Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Mbona ulishindwa kwenda Afrika Kusini kufundisha kiswahili, utabaki na ujinga wako unakaanga chips mayai mtaani.Umenena vema. Wasiojitambua hujitoa ufahamu na kumkiri mtu anayeongea kiingereza kuwa ni wa maana sana kuliko hata mzazi wake asiyejua Kiingereza.
Hao wamalawi wametumia fulsa ya kiingereza kupata kazi kwa wazungu, huko hakuna mshahara wa shilingi elfu sitini. Malawi akiachiwa kitu na bosi wake anao uwezo wa kusoma maelekezo na kukitumia ndiyo sababu wazungu wanapenda kuwaajiri, hebu nawe na kiswahili chako nenda Malawi ukaajiriwe na mzungu kama hukuonekans kituko.Duh...yaani wewe kweli hujaelimika....yaani bado unafikiri kufahamu kiingereza ndiyo sifa?! Nenda mwananyamala na kinondoni utawakuta wamalawi wengi ma-houseboy na wakata michongoma wanaongea English..
Kwaio unachagua kiongoz anae weza kuongea vizur kingereza dah ivi una miaka mingap mkuu mbona mawazo yako na akil vinatia shaka ivi una Familia kweli? Next election tumpe uongoz Dada wema sepetu bas mana hata yeye anaongea kingereza kizur tuKuna 'Mgombea' Mmoja hivi (bahati mbaya Jina lake limenitoka ghafla tu) nami natamani kweli kweli akishamaliza tu Ratiba yake ya Kugawa 'Kopi' za 'Vinyago' vyenye Mbuga zetu za Wanyama kwa Wageni wake Waalikwa basi nae akatishe zake aende Kupiga 'Stori' mbili tatu hivi na Balozi wa Marekani kama ambavyo leo 'Mgombea' Tundu Lissu amefanya.
Na huyu 'Mgombea' ambaye natamani nae akafanye hayo 'Mazungumzo' na Balozi huyo basi aruhusu 'Wanahabari' wote wamuweke 'Mubashara' kabisa ili Wananchi tumsikie nae akitema 'Ung'eng'e' wake ambao utamzidi alionao Tundu Lissu.
Na inasemekana kuwa huyu 'Mgombea' Yeye ndiyo 'Kihistoria' ameanza Kutangulia kwenda Ulaya mno hasa hasa Ujerumani kuliko Mwenzake Lissu.
Huo mstari ulioandika neno nasikia , ni uthibitisho tosha kwamba unapakatwa.Sasa wewe hutoi povu...mpaka mnaleta issue ya lugha au tuseme English huko ndiyo kuishiwa hoja.,.yaani mtu mzima na akili zake anatamba mbele ya watu wazima na akili zao Tena walioelimika kwamba eti Fulani anajua English...nyie ndio mnaotoa povu...mnaokoteza hoja hapa na pale...your man has already lost the election...hakuna namna...mjipange tu kulala barabarani...nasikia anajiandaa kutangaza serikali akiwa uhamishoni ..labda wewe utakuwa waziri wake wa habari...that man is capable of anything foolish..
Una uhakika na hiyo Phd ?Mgombea huyo kasoma hadi PhD kwa kiingereza, lkn kaendelea kuwa kiazi!
Law healer, heri ya mjinga kuliko mpumbavu wewe. Do you know the official language of Tanzania?Je, Unafikiri uongozi bora unatokana na kujua English?
Maendeleo ya nchi ya Watanzania|waswahili yanajengwa na Lugha ya kiingereza.
Unajua Lugha inayotumika katika jamii,biashara za kila siku na shughuli nyingi za maendeleo ni Kiswahili??
Kwanini Mnajigamba kwa Lugha ya kigeni ambayo hata isingekuwepo Tanzania bado wananchi wa kitanzania tungefanya mawasiliano yetu vizuri.
Hivi nyie baadhi ya Waafrika mbona mnatufanya waafrika wote tuonekane wajinga.
Mwaka 1954 ni mwaka ambao TANU ilizaliwa ikiundwa na watanganyika werevu na wenye busara, sasa wewe choko unautumia huo mwaka kama identity kwa kuutia najisi na tabia zako za kichoko choko.Lissu wenu anataka kuuza nchi...na baada ya uchaguzi anataka kutangaza serikali uhamishoni ...
Acha upumbavu bwege wewe, tangu lini Rais akawa alama ya taifa tena rais mwenyewe mbaguzi anawezaje kuwa alama ya taifa.Yaani Rais unamfananisha na mjusi?! Yaani unafika huko na kumdharau Rais wa TZ kiasi hicho?! Ukikamatwa na kuburuzwa mahakamani utasema huo ni uminywaji wa demokrasia? Huna heshima kwa Rais wako na ambaye ni alama ya taifa? Duh
Tusiishie hapo, tuanze rasmi kukataa misaada ya aina yoyote kutoka Ulaya na MarekaniKabudi amepwaya mno maswala ya diplomasia yanaongozwa na mkataba wa Vienna lakini kitendo anachofanya marekani hakiruhusiwi popote ndio maana wamarekani waliunda hadi tume ya kuchunguza kama urusi waliingilia uchaguzi wao kama kwao ni haramu kwanini kwetu iwe halali
Hiyo mikataba mnayosaini na mabeberu nyie mbuzi jike huwa mnaisaini kwa kizaramo ?Kiongozi kujua kujua kiingereza itatusaidia nini!?
