Je, na Wagombea wengine wa 'Urais' nchini Tanzania nao watakuwa na 'Confidence' kubwa ya Kuongea Kiingereza na Balozi wa US kama alivyoweza Lissu?

Shida ipo Sana hasa nyie mnaotukuza English...unadhani Putin anazungumza English? Unadhani marais wote wanazungumza English?
Hii inategemea na namna walivyo pata elimu zao, je viongozi wetu elimu zao hadi kufikia PHD wamepata kwa lugha gani?
 
Mastermind
 
Labda lipumba tu, maana wengine I cant reach you
 
Hoja ya kipuuzi kabisa, yani wewe kuoa/kuolewa umetaka mwenyewe halafu unaenda kwa mtu mbali kabisa kuzungumza nae kuhusu ndoa yako, umeona wapi mambo hayo?
 
According to Lissu Tz inawahitaji mabeberu na mabeberu hawatuhitaji sisi.

Yaani tayari ameshauza nchi..
Worst ni hizi hadithi za kushitakiwa na inferiority display anayouza kwenye jamii sisi sio watu sawa na mabeberu wao ni superior kwetu.

Ndio akili zinazokuja kuanzisha mada kama hizi balozi wa US ni nani ndani ya Tanzania mpaka viongozi walazimike kujua lugha yake that is just slave mentality; badala ya yeye kujua lugha yetu kama mabalozi wengi wa Scandinavia wanaoletwa.

Ukienda nchi za wenzetu kakisiwa kidogo kama cha UK wanawimbo wao wakukumbushana wao ni great unaitwa ‘rule brittania’ na serikali yao inauchukulia serious kwenye propaganda.

Wamarekani wanajiaminisha wao ndio taifa kubwa duniani; nina uhakika ata huko Iran watakuwa na nationalism propaganda zao maana wanajua ni target ya wababe duniani na bila ya unity au kujiamini na kutoa mikwara wangeshakuwa attacked kitambo.

Sisi kwetu anakuja psychopath mmoja mwenye hasira za kulipa kisasi na kuanza kuwakuza mabeberu na kuna mijitu inamshangilia yeeh; it’s beyond pathetism.

Ndio maana ni rahisi sana kuziburuza nchi za kiafrika kwa sababu patriotism in politics is weak.

Watu wafanye siasa sio mambo ya kukuza mataifa mengine katika harakati zao, wafuasi wachadema ni watu wapuuzi mno.
 
Hii inategemea na namna walivyo pata elimu zao, je viongozi wetu elimu zao hadi kufikia PHD wamepata kwa lugha gani?
Duh...wako waliopata PhD kwa kirusi,. Wako waliopata PhD kwa kifaransa..wengine wamepata PHD kwa kichina...wengine kwa kihispaniola...wengine kwa Kiswahili...wengine kwa Kiingereza...Wengine kwa Kijerumani...na kadhalika
 
Duh...yaani wewe kweli hujaelimika....yaani bado unafikiri kufahamu kiingereza ndiyo sifa?! Nenda mwananyamala na kinondoni utawakuta wamalawi wengi ma-houseboy na wakata michongoma wanaongea English..
Tuelimishe wewe uliyeelimika
Maana ya Commonwealth Countries ni nini? Official Languages ni zipi kwa nchi zake?
Kwa hivi unaagiza twende na mkalimali huko ubalozini au! Maana povu lako duh

Russia na China zipo kwa Commonwealth kwani!
Mwana kuelimika tupe Elimu
Ndipo tutajua nani mwerevu na nani mjinga
Ni hivyo tu
 
Sawa...Sasa huyo Lissu kibaraka wa mabeberu..ndiye anayewaaminisha watu baadhi eti nchi hii hakuna demokrasia...yaani beberu Amsterdam anaandika barua kuitisha tume yetu as if sisi ni koloni...Sasa huyo Lissu ngoja ashindwe vibaya kwenye boksi la kura...
 
Inasikitisha jinsi watu kwa ridhaa yao bila ya shuruti wanavyojishusha.

Lissu is a National security problem.
 
Fikira za mtu mweusi zitabaki kuwa nyeusi kama alivyo yeye

Poor you! Wewe ni mbaguzi na unahusisha rangi na ubora!! Unamlaumu mleta mada lakini wewe ni worse!

Ujinga utawaisha lini mtambu na kuzungumzia mambo ya maana??
 
Usipojua English inakuondolwa uwezo wa kuongoza ?! Mawazo ya English, English, English ni ya kikoloni na ulimbukeni uliopitiliza...ni kasumba iliyopitiliza..ni lack of self confidence...kwamba eti ukijua English ndio umeelimika...
Wewe jamaa uko makini lakini, inakuaje lugha ya kufundishia ni English halafu unatuletea ukoloni. Sasa kwanini mnatumia hiyo lugha kuendeleza ukoloni. Mkiambiwa mnakimbilia kulinganisha mataifa ya china, urusi na kina Korea kaskazini. Hayo mataifa yanajielewa na wanatumia lugha yao kuanzia darasa la awali mpaka chuo kikuu ila sisi tunatumia hio lugha ya kiloni mpaka kwenye milango ya choo. Usitetee upuuzi hapa kama umetumia lugha kuanzia form 1 hadi PhD halafu hujui hata simple grammar hapo kuna walakin.
 
Walakini gani unauzungumzia?!?!
 
''London wanatumia basi moja la ghorofa na wanatumia barabara hizi hizi za City rails. Hauhitaji space ya ziada. Nafikiri ma-basi ya mwendo kasi yawe kila mahali!''

Mgombea wa Chama oops Saccos ya Mbowe, anawaaminisha chama cha ukoo ooops saccos ya ukoo wa Mbowe kwamba anaifahamu London. Aibu!

London aliyofika TAL ni ya madongo kwinama. Tram trains zipo sehemu mbili tu na zinachangia less than 20% ya usafiri wa Greater London. Just for his information kuna underground ambayo ndio engine kama ukipenda ya usafiri wa kusafiri kwenda inner London. Akawalishe kauzu kavu Chadema.
 
Sasa kama huyo mgombea akienda au akafutwa huko aliko akiulizwa juu ya mambo ya independent, impartial free and fair election, atajibuje? Kwamba kama anapendelewa hilo liko juu ya uwezo wake au ajibu nini? Ya nini ajifungie paka shingoni?
Kabudi profesa majalala huongea mara kwa mara na mabalozi na yeye ajifungie paka shingoni?
 
Mgombea huyo kasoma hadi PhD kwa kiingereza, lkn kaendelea kuwa kiazi!
Phd ya CCM hufutika pindi ukiingia CCM hukutana na Uswahili vitabia vya hovyo kiasi kwamba ulichosomea chote husahaulika haraka kwa kuendekeza Majungu fitna badala ya kukumbushia Taaluma
 
Walakini gani unauzungumzia?!?!
Mkuu kushawahi kufanya research japo ya mastery level?
Unapofanya research hasa at PhD level ukafikia kudefend na kugraduate kama kweli umefanya mwenyewe bila ujanja hauwezi kushindwa kutoa speech kwa lugha uliofanyia hio PhD mbele ya kadamnasi.
Sasa wewe PhD holder umefanya research kwa lugha ya kiswahili halafu huwezi kuadress watu kwa kiswahili tukueleweje. Lazima kutakuwa na walakini kwanza kwa kazi yako na pili hio IQ yako pia. Kiufupi utakuwa huaminiki kupewa majukumu mazito.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…