Je Mwislam kula nyama iliyochinjwa na Mkristo ni dhambi?

Hivi ni kwanini waislamu hawali nyama ilochinjwa na mkristo???? Enheee vipi wakienda mahotelini au sehemu nyingine za out wakaoda chakula huwa wanauliza nani kachinja ????????
Kwani nguruwe wanachinjwa na nani? Mbona kipindi cha Ramadhan mboga inadoda?
 
Ngombe watoe wao halafu muwaletee wavaa magobasi wachinje...tulieni mle nyama
 
Hivi ni kwanini waislamu hawali nyama ilochinjwa na mkristo???? Enheee vipi wakienda mahotelini au sehemu nyingine za out wakaoda chakula huwa wanauliza nani kachinja ????????
Mambo yao waachie wenyewe...
 
Kuna mtangazaji mmoja wa azam alikuwa anakula halafu ni muislam๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ mtakufa na njaa kisa din iliyoletwa na muarabu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Dini hasa ya kiislamu ni mzigo mzito ndio mana hawakawii kujilipua,kula nyama nyamaza dini tumeletewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