KUTATABHETAKULE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 5,159
- 5,070
Lakini Kiswahili na kilughalugha kimejenga kilomita takribani 5000 huko vijijini.Kingereza hakijawahi kunijengea hata kilomita moja ya barabara ya lami
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini Kiswahili na kilughalugha kimejenga kilomita takribani 5000 huko vijijini.Kingereza hakijawahi kunijengea hata kilomita moja ya barabara ya lami
Kiingereza hakiongozi nchi. Tunamtaka Dkt Magufuli ili asimamie accountability, umesikia ewe shabiki wa kibaraka?Kuna 'Mgombea' Mmoja hivi (bahati mbaya Jina lake limenitoka ghafla tu) nami natamani kweli kweli akishamaliza tu Ratiba yake ya Kugawa 'Kopi' za 'Vinyago' vyenye Mbuga zetu za Wanyama kwa Wageni wake Waalikwa basi nae akatishe zake aende Kupiga 'Stori' mbili tatu hivi na Balozi wa Marekani kama ambavyo leo 'Mgombea' Tundu Lissu amefanya.
Na huyu 'Mgombea' ambaye natamani nae akafanye hayo 'Mazungumzo' na Balozi huyo basi aruhusu 'Wanahabari' wote wamuweke 'Mubashara' kabisa ili Wananchi tumsikie nae akitema 'Ung'eng'e' wake ambao utamzidi alionao Tundu Lissu.
Na inasemekana kuwa huyu 'Mgombea' Yeye ndiyo 'Kihistoria' ameanza Kutangulia kwenda Ulaya mno hasa hasa Ujerumani kuliko Mwenzake Lissu.
Topic hapa ni umahiri katika matumizi ya lugha tu na si utajiri wa nchi. Rais wa Malawi alikuja na anao ufahamu wa hiyo lugha. Je imeona mwenyeji wake alivyoongea siku ile!Kwa mfano kama alienda China au Russia je? Nyerere alikuwa na yule mama wa kihindi kwa ajiri ya kumsaidia kifaransa.
Kwa ufupi, sioni lolote la maana kwenye haya mambo ya lugha, kwa kiongozi wa ngapi ya juu. Kama kipimo kingekuwa lugha, hao wamalawi wangelikuwa matajiri wakubwa sana
So unahalalisha msomi wa PhD tena kwa kutumia kiingereza kutokuijua lugha hiyo ni sawa? Kichwa kazi yake siyo kufugia nywele ndugu MatagaAkili za mwafrika bhasi tu, lugha ni chombo cha mawasiliano hivyo uelewa wa lugha haualalishi kuwa una akili,lugha yoyote duniani husaidia mawasiliano tu ndio maana ata ulaya kuna viziwi ,mabubu wote hawa hawajuhi kizungumza kiingereza ila wanawasiliana ,kuna uwezekano mkubwa wa kwamba ili uelewane na jamii nyingine lazima ujifunze lugha yake ila si lazima wala haikuongezei uelewa na nikufahamishe tu vizuri kuwa watu uelewa zaidi ukiwafundisha kwa lugha yake aliyozaliwa nayo mfano* mwanao ambaye yuko na miaka 3 muulize
kwa kiswahili chochote katika mwili wake atakutajia lakini lakini mchukue mwanafunzi wa form 4 muulize vitu vilevile kwa Kimombo lazima atachesha.
Kingereza hicho tunachosema ni lugha ya kikoloni ndyo lugha hiyo hiyo imetumika kuandika sheria zetu na kusainia mikataba.Akili za kikoloni bado sana waafrika!
Una akili nzuri na kubwa kuliko mleta bangoKingereza hakijawahi kunijengea hata kilomita moja ya barabara ya lami
Hata mwanangu wa standard two anaweza mkalisha jiwe likija swala la kingereza'jamaa' does not speak ANY english!.
Kuna 'Mgombea' Mmoja hivi (bahati mbaya Jina lake limenitoka ghafla tu) nami natamani kweli kweli akishamaliza tu Ratiba yake ya Kugawa 'Kopi' za 'Vinyago' vyenye Mbuga zetu za Wanyama kwa Wageni wake Waalikwa basi nae akatishe zake aende Kupiga 'Stori' mbili tatu hivi na Balozi wa Marekani kama ambavyo leo 'Mgombea' Tundu Lissu amefanya.
