Je, na Wagombea wengine wa 'Urais' nchini Tanzania nao watakuwa na 'Confidence' kubwa ya Kuongea Kiingereza na Balozi wa US kama alivyoweza Lissu?

Kiingereza hakiongozi nchi. Tunamtaka Dkt Magufuli ili asimamie accountability, umesikia ewe shabiki wa kibaraka?
 
Topic hapa ni umahiri katika matumizi ya lugha tu na si utajiri wa nchi. Rais wa Malawi alikuja na anao ufahamu wa hiyo lugha. Je imeona mwenyeji wake alivyoongea siku ile!
 
So unahalalisha msomi wa PhD tena kwa kutumia kiingereza kutokuijua lugha hiyo ni sawa? Kichwa kazi yake siyo kufugia nywele ndugu Mataga

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Ifike mahala watanzania kwanza muelewe knowing how to speak English is not a symbol of intelligent.[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyu mgombea naweza kuotea....!!!
Anapenda sana kusema ati ANADUMISHA KISWAHILI LUGHA YA TAIFA" Lakini anapokuja mgeni toka nje anayeongea English anajidai kuhutubia kwa Kiswa-nglish kwa sana (Swahili+English mixed). Wakti mwingine akijitahidi kuongea sentenso ndefu ya English iliyojaa broken tupu".....I can't reach you"
 
Acha ungese wewe....!
Ulisoma shule gani na elimu yako ni ya ngazi gani?
Wote tuliokwenda shule nje ya somo la Kiswahili MASOMO YOTE NI ENGLISH tokea O&A levels hadi CHUO KIKUU!!

Tuambie hicho Kiswahili chako kingelikufikisha wapi?
Hivi unajua Kuna kitu inaitwa SCHOLARSHIP? Wale walosoma nje ya Tanzania wanajua hiyo kitu! Bila English hupati Scholarship maana ndo lugha ya Mawasiliano. Hata waliosoma Russia na China ambako lugha zao ni Kirusi na Kichina utahitaji 2 years ya kujifunza lugha zao lakini ukitumia English! Upo?
 
Duh...yaani wewe kweli hujaelimika....yaani bado unafikiri kufahamu kiingereza ndiyo sifa?! Nenda mwananyamala na kinondoni utawakuta wamalawi wengi ma-houseboy na wakata michongoma wanaongea English..
Sasa inakuwaje wa Malawi wakata michongoma na walinzi huko Mwananyala wanaweza kuongea kiingereza fasaha ihali walinzi wa Tanzania hawawezi?.
Tuanzie hapo.
 
Kwani hiyo barabara inajengwa kwa mikataba ya lugha ghani? ni pesa zako na baba yako hujenga barabara?
Msheenzi kabisa embu mwambie huyo maana wanaona kama huyo mzeeanatoa hela mfukoni mwake,na by the way ni jukumu lake kufanya aliyofanya
 
Shida ipo Sana hasa nyie mnaotukuza English...unadhani Putin anazungumza English? Unadhani marais wote wanazungumza English?
Wewe usiyezungumza english hata ukimuona kuku wa kizungu unaweza kumkimbia ukahisi atakuuliza good morning
 
Sasa inakuwaje wa Malawi wakata michongoma na walinzi huko Mwananyala wanaweza kuongea kiingereza fasaha ihali walinzi wa Tanzania hawawezi?.
Tuanzie hapo.
Kwa maana lugha has nothing to do with elimu...kiingereza sawa na kipare, kichaga, kihausa, kirusi na kadhalika ..wale wamalawi wanaweza kuwa wanaongea English lakini wengi wao hawajui kusoma Wala kuandika...they are illiterate...ndio maana wanakuja huku kukata michongoma..hawana elimu...they are...wamezaliwa kwenye English basi...wakati wa ukoloni watu walikuwa wanatambia kuzungumza kiingereza wakijifananisha na wazungu...ni kasumba...wako brainwashed...Sasa kwa wakati huuukimuona mtu mzima na akili anatambia English ujue upeo wake wa kuelewa issues ni wa kiwango Cha chini mno...mtu wa aina hiyo ni wa kumhurumia tu.

uliwahi kumuona mzungu anajisikia vibaya Kama hajui Kiswahili?
 
Tuna watu wa ajabu Sana Tanzania...ni mawazo ya kiwendawazimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…