Walker Water
JF-Expert Member
- Aug 23, 2022
- 842
- 3,357
Jibu ni moja "Jifunze kuongea na Mungu" ukifanikiwa hilo we muulize maswali yako yote atakujibu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwalimu ni yupi na mwanafunzi yupi ktk mukhtadha wa uzi huu?kwani mwalim hawezi kupigana na mwanafunzi?
Umenena hakikaKwanza wanadamu tunajiangaisha bure na hizo sijui jehanamu au Pepo. Hakuna atakayeingia huko ht mmoja mana miungu wenyewe hawaelewani. Huyu Wa wakristo anayeitwa Jehova atawachoma moto watu wote wasiyomfuata Yesu na kumfanya kuwa Bwana na Mwokozi wao. Na Yesu mwenyewe, kwenye hivyo vitabu vyao, alisema huwezi kwenda kwa Baba yake (Jehova) bila kupitia kwake. Watakaochomwa moto ni pamoja na Wabudha, Waislaam, Wahindu, Washinto na wote wasiyofuata masharti ya Jehova. Sasa hapo pia mjue yupo Allah, Subhannah Wa Taalah, naye kasema watu wote wasiomtambua km yeye yupo peke yake na Mudi ndiye mjumbe (Mtume) wake nao watatiwa motoni wote, tena kwa kushindiliwa humo kwa unyayo wake mwenyewe. Ss akiona Jehova kawatia watu wake motoni unafikiri atakubali? Naye atawatia motoni watu wote wa Johova (Wakristo) wote motoni wakiwemo wahindu, wabudha, Washinto na wote wasiyo timiza masharti yake. In short hakuna atakaye bikiri mahurulain, kunywa pombe kwenye Wala watakaofurahi kwa kuimba huko mbinguni. Wote motoni dadadeki. Wangemaliza tofauti zao hawa miungu ili tujue la kufanya Sisi watu wao. Lkn kwa mashindano yao haya hata ukiamua kujipendekeza kwa mmoja wao ukafuata masharti yake yote bado ni kazi bure tu mana wote wana nguvu kubwa tu, kwa mujibu wa hivyo vitabu vyao. Wafia Dini mnajisumbua bure tu. Wote motoniii......
Hujajibu swali mkuu.. Yesu ni wa dhehebu lipi?Hata huyo yesu unayemtaja alivyoleta ujumbe wake wengi walimpinga na kusema kuwa ni mzushi na muongo, endeleeni kumdhihaki mungu ila kila jambo lina mwisho wake na kila kiumbe kitavuna kilichopanda
Tunaamini yesu ni wa ulimwengu mzimaHujajibu swali mkuu.. Yesu ni wa dhehebu lipi?
Tunaenda pamoja. Je Madhehebu yote wanaamini wao ni wamoja?Tunaamini yesu ni wa ulimwengu mzima
Siyo lazima kuamini hivyo maana kwenye mapokeo na mafundisho utafauti lazima utatokea, ila wote wanaamini uwepo wa mungu, tofauti na wewe na mleta mada mliojawa viburi kisa tu mpo hai na mnavuta pumzi ya bure hadi mnafikia kumdhihaki mungu ,siku yenu haipo mbali, hata farao alikuwa na akili mbovu kama zenu angalia kilichomkutaTunaenda pamoja. Je Madhehebu yote wanaamini wao ni wamoja?
Kabiiiiiiiiiisa lo
🔵Narudia tena. Mungu yupo, Dini ni Hadithi. Mungu kwenye Maandiko ni complicated mpaka watu wametengana.Siyo lazima kuamini hivyo maana kwenye mapokeo na mafundisho utafauti lazima utatokea, ila wote wanaamini uwepo wa mungu, tofauti na wewe na mleta mada mliojawa viburi kisa tu mpo hai na mnavuta pumzi ya bure hadi mnafikia kumdhihaki mungu ,siku yenu haipo mbali, hata farao alikuwa na akili mbovu kama zenu angalia kilichomkuta
Usidanganyike fanya utubu acha ujuaji
KAMA NA WEWE UPO KWENYE MADHEHEBU YA DINI BASI JUA TU KUWA NA WEWE NDIYO WALE WALE WAPUMBAVUUkweli mchungu ni huu :
1. Asilimia zaidi ya 98 % ya wafata dini za Ibrahim (Ukristo, uislam na Uyahudi/Judaism) hawajui kwa undani mafundisho ya vitabu vya dini hizo.
