Hii inategemea na namna walivyo pata elimu zao, je viongozi wetu elimu zao hadi kufikia PHD wamepata kwa lugha gani?Shida ipo Sana hasa nyie mnaotukuza English...unadhani Putin anazungumza English? Unadhani marais wote wanazungumza English?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii inategemea na namna walivyo pata elimu zao, je viongozi wetu elimu zao hadi kufikia PHD wamepata kwa lugha gani?Shida ipo Sana hasa nyie mnaotukuza English...unadhani Putin anazungumza English? Unadhani marais wote wanazungumza English?
Unachowaza ni lami tuKingereza hakijawahi kunijengea hata kilomita moja ya barabara ya lami
MastermindKuna 'Mgombea' Mmoja hivi (bahati mbaya Jina lake limenitoka ghafla tu) nami natamani kweli kweli akishamaliza tu Ratiba yake ya Kugawa 'Kopi' za 'Vinyago' vyenye Mbuga zetu za Wanyama kwa Wageni wake Waalikwa basi nae akatishe zake aende Kupiga 'Stori' mbili tatu hivi na Balozi wa Marekani kama ambavyo leo 'Mgombea' Tundu Lissu amefanya.
Na huyu 'Mgombea' ambaye natamani nae akafanye hayo 'Mazungumzo' na Balozi huyo basi aruhusu 'Wanahabari' wote wamuweke 'Mubashara' kabisa ili Wananchi tumsikie nae akitema 'Ung'eng'e' wake ambao utamzidi alionao Tundu Lissu.
Na inasemekana kuwa huyu 'Mgombea' Yeye ndiyo 'Kihistoria' ameanza Kutangulia kwenda Ulaya mno hasa hasa Ujerumani kuliko Mwenzake Lissu.
Labda lipumba tu, maana wengine I cant reach youKiingereza ni lugha tu kama lugha nyingine. Na lugha ni njia za kimfumo za kuwasiliana kwa kutumia sauti au alama za kawaida. Cha maana ni mawasiliano tu.
Una uhuru wa kutumia lugha yoyote kufikisha ujumbe wako. Unataka kusema kwamba Kiswahili hakifai kwa mawasiliano au kufikisha ujumbe?
Kwetu sisi Kiingereza ni lugha ya kujipendeza tu ili tuombe misaada. Kama uhitaji msaada, ongea nao hata kwa Kinyaturu wamtafisirie.
BN: Lugha zote hazijatengezwa na binadamu, ni za Mungu. Na kila kilicho cha Mungu ni kitakatifu. Kwa hiyo Kiswahili ni lugha takatifu. Ukidharau kiswahili, umemdharau mwenye lugha.
Wale wahisani huwa wanaongea kisukuma?Kingereza hakijawahi kunijengea hata kilomita moja ya barabara ya lami
Hivi wale washenga wanakuwaga dada/kaka/baba zako?Hoja ya kipuuzi kabisa, yani wewe kuoa/kuolewa umetaka mwenyewe halafu unaenda kwa mtu mbali kabisa kuzungumza nae kuhusu ndoa yako, umeona wapi mambo hayo?
Worst ni hizi hadithi za kushitakiwa na inferiority display anayouza kwenye jamii sisi sio watu sawa na mabeberu wao ni superior kwetu.According to Lissu Tz inawahitaji mabeberu na mabeberu hawatuhitaji sisi.
Yaani tayari ameshauza nchi..
Duh...wako waliopata PhD kwa kirusi,. Wako waliopata PhD kwa kifaransa..wengine wamepata PHD kwa kichina...wengine kwa kihispaniola...wengine kwa Kiswahili...wengine kwa Kiingereza...Wengine kwa Kijerumani...na kadhalikaHii inategemea na namna walivyo pata elimu zao, je viongozi wetu elimu zao hadi kufikia PHD wamepata kwa lugha gani?
Tuelimishe wewe uliyeelimikaDuh...yaani wewe kweli hujaelimika....yaani bado unafikiri kufahamu kiingereza ndiyo sifa?! Nenda mwananyamala na kinondoni utawakuta wamalawi wengi ma-houseboy na wakata michongoma wanaongea English..
Sawa...Sasa huyo Lissu kibaraka wa mabeberu..ndiye anayewaaminisha watu baadhi eti nchi hii hakuna demokrasia...yaani beberu Amsterdam anaandika barua kuitisha tume yetu as if sisi ni koloni...Sasa huyo Lissu ngoja ashindwe vibaya kwenye boksi la kura...Worst ni hizi hadithi za kushitakiwa na inferiority display anayouza kwenye jamii sisi sio watu sawa na mabeberu wao ni superior kwetu.
