Je, na Wagombea wengine wa 'Urais' nchini Tanzania nao watakuwa na 'Confidence' kubwa ya Kuongea Kiingereza na Balozi wa US kama alivyoweza Lissu?

Je, na Wagombea wengine wa 'Urais' nchini Tanzania nao watakuwa na 'Confidence' kubwa ya Kuongea Kiingereza na Balozi wa US kama alivyoweza Lissu?

Wewe mzee kweli kiazi hapa sindio unamponda kabisa jamaa yako kwa kupitwa na malaya wa mtaani yeye kasoma kingereza zaidi ya miaka kumi mpaka Phd anashindwa kuongea alicho jifunzia wewe Mzee umezidi uboya sasa ficha aibu
Wewe je?! Aibu gani unazungumzia?! Hiyo ya kutojua kuzhngumza kiingereza?! Ni Nani huyo hajui? Huyo unayemtaja? Wewe ndiye unastahili kuona aibu kwa fikra Kama hizo...
 
Kwani hiyo barabara inajengwa kwa mikataba ya lugha ghani? ni pesa zako na baba yako hujenga barabara?
Kuandika kwa lugha haimaanishi wanatumia hiyo lugha wakati wa ujenzi, je wale ma dayworkers wanazungumzia kiingereza, madereva je
 
Kuna 'Mgombea' Mmoja hivi ( bahati mbaya Jina lake limenitoka ghafla tu) nami natamani kweli kweli akishamaliza tu Ratiba yake ya Kugawa 'Kopi' za 'Vinyago' vyenye Mbuga zetu za Wanyama kwa Wageni wake Waalikwa basi nae akatishe zake aende Kupiga 'Stori' mbili tatu hivi na Balozi wa Marekani kama ambavyo leo 'Mgombea' Tundu Lissu amefanya...
Watu kama nyie ndo mnasababisha tunadharauliwa na jirani zetu. Hadi leo unahusudu lugha ya mkoloni. Hivi ukiongea kiingereza ndo unashiba au fedha zinajaa mfuko?. Umaskini wa fikra ni mbaya sana.
 
Ila ukikitumia vyema / vizuri kwa 'Wamiliki' wa hiyo Lugha si tu kwamba wanaweza Kukujengea hiyo Lami bali hata Kuondoa 'Upumbavu' ulionao.
Mbona hicho kingereza halijatuletea dawa ya homa ya mapafu inayosababishwa na virusi vya korona
 
Putin kapata elimu yake kwa kiingereza?
... hilo swali hawajawahi kulijibu! Watarukaruka mara Putin, mara Xi, mara Angela, mara Macron, mara Berlusconi, mara Khamenei, watazunguka mno lakini "mzizi wa hoja" ambao ni jibu la hilo swali wanajifanya hamnazo!
 
Kuna mpuuzi mmoja yeye na wapambe wake wanajinadi yeye ndio anajenga barabara,madaraja, kununua madege nk wakati yote hayo yanafanywa kwa kodi za Watanzania.
Imesimamiwa na nani
 
Shida ni wewe na wenzio mnaoleta hoja za lugha Kama silaha...shida ni nyie pia mnaodhani huyo mliomtaja hajui English..shida ni nyie wenye mawazo mfilisi mnaotupia Kila aina ya lawama kwa CCM...shida ni nyie mliokata tamaa na msioridhika kwa chochote...shida ni nyie ambao mko tayari kuiuza nchi...nyie iko kwenu mnaoteseka na ushindi wa CCM was muda na hamna mikakati ya kuiondoa madarakani isipokuwa kwa mikakati ya kwamba Fulani hajui kuzungumza English.
Wewe Mzee kuuza nchi unakujua aliyeuza nchi ni chama kipi
 
Duh..wewe umesoma?! Na unajua kiingereza?! Mimi sijasoma na English siijui...ninayo ya kuombea maji...haya tujadiliane hapa English Mimi na wewe uliyesoma na unayejua kiingereza...Mimi sitaona aibu...nataka waone tu..
Mjadala ni Magufuli the holder of Phd 😝. Mimi kiingereza sijui kabisaa na sijasoma kabisaaa. Hofu yangu ni kwa Phd holder wetu. Alisoma kwa kutumia lugha gani?
 
Ila ukikitumia vyema / vizuri kwa 'Wamiliki' wa hiyo Lugha si tu kwamba wanaweza Kukujengea hiyo Lami bali hata Kuondoa 'Upumbavu' ulionao.

Sema tu hata hizo barabara zilijengwa kwa mikopo ambayo imeandikwa kwa Kingereza.Sema yule wa jalalani ndiyo pocket dictionary
 
Kwa hiyo wewe kwa uelewa wako PhD wote wanajua kiingereza
Mjadala ni Magufuli the holder of Phd 😝. Mimi kiingereza sijui kabisaa na sijasoma kabisaaa. Hofu yangu ni kwa Phd holder wetu. Alisoma kwa kutumia lugha gani?
 
Kuna 'Mgombea' Mmoja hivi ( bahati mbaya Jina lake limenitoka ghafla tu ) nami natamani kweli kweli akishamaliza tu Ratiba yake ya Kugawa 'Kopi' za 'Vinyago' vyenye Mbuga zetu za Wanyama kwa Wageni wake Waalikwa basi nae akatishe zake aende Kupiga 'Stori' mbili tatu hivi na Balozi wa Marekani kama ambavyo leo 'Mgombea' Tundu Lissu amefanya.

Na huyu 'Mgombea' ambaye natamani nae akafanye hayo 'Mazungumzo' na Balozi huyo basi aruhusu 'Wanahabari' wote wamuweke 'Mubashara' kabisa ili Wananchi tumsikie nae akitema 'Ung'eng'e' wake ambao utamzidi alionao Tundu Lissu. Na inasemekana kuwa huyu 'Mgombea' Yeye ndiyo 'Kihistoria' ameanza Kutangulia kwenda Ulaya hasa hasa Ujerumani kuliko Mwenzake Lissu.
Unamaanisha ziara hii?
 
Yes they are suppose to speak english. You know here in Tanzania people used to die in the lakes..we are suppose to fight this together. Yes English is not our mother language.thank you for this welcoming I will give your my mother free kichekooooo
 
It boggles my mind why Chadema members and enthusiasts invest so much time and emotion in bashing CCM members and its leadership?

I think once you break down member’s spirituality in political culture, it seems CCM have robbed their dignity and continue to convince them that they — and their political culture is inferior and subordinate.
 
Kwa hiyo wewe kwa uelewa wako PhD wote wanajua kiingereza
Soma uelewe nilichoandika. Siyo wote wanajua kwani kuna waliosoma kwa kutumia lugha nyingine. Lakini kwa huyu kilaza wetu tunachojiuliza ni ilikuwaje akapita kuanzia shule ya sekondari mpaka hiyo level ambako kote huko alikuwa anafundishwa na kufanya research kwa kiingereza lakini hakiwezi?
 
Back
Top Bottom