Nasema hivo kwa sababu, waumini wa hizi dini iwe maimamu, ma-askofu, rabi au waumini wa kawaida, ukiwauliza maswali kutoka humo humo kwenye vitabu vya dini.zao, wanakuwaga hawana majibu zaidi ya kudana dana tu.
Ukiisoma biblia au Quran, unaibuka na maswali chungu nzima ambayo wahusika/waumini wa hizo dini hawana majibu ya kueleweka.
Na watu wakishakosa majibu ya maswali yao ndiyo wanaanza kuona dini miyeyusho.
Mimi ni mkristo (mluteli) juzi kuna mpuuzi mmoja msabato juzi hapa nilimzaba kibao baada ya kunipigia makelele eti niamini YESU ni MUNGU.
Nilijaribu kusoma vitabu vyote vya injili kuanzia Mathayo,luka, marko na yohana sijaona mahali YESU amejiita yeye ni Mungu.
Na nikakutana na mstari mmoja unasema Yesu alikuwa akipita mahali kuna mtu alimfata akawa anamwita "Mwalimu mwema" lakini Yesu alimkanya kumwita jina hilo na akamjibu kuwa "Hakuna aliye Mwema ila Mungu pekee"
Hapo Yesu aliweka Wazi kuwa hakuwa Mungu.
Na katika shughuli zake zote Yesu kwenye Biblia amejitambulisha kuwa Mwana wa Mungu na siyo Mungu, au mwana wa Adam.
Na mara kibao alikuwa anaonekana kumwomba Mungu amsaidie.
Sasa sijui kundi hili la wakristo limekujaje kurasimisha kuwa Yesu ni Mungu.
Yesu alisamehe dhambi sawa, alifufua watu sawa ila hiyo haitoshi kusema kuwa ndiyo alikuwa Mungu.
Na siku ya kiama amesema atakuja mwenyewe kutuchukua maana alienda kwa Baba (Mungu) kutuandalia makao ili alipo yeye na sisi tuwepo, na kwa sasa ameketi mkono wa kuume wa Baba (Mungu).
Lakini tuachane na hizo hadithi, zote tumezikuta na zitaendelea na suala ni za kweli au uwongo hilo utajua mwenyewe na roho yako.
NB : Suala la Mungu yupo au Hayupo, hilo ni yeye mwenyewe tu akuambie, kwa kusoma vitabu vya dini utachanganyikiwa na kupata wazimu bure.
Ukiisoma biblia yote vizuri unaweza unajikuta unampa Mungu sifa ya UGAIDI, lakini ndiyo alikuumba ataamua yeye akutumieje.
Kitu kimoja tu kinachonifanyaga niamini kuna Mungu, ni uumbaji wa huu ulimwengu ulivyo pamoja na viumbe vyake.
Asikudanganye mtu eti ni asili (nature) hakuna nature inaweza kuumba kwa mpangilio huo.
Lazima kuna aliyevipangalia, jina lake ni nani maimi ndiyo sijui utamwita Mungu au nani utajua mwenyewe.