Ndio akili zinazokuja kuanzisha mada kama hizi balozi wa US ni nani ndani ya Tanzania mpaka viongozi walazimike kujua lugha yake that is just slave mentality; badala ya yeye kujua lugha yetu kama mabalozi wengi wa Scandinavia wanaoletwa.
Ukienda nchi za wenzetu kakisiwa kidogo kama cha UK lakini wanawimbo wao wakukumbushana wao ni ‘rule brittania’ na serikali yao inauchukulia serious kwenye propaganda.
Wamarekani wanajiaminisha wao ndio taifa kubwa duniani; nina uhakika ata huko Iran watakuwa na nationalism propaganda zao maana wanajua ni target ya wababe duniani na bila ya unity au kujiamini na kutoa mikwara wangeshakuwa attacked kitambo.
Sisi kwetu anakuja psychopath mmoja mwenye hasira za kulipa kisasi na kuanza kuwakuza mabeberu na kuna mijitu inamshangilia yeeh; it’s beyond pathetism.
Ndio maana ni rahisi sana kuziburuza nchi za kiafrika kwa patriotism in politics is weak.
Watu wafanye siasa sio mambo ya kukuza mataifa mengine katika harakati zao, wafuasi wachadema ni watu wapuuzi mno.
Inasikitisha jinsi watu kwa ridhaa yao bila ya shuruti wanavyojishusha.Sawa...Sasa huyo Lissu kibaraka wa mabeberu..ndiye anayewaaminisha watu baadhi eti nchi hii hakuna demokrasia...yaani beberu Amsterdam anaandika barua kuitisha tume yetu as if sisi ni koloni...Sasa huyo Lissu ngoja ashindwe vibaya kwenye boksi la kura...
Fikira za mtu mweusi zitabaki kuwa nyeusi kama alivyo yeye
Wewe jamaa uko makini lakini, inakuaje lugha ya kufundishia ni English halafu unatuletea ukoloni. Sasa kwanini mnatumia hiyo lugha kuendeleza ukoloni. Mkiambiwa mnakimbilia kulinganisha mataifa ya china, urusi na kina Korea kaskazini. Hayo mataifa yanajielewa na wanatumia lugha yao kuanzia darasa la awali mpaka chuo kikuu ila sisi tunatumia hio lugha ya kiloni mpaka kwenye milango ya choo. Usitetee upuuzi hapa kama umetumia lugha kuanzia form 1 hadi PhD halafu hujui hata simple grammar hapo kuna walakin.Usipojua English inakuondolwa uwezo wa kuongoza ?! Mawazo ya English, English, English ni ya kikoloni na ulimbukeni uliopitiliza...ni kasumba iliyopitiliza..ni lack of self confidence...kwamba eti ukijua English ndio umeelimika...
Walakini gani unauzungumzia?!?!Wewe jamaa uko makini lakini, inakuaje lugha ya kufundishia ni English halafu unatuletea ukoloni. Sasa kwanini mnatumia hiyo lugha kuendeleza ukoloni. Mkiambiwa mnakimbilia kulinganisha mataifa ya china, urusi na kina Korea kaskazini. Hayo mataifa yanajielewa na wanatumia lugha yao kuanzia darasa la awali mpaka chuo kikuu ila sisi tunatumia hio lugha ya kiloni mpaka kwenye milango ya choo. Usitetee upuuzi hapa kama umetumia lugha kuanzia form 1 hadi PhD halafu hujui hata simple grammar hapo kuna walakin.
Mikataba ya kifisadi na kampuni za ujenzi huandikwa kwa kingereza wizi wa ccm miaka yote ni kwenye mikataba ya kingerezaKingereza hakijawahi kunijengea hata kilomita moja ya barabara ya lami
Kabudi profesa majalala huongea mara kwa mara na mabalozi na yeye ajifungie paka shingoni?Sasa kama huyo mgombea akienda au akafutwa huko aliko akiulizwa juu ya mambo ya independent, impartial free and fair election, atajibuje? Kwamba kama anapendelewa hilo liko juu ya uwezo wake au ajibu nini? Ya nini ajifungie paka shingoni?
Phd ya CCM hufutika pindi ukiingia CCM hukutana na Uswahili vitabia vya hovyo kiasi kwamba ulichosomea chote husahaulika haraka kwa kuendekeza Majungu fitna badala ya kukumbushia TaalumaMgombea huyo kasoma hadi PhD kwa kiingereza, lkn kaendelea kuwa kiazi!
Mkuu kushawahi kufanya research japo ya mastery level?Walakini gani unauzungumzia?!?!