona maelfu ya wapalestina wanavyouliwa huku watoto na wakinama wakiteseka kwa ajili ya mgogoro aliouanzisha yeye mwenyewe.

Dini ni kama gereza wengi wanatumikia vifungo bila hata kutambua kama wapo gerezani kujaribu kuwachallenge watoke mwenye hizo fikra za kitumwa ndio kwanza watakuona wewe ndio shetani mwenyewe.
 
Habari zenu waungwana, binafsi nimekua na maswali ambayo kila nikifikiria majibu yake yamekua hadimu sana kuyapata.

Najaribu tu kufikiri kweli mwenyezi mungu anaweza akamuumba binadamu then aje kumpa adhabu ya kumchoma moto?

Je, ni kweli mungu alipigana vita na shetani? Kama mwenyezi mungu na ukubwa wote alionao utukufu na Enzi lakini bado kikatokea kiumbe kumchallenge in short shetani alitaka kumpindua MUNGU hili yeye ashike ile nafasi, na hapa unapata picha ni jinsi gani shetani alivyo na power.

Mwenyezi mungu anamshinda shetani, then anampa adhabu ya kumtupa chini, just imagine power aliyonayo shetani then analetwa kwetu viumbe dhaifu ndio tushindane naye, kwanini mwenyezi mungu asnigemua kabisa shetani au angemtupa katika sayari nyingine kabisa na kunyima access na huu ulimwengu wetu.

Mimi binafsi sidhani kama kuna MUNGU aliyemuumba bnadamu then ampe adhabu ya kumchoma moto, Mungu ni matokeo ya mawazo ya watu wachache na kuwalazimisha watu wengine kuamini hivyo.
Imeandikwa husimjaribu Bwana Mungu wako. 🙏🙏🙏🙏
 
Hayo mambo ya dini sio ya kweli. Ni watu waliotunga dini ndio waliamua kuingiza vitisho ili watu waogope waanze kumuabudu huyo hewa anaeitwa mungu.

Mungu wa kwenye dini hayupo, zile ni hadithi za kutunga.
 
Habari zenu waungwana, binafsi nimekua na maswali ambayo kila nikifikiria majibu yake yamekua hadimu sana kuyapata.

Najaribu tu kufikiri kweli mwenyezi mungu anaweza akamuumba binadamu then aje kumpa adhabu ya kumchoma moto?

Je, ni kweli mungu alipigana vita na shetani? Kama mwenyezi mungu na ukubwa wote alionao utukufu na Enzi lakini bado kikatokea kiumbe kumchallenge in short shetani alitaka kumpindua MUNGU hili yeye ashike ile nafasi, na hapa unapata picha ni jinsi gani shetani alivyo na power.

Mwenyezi mungu anamshinda shetani, then anampa adhabu ya kumtupa chini, just imagine power aliyonayo shetani then analetwa kwetu viumbe dhaifu ndio tushindane naye, kwanini mwenyezi mungu asnigemua kabisa shetani au angemtupa katika sayari nyingine kabisa na kunyima access na huu ulimwengu wetu.

Mimi binafsi sidhani kama kuna MUNGU aliyemuumba bnadamu then ampe adhabu ya kumchoma moto, Mungu ni matokeo ya mawazo ya watu wachache na kuwalazimisha watu wengine kuamini hivyo.
Ukweli mchungu ni huu :

1. Asilimia zaidi ya 98 % ya wafata dini za Ibrahim (Ukristo, uislam na Uyahudi/Judaism) hawajui kwa undani mafundisho ya vitabu vya dini hizo.

Nasema hivo kwa sababu, waumini wa hizi dini iwe maimamu, ma-askofu, rabi au waumini wa kawaida, ukiwauliza maswali kutoka humo humo kwenye vitabu vya dini.zao, wanakuwaga hawana majibu zaidi ya kudana dana tu.

Ukiisoma biblia au Quran, unaibuka na maswali chungu nzima ambayo wahusika/waumini wa hizo dini hawana majibu ya kueleweka.

