Je, na Wagombea wengine wa 'Urais' nchini Tanzania nao watakuwa na 'Confidence' kubwa ya Kuongea Kiingereza na Balozi wa US kama alivyoweza Lissu?

Kwanza kabisa, ni muhimu ujue kuwa Nchi yetu imeuzwa na walioko madarakani, CCM, wanaong'ang'ania kuendelea kuifilisi nchi yetu kama kupe.

Hakuna mtu hata mmoja mwenye uchungu na uzalendo wa Nchi yetu na mwenye akili timamu anayeweza kukiunga mkono Chama cha Majambazi, CCM.

Tunasikia porojo za Mamluki fulani kuwa Nchi yetu ni tajiri sana. Jiulize, kwa Nchi tajiri kwa kiwango ambacho Mamluki hao wanajisifia, kwa nini Deni la Taifa linazidi kuongezeka? Tulitegemea tusikie kuwa Hazina ya Dhahabu ya Taifa inaongezeka, badala yake kinachoongezeka ni Deni la Taifa.

Tatizo ni CCM.

CCM, kama walivyo majambazi wote, wanatumia bunduki na mabomu ya machozi kuendelea kuwakandamiza Watanzania.
Amini nakuambia, siku za Chama cha Majambazi zinahesabika.
 
Kabudi amepwaya mno maswala ya diplomasia yanaongozwa na mkataba wa Vienna lakini kitendo anachofanya marekani hakiruhusiwi popote ndio maana wamarekani waliunda hadi tume ya kuchunguza kama urusi waliingilia uchaguzi wao kama kwao ni haramu kwanini kwetu iwe halali
 
Hii nchi imepunguza wajinga lakini bado tuna tatizo la upumbavu..... Kiingereza ndio kitu gani.....! Tunahitaji mtu atakayeweza kutuongoza sio anayezungumza kiinglishi
 
Mkuu naona kuna mtu unamchokoza. Hivi akituma watu wakupeleke kwake na akwamwaga ung'eng'e wa maana mbele yako utasemaje?
Hapana akaumwage tuu kwenye TV kama kawaida kama anaweza..
 
Duh...yaani wewe kweli hujaelimika....yaani bado unafikiri kufahamu kiingereza ndiyo sifa?! Nenda mwananyamala na kinondoni utawakuta wamalawi wengi ma-houseboy na wakata michongoma wanaongea English..
Lakini mkuu English ya kuisomea darasani ina heshima yake,mkuu kukaa darasani kuanzia chekechea mpaka unapata phd na masomo yanafundishwa kwa english, lakini wewe unatoka kapa,huoni una shida.
Mbona Lisu kaolewa hyo lugha kwa kuisoma darasani hukohuko.
Kubali tu Mzee ni kilaza.
 
Hivi Rwanda mnafanya lini uchaguzi?
 
Hii nchi imepunguza wajinga lakini bado tuna tatizo la upumbavu..... Kiingereza ndio kitu gani.....! Tunahitaji mtu atakayeweza kutuongoza sio anayezungumza kiinglishi
Tunataka kiongozi mwenye elimu,sifa moja wapo ya elimu ni kujua lugha ya kiingereza kwa sababu masomo mengi ya elimu ya juu hufundishwa kwa kizungu.acheni kutetea upumbavu.
 
07 October 2020
Dar es Salaam, Tanzania


Tanzania's main opposition presidential candidate Tundu Lissu, speaks during a Reuters interview in Dar es Salaam, Tanzania October 7, 2020.
REUTERS/STRINGER
(Reuters) - Three weeks before elections, the Tanzanian government is getting scared and will do all in its power to stop the opposition, according to Tundu Lissu, a presidential hopeful whose convoy was teargassed by police last week.

"It is getting harder. It is getting hotter. We expected this," Lissu, from the main opposition Chadema party, told Reuters on Wednesday.
Chadema says its party offices in Arusha in northern Tanzania were firebombed.

Meanwhile, dozens of opposition parliamentary candidates were disqualified from running in the elections for president and members of parliament on Oct. 28 read more : Tanzania opposition leader says facing repression as elections near
 
CCM hatutaki mamluki kama ww....
Jijue kama uko upinzani tujue... Nyambafu ww.... Ww umeona ni mgombea gani wa urais hajui kiingereza.... Kuanzia ripumba hadi Magufuli?
 
Shida ipo Sana hasa nyie mnaotukuza English...unadhani Putin anazungumza English? Unadhani marais wote wanazungumza English?
I say umesema kweli, lakini kama umesoma Kiingereza toka darasa la 3 hadi utu uzima, inakupasa ukimudu!
 
Ila ukikitumia vyema / vizuri kwa 'Wamiliki' wa hiyo Lugha si tu kwamba wanaweza Kukujengea hiyo Lami bali hata Kuondoa 'Upumbavu' ulionao.
Haahahaha yani upumbavu na kujipendekeza kuliko neno lenyewe
 
Duh...yaani wewe kweli hujaelimika....yaani bado unafikiri kufahamu kiingereza ndiyo sifa?! Nenda mwananyamala na kinondoni utawakuta wamalawi wengi ma-houseboy na wakata michongoma wanaongea English..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umepaniki mkuu, hao ni lugha zao ila hutu yeye ana PhD feki ndiyo tatizo,

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Shida ipo Sana hasa nyie mnaotukuza English...unadhani Putin anazungumza English? Unadhani marais wote wanazungumza English?
Huyo Putin alifanya mpaka PhD yake kwa kiingereza? Nyie ndiyo mnampotosha huyo nanii wenu

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Akili za mwafrika bhasi tu, lugha ni chombo cha mawasiliano hivyo uelewa wa lugha haualalishi kuwa una akili,lugha yoyote duniani husaidia mawasiliano tu ndio maana ata ulaya kuna viziwi ,mabubu wote hawa hawajuhi kizungumza kiingereza ila wanawasiliana ,kuna uwezekano mkubwa wa kwamba ili uelewane na jamii nyingine lazima ujifunze lugha yake ila si lazima wala haikuongezei uelewa na nikufahamishe tu vizuri kuwa watu uelewa zaidi ukiwafundisha kwa lugha yake aliyozaliwa nayo mfano* mwanao ambaye yuko na miaka 3 muulize
kwa kiswahili chochote katika mwili wake atakutajia lakini lakini mchukue mwanafunzi wa form 4 muulize vitu vilevile kwa Kimombo lazima atachesha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…