Kwanza wanadamu tunajiangaisha bure na hizo sijui jehanamu au Pepo. Hakuna atakayeingia huko ht mmoja mana miungu wenyewe hawaelewani. Huyu Wa wakristo anayeitwa Jehova atawachoma moto watu wote wasiyomfuata Yesu na kumfanya kuwa Bwana na Mwokozi wao. Na Yesu mwenyewe, kwenye hivyo vitabu vyao, alisema huwezi kwenda kwa Baba yake (Jehova) bila kupitia kwake. Watakaochomwa moto ni pamoja na Wabudha, Waislaam, Wahindu, Washinto na wote wasiyofuata masharti ya Jehova. Sasa hapo pia mjue yupo Allah, Subhannah Wa Taalah, naye kasema watu wote wasiomtambua km yeye yupo peke yake na Mudi ndiye mjumbe (Mtume) wake nao watatiwa motoni wote, tena kwa kushindiliwa humo kwa unyayo wake mwenyewe. Ss akiona Jehova kawatia watu wake motoni unafikiri atakubali? Naye atawatia motoni watu wote wa Johova (Wakristo) wote motoni wakiwemo wahindu, wabudha, Washinto na wote wasiyo timiza masharti yake. In short hakuna atakaye bikiri mahurulain, kunywa pombe kwenye Wala watakaofurahi kwa kuimba huko mbinguni. Wote motoni dadadeki. Wangemaliza tofauti zao hawa miungu ili tujue la kufanya Sisi watu wao. Lkn kwa mashindano yao haya hata ukiamua kujipendekeza kwa mmoja wao ukafuata masharti yake yote bado ni kazi bure tu mana wote wana nguvu kubwa tu, kwa mujibu wa hivyo vitabu vyao. Wafia Dini mnajisumbua bure tu. Wote motoniii......
KirangaHabari zenu waungwana, binafsi nimekua na maswali ambayo kila nikifikiria majibu yake yamekua hadimu sana kuyapata.
Najaribu tu kufikiri kweli mwenyezi mungu anaweza akamuumba binadamu then aje kumpa adhabu ya kumchoma moto?
Je, ni kweli mungu alipigana vita na shetani? Kama mwenyezi mungu na ukubwa wote alionao utukufu na Enzi lakini bado kikatokea kiumbe kumchallenge in short shetani alitaka kumpindua MUNGU hili yeye ashike ile nafasi, na hapa unapata picha ni jinsi gani shetani alivyo na power.
Mwenyezi mungu anamshinda shetani, then anampa adhabu ya kumtupa chini, just imagine power aliyonayo shetani then analetwa kwetu viumbe dhaifu ndio tushindane naye, kwanini mwenyezi mungu asnigemua kabisa shetani au angemtupa katika sayari nyingine kabisa na kunyima access na huu ulimwengu wetu.
Mimi binafsi sidhani kama kuna MUNGU aliyemuumba bnadamu then ampe adhabu ya kumchoma moto, Mungu ni matokeo ya mawazo ya watu wachache na kuwalazimisha watu wengine kuamini hivyo.
Habari za mwenyezi Mungu ni hadithi za kutungwa na watu tu, kiuhalisia, nje ya hizo hadithi za kutungwa na watu, huyo Mungu hayupo.Habari zenu waungwana, binafsi nimekua na maswali ambayo kila nikifikiria majibu yake yamekua hadimu sana kuyapata.
Najaribu tu kufikiri kweli mwenyezi mungu anaweza akamuumba binadamu then aje kumpa adhabu ya kumchoma moto?
Je, ni kweli mungu alipigana vita na shetani? Kama mwenyezi mungu na ukubwa wote alionao utukufu na Enzi lakini bado kikatokea kiumbe kumchallenge in short shetani alitaka kumpindua MUNGU hili yeye ashike ile nafasi, na hapa unapata picha ni jinsi gani shetani alivyo na power.
Mwenyezi mungu anamshinda shetani, then anampa adhabu ya kumtupa chini, just imagine power aliyonayo shetani then analetwa kwetu viumbe dhaifu ndio tushindane naye, kwanini mwenyezi mungu asnigemua kabisa shetani au angemtupa katika sayari nyingine kabisa na kunyima access na huu ulimwengu wetu.
Mimi binafsi sidhani kama kuna MUNGU aliyemuumba bnadamu then ampe adhabu ya kumchoma moto, Mungu ni matokeo ya mawazo ya watu wachache na kuwalazimisha watu wengine kuamini hivyo.
Umemaliza Bro,Hamna Haja ya kuongezaUkweli mchungu ni huu :