Makao makuu ya WB iliyotoa pesa ya kujenga ubungo interchange, barabara ya mwendo kasi ipo Washington na kule kiswahili is not a media of communication.Pesa iliyojenga daraja la Tazara imetoka Tokyo ambako pia kiswahili hakipo.Ugumu wa maisha unaowakabili watanzania for 5 years now kutokujua kiingereza cha mtu tuliyemuweka mbele unachangia kwa kiasi kikubwaKingereza hakijawahi kunijengea hata kilomita moja ya barabara ya lami
I can preach but i cant reach youAibu kubwa asee bora atembee na wakalimani, Jana kwenye hafla ya jioni na raisi wa Malawi alitema yai bovu utadhani mwanafunzi wa fm1,
Hii lugha muhimu sana hasa katika medani za kimataifa sijui Tanzania tulikosea wapi,
Kwa hiyo wewe hapa umeandika sense?! Kutumia neno 'choko' ndio umeandika sense?! Sasa aliyejuanika hapa kuwa ni Nani Kati yako na Mimi?! Unatumia silaha ya matusi kunyamazisha wengine hapa?! Kaanze Kwanza kumwambia baba yako mzazi na mama yako mzazi kuwa ni machoko pengine kwa kufanya hivyo utaelewa maana yake na labda hutawatamkia wengine neno Hilo....kwa uelewa wako mwaka 1954 unahusu TANU tu...kutumia matusi katika kujenga hija ni isanity na wewe pengine unaelekea huko? Hivi Mimi kuhoji kwanini mwenzetu anamfananisha Rais wetu na mjusi ndiyo uniite choko ?! Kwanini?! Nchi hii imeanza kuwa na wendawazimu wengi...Mwaka 1954 ni mwaka ambao TANU ilizaliwa ikiundwa na watanganyika werevu na wenye busara, sasa wewe choko unautumia huo mwaka kama identity kwa kuutia najisi na tabia zako za kichoko choko.
Unatumia nguvu nyingi kuandika ujinga hapa jf ukiamini ki reply kila comment kunakufanya uonekane umeandika senses kumbe ndio unazidi kujianika jinsi ulivyo mtupu kwenye hilo sanduku lako la kubebea meno.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umenifurahisha sana, Mkuu. Yaani roho yangu kwatu asubuhi hii.Kingereza hakijawahi kunijengea hata kilomita moja ya barabara ya lami
Hao wamalawi hawaajiriwi na wazungu tu...Kama umeshawahi kukaa mwananyamala na kinondoni utakuja na jibu zuri hapa...English siyo Kila kitu...watu hao baadhi yao hawajui hata kusoma na kuandika..jengeni hoja nzuri...English is not everything...hayo ni mawazo ya ukoloni...wale walioweza kuongea English wakati huo walikuwa wanajiona na kujifananisha na wazungu...Hao wamalawi wametumia fulsa ya kiingereza kupata kazi kwa wazungu, huko hakuna mshahara wa shilingi elfu sitini. Malawi akiachiwa kitu na bosi wake anao uwezo wa kusoma maelekezo na kukitumia ndiyo sababu wazungu wanapenda kuwaajiri, hebu nawe na kiswahili chako nenda Malawi ukaajiriwe na mzungu kama hukuonekans kituko.
Kingereza kinamsaidia nini mtu mweusi wa hapa Africa...nadhani JF ina watoto wengi sanaKuna 'Mgombea' Mmoja hivi (bahati mbaya Jina lake limenitoka ghafla tu) nami natamani kweli kweli akishamaliza tu Ratiba yake ya Kugawa 'Kopi' za 'Vinyago' vyenye Mbuga zetu za Wanyama kwa Wageni wake Waalikwa basi nae akatishe zake aende Kupiga 'Stori' mbili tatu hivi na Balozi wa Marekani kama ambavyo leo 'Mgombea' Tundu Lissu amefanya.
Na huyu 'Mgombea' ambaye natamani nae akafanye hayo 'Mazungumzo' na Balozi huyo basi aruhusu 'Wanahabari' wote wamuweke 'Mubashara' kabisa ili Wananchi tumsikie nae akitema 'Ung'eng'e' wake ambao utamzidi alionao Tundu Lissu.
Na inasemekana kuwa huyu 'Mgombea' Yeye ndiyo 'Kihistoria' ameanza Kutangulia kwenda Ulaya mno hasa hasa Ujerumani kuliko Mwenzake Lissu.
Mimi si mwalimu, kwahiyo siwezi kufundisha. Lakini pia sina ujinga, nafahamu mambo mengi.Mbona ulishindwa kwenda Afrika Kusini kufundisha kiswahili, utabaki na ujinga wako unakaanga chips mayai mtaani.
Akili za huyo mgombea na zako hazitofautiani, ndio maana unadhani ni yeye "kakujengea kilomita moja ya lami."Kingereza hakijawahi kunijengea hata kilomita moja ya barabara ya lami