Na huyu 'Mgombea' ambaye natamani nae akafanye hayo 'Mazungumzo' na Balozi huyo basi aruhusu 'Wanahabari' wote wamuweke 'Mubashara' kabisa ili Wananchi tumsikie nae akitema 'Ung'eng'e' wake ambao utamzidi alionao Tundu Lissu.
Na inasemekana kuwa huyu 'Mgombea' Yeye ndiyo 'Kihistoria' ameanza Kutangulia kwenda Ulaya mno hasa hasa Ujerumani kuliko Mwenzake Lissu.
Acha ungese wewe....!Je, Unafikiri uongozi bora unatokana na kujua English?
Maendeleo ya nchi ya Watanzania|waswahili yanajengwa na Lugha ya kiingereza.
Unajua Lugha inayotumika katika jamii,biashara za kila siku na shughuli nyingi za maendeleo ni Kiswahili??
Kwanini Mnajigamba kwa Lugha ya kigeni ambayo hata isingekuwepo Tanzania bado wananchi wa kitanzania tungefanya mawasiliano yetu vizuri.
Hivi nyie baadhi ya Waafrika mbona mnatufanya waafrika wote tuonekane wajinga.
Sasa inakuwaje wa Malawi wakata michongoma na walinzi huko Mwananyala wanaweza kuongea kiingereza fasaha ihali walinzi wa Tanzania hawawezi?.Duh...yaani wewe kweli hujaelimika....yaani bado unafikiri kufahamu kiingereza ndiyo sifa?! Nenda mwananyamala na kinondoni utawakuta wamalawi wengi ma-houseboy na wakata michongoma wanaongea English..
Kwani amesomea phd ya lugha gani maana kuna lugha zaidi ya 10 zinazozungumzwa zaidi duniani.So unahalalisha msomi wa PhD tena kwa kutumia kiingereza kutokuijua lugha hiyo ni sawa? Kichwa kazi yake siyo kufugia nywele ndugu Mataga
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Kingereza hakijawahi kunijengea hata kilomita moja ya barabara ya lami
Msheenzi kabisa embu mwambie huyo maana wanaona kama huyo mzeeanatoa hela mfukoni mwake,na by the way ni jukumu lake kufanya aliyofanyaKwani hiyo barabara inajengwa kwa mikataba ya lugha ghani? ni pesa zako na baba yako hujenga barabara?
Wewe usiyezungumza english hata ukimuona kuku wa kizungu unaweza kumkimbia ukahisi atakuuliza good morningShida ipo Sana hasa nyie mnaotukuza English...unadhani Putin anazungumza English? Unadhani marais wote wanazungumza English?
Kwa maana lugha has nothing to do with elimu...kiingereza sawa na kipare, kichaga, kihausa, kirusi na kadhalika ..wale wamalawi wanaweza kuwa wanaongea English lakini wengi wao hawajui kusoma Wala kuandika...they are illiterate...ndio maana wanakuja huku kukata michongoma..hawana elimu...they are...wamezaliwa kwenye English basi...wakati wa ukoloni watu walikuwa wanatambia kuzungumza kiingereza wakijifananisha na wazungu...ni kasumba...wako brainwashed...Sasa kwa wakati huuukimuona mtu mzima na akili anatambia English ujue upeo wake wa kuelewa issues ni wa kiwango Cha chini mno...mtu wa aina hiyo ni wa kumhurumia tu.Sasa inakuwaje wa Malawi wakata michongoma na walinzi huko Mwananyala wanaweza kuongea kiingereza fasaha ihali walinzi wa Tanzania hawawezi?.
Tuanzie hapo.

Tuna watu wa ajabu Sana Tanzania...ni mawazo ya kiwendawazimuWewe usiyezungumza english hata ukimuona kuku wa kizungu unaweza kumkimbia ukahisi atakuuliza good morning
•Symbol of intelligent [×]Ifike mahala watanzania kwanza muelewe knowing how to speak English is not a symbol of intelligent.[emoji23][emoji23][emoji23]
Kingereza hakijawahi kunijengea hata kilomita moja ya barabara ya lami
Kingereza hakijawahi kunijengea hata kilomita moja ya barabara ya lami