Je, Mwezi ni Chombo kilichowekwa na Aliens kutupeleleza? Mbona ni miaka 50 tangu USA mwaka 1969?

we nawe huishiwi mbwembwe...''kujifanya'' unajua kila kitu.

enzi zile ndg Monstgala alipokuwa anakuja na nondo zake kuhusu sayansi ya anga ulikuwa hutii mguu kuchangia achilia mbali kukosoa.
 
Inasemekana vyombo vya usa vilitua area 51 ndio walizuga kuwa wapo mwezini.kuna theory nyingi balaa
 
kama wazungu wenyewe kwa wenyewe tu huko ughaibuni wanabishana kuhusu suala la akina amstrong kufika mwezini, ni vipi wewe mswahili mwenzetu unakubari kirahisi namna hii?.
duh mkuu bado uko mbali sana....yaan mzungu akisema kitu hakuna mwafrica anayetakiwa kubisha au kutilia shaka? aisee sijawahi fikiria kama bado kuna watu wenye mawazo km haya...hii ya leo ni kali
 
duh mkuu bado uko mbali sana....yaan mzungu akisema kitu hakuna mwafrica anayetakiwa kubisha au kutilia shaka? aisee sijawahi fikiria kama bado kuna watu wenye mawazo km haya...hii ya leo ni kali
wao ndio walioutangazia ulimwengu kuwa wamefika mwezini, sio mtu mweusi.

sasa kwanini tusishangae pale wao kwao wanapokosoana?.
 
wao ndio walioutangazia ulimwengu kuwa wamefika mwezini, sio mtu mweusi.

sasa kwanini tusishangae pale wao kwao wanapokosoana?.
mkuu basi sio mtu mweusi pekee bali waingereza, wachina, warusi n.k na wao hawatakiwi kubisha maana na wao walitangaziwa tu na mmarekani ambaye ndiye aliyedai kufika huko......so wengine wote hatutakiwi kukubaliana ama kukataa hcho ndo unachomaanisha wewe,
 
Kama ni alien waliweka mwezi basi hata Dunia wameumba wao na sisi ni wao na mafundisho matakatifu ni yao
 
Ila tambua hizo habari ni aina ya ujinga unaomezeshwa ili ukae kwenye mfumo wa watu Fulani. Labda tu nikwambie hakuna kitu kinachoitwa solar system yaani habari za sayari zingine ni uongo tu jua ni dogo kwa dunia, haliwezi kuzaa sayari 9, kingine ni kwamba kama jua lilineguka ndio zikatokea sayari? Kwanini kila sayari ilitua kwenye njia salama, hebu tumia za kuzaliwa umbali kutoka dunia hadi juani ni km mln 67 hivi huu umbali unapimwaje? Haya sema kuhusu umbali ilipo Pluto, Za kuambiwa,.........
 
sas mkuu kama vyombo vinatumwa vinafika kwann binadamu asifike? umbali kati ya dunia na mwezi ni km 384,000 tu pana umbali gani hapo wkati watu wametuma vyombo mpk kwe orbit ya jupiter huko karibu KM milioni 300 na zaidi
Ukijumlisha safari za ndege yangu kugunduliwa hazijafikisha jumla ya hizo km, hesabu ndege zipo ngapi halafu wao wametuma chombo na kimefika huko
 
Ila we jamaa ni kilaza sijawah ona
 
Kaka ukianza kufikiria juu ya haya utasahau hata asili yako,
 
Hivi unapajua juu,? Dunia inazunguka juu, hivi juu hupaoni au, hivi kama dunia inazunguka jua mbona kila siku jua linatokea mashariki??? Kama dunia iko juu na jua lipo juu mbona hatuliona jua likiwa pembeni yetu??

Awali ni awali hakuna awali mbovu, walivosema awali kuwa jua linazunguka hawajakosea hata kidogo, .
 
Kwahyo hujawahi kufikiria kwamba NASA wana uwezo wa kudukua na kupenyeza taarifa hizo kwenye mtandao wa waislam ili kuuchafua umma wa waislam?
 
Ila we jamaa ni kilaza sijawah ona
Hawa watu wengine unamsoma halafu unashindwa hata pa kuanzia.

Anaibishia sayansi hiyo hiyo iliyomtengenezea internet ya kuweza kubisha.

Vipimo vilivyotumika kupima umbali na ukubwa wa jua ndivyo hivyo hivyo vimetumika kurusha satellite angani na kutupa mawasiliano kwa mtandao wa internet.

Sasa sijui atabisha internet anayoitumia kubisha nayo haipo? Satellites hazipo?
 
Et hakuna kitu kinaitwa solar system na jua ni dogo kuliko sayar hata mwanangu swalehe hawez sema huu ujinga
 
Ila tambua hizo habari ni aina ya ujinga unaomezeshwa ili ukae kwenye mfumo wa watu Ful za kuzaliwa umbali kutoka dunia hadi juani ni km mln 67 hivi huu umbali unapimwaje? Haya sema kuhusu umbali ilipo Pluto, Za kuambiwa,.........
sasa usiseme kuwa ni uongo kwasababu haufahamu wanapimaje? ile torchi ya polisi inaweza pima speed ya gari yako ukiwz uko mbali kabisa pia inaweza onesha uko umbali gani kutoka hapo walipo! mbn haohao wanasayansi ndio waliosema kuwa kutakua na kupatwa kwa mwezi hapa juzi na tukasubiri tukaona sa walijuaje kama hawakupima hizo distance unazokataa ww? pia toa evidence kuonesha kuwa solar system haiexist
 
Ukijumlisha safari za ndege yangu kugunduliwa hazijafikisha jumla ya hizo km, hesabu ndege zipo ngapi halafu wao wametuma chombo na kimefika huko
mkuu haya ili kuyaelewa unatakiwa ujifunze vitu vingine pia, sasa kama unasema kuwa hata solar system haiexist hapo mjadala utakuwa mgumu maana hamna tutachoelewana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…