Je, Mwenyezi Mungu anaweza kutenda hivi?

Je, Mwenyezi Mungu anaweza kutenda hivi?

Mungu Hana mshauri mkuuu anaamua yeye atakavyo iwe
Napingana na wewe mkuu.

Isaya 6:8

Kisha nikaisikia sauti ya Bwana, akisema, Nimtume nani, naye ni nani atakayekwenda kwa ajili yetu? Ndipo niliposema, Mimi hapa, nitume mimi.
 
Can the creation explain the creator?

Fikiria wew ni mchoraji,umetumia sanaa yako na ujuzi wako kuelezea mawazo yako katika kazi yako ya sanaa (picha/mchoro)

Kisha ukaanda picha mbali mbali zenye muonekano unaoshabihiana huku zikiwa na ujumbe tofauti tofuati

-Je ile picha/mchoro uliouandaa unaweza kukuelezea wew mchoraji kikamilifu?
-Je picha nyingine kati ya zile ulizoaandaa zinaweza kuwaelezea wenzao mchoraji wao ni nani na wao jukum lao ni lipi?

My point is;
There's no way we poped up from nowhere ,the rest are man made stories
 
Naweza SEMA uko sawa lakini pia hauko sawa maana bado huwezi kuelezea Nini kinaendelea duniani nikimaanisha huna kitu kinacho weza kutuelezea ni vipi maisha yako hivi yalivyo au ni vipi binadamu tumekua ni viumbe wa kipekee na wenye maendeleo kuliko kiumbe yeyote duniani. ikiwa unashaka na maandiko ya dini au uwepo wa mungu.

Pia nafikiri hauko mbali na ukweli wa kileambacho huwa nawaza Kila siku Mimi naamini dini zote na hata sayansi bado hazitoshi kumuelezea mungu maana naamini mungu yupo na ni nguvu ya kilakitu ambayo bado hamna mtu anayeweza kuelezea kiukweli inafanya vipi kazi.
 
watoto uliowazaa au mke uliyemuoa au mtu uliyemuajiri huhitaji akuheshimu?
Mfano wako siyo sahihi. Mke na watoto wewe ndiye uliwatafuta ndiyo maana unatakiwa kuwahudumia na siyo wao kukuhudumia. Uliyemwajiri ni case nyingine maana yeye ndiye alikutaka wewe
 
Sina Shaka na imani yangu. Watu wamejitahidi Sana kukosoa maandiko lkn nikipima naona bado kabisa kufikia hata robo ya uelewa kwa hoja ukilinganisha na uandishi au ujumbe uliobebwa na bibilia.

Sababu, Ni jumbe tofauti na kwa nyakati tofauti ambazo kimsingi zinaleta uwiano sahihi. Utamu zaidi Ni pale ambapo unaambiwa neno linaishi. Sasa kwa sisi wadadisi lazima kujiuliza linaishi ishije?

Ukiwa mbumbumbu unaweza kukomea kwenye ubishani. Lkn ukiwa mtafiti utamshukuru Sana Mungu na unaweza kulia Sana kwa uchungu kuona kwamba Kuna watu wanapotea. Mbaya zaidi wanakufuru na matusi juu masikini. Mungu atuhurumie Sana.
 
Back
Top Bottom