Na watu wakishakosa majibu ya maswali yao ndiyo wanaanza kuona dini miyeyusho.

Mimi ni mkristo (mluteli) juzi kuna mpuuzi mmoja msabato juzi hapa nilimzaba kibao baada ya kunipigia makelele eti niamini YESU ni MUNGU.

Nilijaribu kusoma vitabu vyote vya injili kuanzia Mathayo,luka, marko na yohana sijaona mahali YESU amejiita yeye ni Mungu.

Na nikakutana na mstari mmoja unasema Yesu alikuwa akipita mahali kuna mtu alimfata akawa anamwita "Mwalimu mwema" lakini Yesu alimkanya kumwita jina hilo na akamjibu kuwa "Hakuna aliye Mwema ila Mungu pekee"

Hapo Yesu aliweka Wazi kuwa hakuwa Mungu.

Na katika shughuli zake zote Yesu kwenye Biblia amejitambulisha kuwa Mwana wa Mungu na siyo Mungu, au mwana wa Adam.

Na mara kibao alikuwa anaonekana kumwomba Mungu amsaidie.

Sasa sijui kundi hili la wakristo limekujaje kurasimisha kuwa Yesu ni Mungu.

Yesu alisamehe dhambi sawa, alifufua watu sawa ila hiyo haitoshi kusema kuwa ndiyo alikuwa Mungu.

Na siku ya kiama amesema atakuja mwenyewe kutuchukua maana alienda kwa Baba (Mungu) kutuandalia makao ili alipo yeye na sisi tuwepo, na kwa sasa ameketi mkono wa kuume wa Baba (Mungu).

Lakini tuachane na hizo hadithi, zote tumezikuta na zitaendelea na suala ni za kweli au uwongo hilo utajua mwenyewe na roho yako.

NB : Suala la Mungu yupo au Hayupo, hilo ni yeye mwenyewe tu akuambie, kwa kusoma vitabu vya dini utachanganyikiwa na kupata wazimu bure.

Ukiisoma biblia yote vizuri unaweza unajikuta unampa Mungu sifa ya UGAIDI, lakini ndiyo alikuumba ataamua yeye akutumieje.

Kitu kimoja tu kinachonifanyaga niamini kuna Mungu, ni uumbaji wa huu ulimwengu ulivyo pamoja na viumbe vyake.

Asikudanganye mtu eti ni asili (nature) hakuna nature inaweza kuumba kwa mpangilio huo.

Lazima kuna aliyevipangalia, jina lake ni nani maimi ndiyo sijui utamwita Mungu au nani utajua mwenyewe.
 
Msingi mkuu wa dini ni uwepo wa mungu na maisha baada ya kifo yanayotolewa na mungu.

Sasa kama mungu hayupo mambo mengine yote yaliyobaki yanakua hayana maana.

Mungu wa kwenye dini hayupo, zile ni stori zisizo na kichwa wala miguu.
mungu wa kwenye dini hayupo ,ni mungu yupi yupo mkuu
 
Ati Mungu anatupenda sana sana kiasi kwamba ametuandalia moto wa milele in case we dont love him back

Kuamini hekaya kama hizi ni lazima uwe na shambulio la akili
 
Habari zenu waungwana, binafsi nimekua na maswali ambayo kila nikifikiria majibu yake yamekua hadimu sana kuyapata.

Najaribu tu kufikiri kweli mwenyezi mungu anaweza akamuumba binadamu then aje kumpa adhabu ya kumchoma moto?

Je, ni kweli mungu alipigana vita na shetani? Kama mwenyezi mungu na ukubwa wote alionao utukufu na Enzi lakini bado kikatokea kiumbe kumchallenge in short shetani alitaka kumpindua MUNGU hili yeye ashike ile nafasi, na hapa unapata picha ni jinsi gani shetani alivyo na power.

