Je Mwislam kula nyama iliyochinjwa na Mkristo ni dhambi?

Je Mwislam kula nyama iliyochinjwa na Mkristo ni dhambi?

Hivi ni kwanini waislamu hawali nyama ilochinjwa na mkristo???? Enheee vipi wakienda mahotelini au sehemu nyingine za out wakaoda chakula huwa wanauliza nani kachinja ????????
Kwani nguruwe wanachinjwa na nani? Mbona kipindi cha Ramadhan mboga inadoda?
 
Hapa Monduli, wanachinjwa ng'ombe wasio na idadi, mbuzi na kondoo kwa fujo. Wachinjaji ni wenzetu Wamasai, wanyama wanachinjwa kimila hamna kugeuziwa Quibla, wala MAKA, hamna cha Bismillah al-Rahman al-Rahim wala nini. Watu kama wamejitoa ufahamu wa mafundisho ya vitabu vitakatifu, ni mwendo wa kula nyama kwa fujo.

kimsboy, The Boss, THE BIG SHOW, na FaizaFoxy wanakandamiza minofu Kisukuma.

LOWASSA buriani, tutakukumbuka daima.
Ngombe watoe wao halafu muwaletee wavaa magobasi wachinje...tulieni mle nyama
 
Hivi ni kwanini waislamu hawali nyama ilochinjwa na mkristo???? Enheee vipi wakienda mahotelini au sehemu nyingine za out wakaoda chakula huwa wanauliza nani kachinja ????????
Mambo yao waachie wenyewe...
 
Kuna mtangazaji mmoja wa azam alikuwa anakula halafu ni muislam😂😂🤣🤣🤣 mtakufa na njaa kisa din iliyoletwa na muarabu😂😂😂😀😀😀
 
Dini hasa ya kiislamu ni mzigo mzito ndio mana hawakawii kujilipua,kula nyama nyamaza dini tumeletewa.
 
Back
Top Bottom