Mwenyezi mungu anamshinda shetani, then anampa adhabu ya kumtupa chini, just imagine power aliyonayo shetani then analetwa kwetu viumbe dhaifu ndio tushindane naye, kwanini mwenyezi mungu asnigemua kabisa shetani au angemtupa katika sayari nyingine kabisa na kunyima access na huu ulimwengu wetu.

Mimi binafsi sidhani kama kuna MUNGU aliyemuumba bnadamu then ampe adhabu ya kumchoma moto, Mungu ni matokeo ya mawazo ya watu wachache na kuwalazimisha watu wengine kuamini hivyo.
Mungu Yupo . Ameumba kila kitu ili kila mmoja achague maisha yatayompa Raha. Hatamuadhibu yoyote, Lifestyle yako itaamua urefu wa maisha yako. Hizo habari za Jehunum, Uzima wa milele ni hadithi za kale. Dini ni Biashara
 
Hizo pumzi ndio zinawatia viburi haya endeleeni kumdhihaki mungu
Ila mkipata mitihani kidogo tu ndio mnajifanya mnasali hadi mnalia, kumbuka ipo siku isiyokuwa na jina malaika wa mauti atakutokea na hapo muda wako wa kutubu utakuwa umeisha
Hatukupingi Mungu yupo na anapenda wema. Tatizo hizo dini ,ngoja nikuulize swali. Yesu amejitoa sadaka kwaajili ya dhehebu lipi? Roman? Luheran? TAG?SDA? Mashaidi wa Yehova? Anglican? Ukifikiri vuzuri utagundua Mungu yupo ila mengine ni Hadithi za Uongo.
 
Hata huyo yesu unayemtaja alivyoleta ujumbe wake wengi walimpinga na kusema kuwa ni mzushi na muongo, endeleeni kumdhihaki mungu ila kila jambo lina mwisho wake na kila kiumbe kitavuna kilichopanda
 
Hatukupingi Mungu yupo na anapenda wema. Tatizo hizo dini ,ngoja nikuulize swali. Yesu amejitoa sadaka kwaajili ya dhehebu lipi? Roman? Luheran? TAG?SDA? Mashaidi wa Yehova? Anglican? Ukifikiri vuzuri utagundua Mungu yupo ila mengine ni Hadithi za Uongo.
Kwanza wanadamu tunajiangaisha bure na hizo sijui jehanamu au Pepo. Hakuna atakayeingia huko ht mmoja mana miungu wenyewe hawaelewani. Huyu Wa wakristo anayeitwa Jehova atawachoma moto watu wote wasiyomfuata Yesu na kumfanya kuwa Bwana na Mwokozi wao. Na Yesu mwenyewe, kwenye hivyo vitabu vyao, alisema huwezi kwenda kwa Baba yake (Jehova) bila kupitia kwake. Watakaochomwa moto ni pamoja na Wabudha, Waislaam, Wahindu, Washinto na wote wasiyofuata masharti ya Jehova. Sasa hapo pia mjue yupo Allah, Subhannah Wa Taalah, naye kasema watu wote wasiomtambua km yeye yupo peke yake na Mudi ndiye mjumbe (Mtume) wake nao watatiwa motoni wote, tena kwa kushindiliwa humo kwa unyayo wake mwenyewe. Ss akiona Jehova kawatia watu wake motoni unafikiri atakubali? Naye atawatia motoni watu wote wa Johova (Wakristo) wote motoni wakiwemo wahindu, wabudha, Washinto na wote wasiyo timiza masharti yake. In short hakuna atakaye bikiri mahurulain, kunywa pombe kwenye Wala watakaofurahi kwa kuimba huko mbinguni. Wote motoni dadadeki. Wangemaliza tofauti zao hawa miungu ili tujue la kufanya Sisi watu wao. Lkn kwa mashindano yao haya hata ukiamua kujipendekeza kwa mmoja wao ukafuata masharti yake yote bado ni kazi bure tu mana wote wana nguvu kubwa tu, kwa mujibu wa hivyo vitabu vyao. Wafia Dini mnajisumbua bure tu. Wote motoniii......
 
Back
Top Bottom