Unaweza kataa ndoa ila siyo kutaa familia. Kama mwanamme uliyekamilika lazima uwe na watoto ambao utazaa na mwanamke mwenye maadili mema.Mkuu hakuna haja yamaelezo mengi hivyo kataa ndoa tu save kibunda piga tembea
Kama hatambui ndugu yeyote upande wa baba hakuna kuoa.Uliza ukoo au kabila lenu utaratibu KWA asiye na ndugu upande wa baba unakuaje. Wengine upokea waliomlea, wengine wajomba.
Tatizo mnaendekeza usasa usiyo na maana hata kidogo. Kama hujui maana ya mahari, kaa kimya ujifunze kwa wakubwa zakoKwani hiyo mahari unatoa ili iweje????? Inafaida gani???
Unaenda tu kuchochea mgogoro wa hiyo familia kwa vitu vilivyopitwa na wakati.
HaiwezekaniMama yake
HapanaWajomba.
Siyo kweli. Hata kama kakwepa majukumu lazima binti ajue ndugu zake upande wa baba yake. Tofauti na hapo hafai kuolewa.Kuna wanaokwepa majukumu ya malezi wanakaa mbali wanapokeaje utu uzima.Ukikaa mbali endelea kukaa mbali hivyo hivyo
Issue kubwa ni kujua baba au ndugu wa baba. Siyo kila binti anastahili kutolewa mahari na kuolewa. Ukizingua hapo umeisha.Mkuu kupokea mahali ni jambo linaendeshwa kimila hasa kama sio muislamu, kwa baadhi ya makabila ujombani wanapokea mahali kama huyo mtoto anayeolewa hakutolewa mahali hata kama baba yake anamjua.
Bt haya mambo ni very complicated kuna dada kalelewa na kusomeshwa na baba wa kambo lakini kwenye mahali ameshirikishwa mama tu baba wa kambo na baba mzazi wapo
Title ya uzi moderators wamebadilisha. Maana yangu ilikuwa inauliza kwamba binti ambaye hajui ndugu yeyote upande wa baba kama anapaswa kutolewa mahari.Kwanza mahari siyo ya baba, Bali mahari ni ya binti anayeolewa.
Kwenye mtiririko wa mahari kuna wanaostahili kupata vitu vinavyotambulika kimila lakini siyo pesa.
Kuna mkaja wa mama atasema anataka shilling ngapi,
Muolewaji atasema anataka shilling ngapi,
Kuna kitu la babu
Blangeti la bibi
Na vingine vitakuwa applicable kutokana na mila na desturi za makabila mbalimbali.
Kwa case kama hii wanaomuozesha binti ni wajomba, upande wa Baba hauna haki yoyote ile msijitie upofu.
Tena Kwa dini ya kiislamu mtoto wa nje ya ndoa ni wa mama hata kama baba upo na unawajibika Kwa mtoto.
Kwa kifupi hapo ndipo kwenye nguvu ya wajomba ndio wanachukuwa nafasi ya Baba.
Je binti ambaye hajui ndugu yeyote upande wa baba anafaa kutolewa mahari?Siyo lazima, kama Hujui kitu kaa kimya, tena mtoto ana haki ya kutumia ubini wa mama yake yani ujombani, usipotoshe vitu usivyovijuwa.
Unaelewa ni Kwa nini Yesu anaitwa Issa bin Mariam?
Ukitaka kuharibu ukoo then endekeza hizi tabia za ukoo wa mwanamke kupanga future ya mtoto utajua haujui. Haya mambo yana misingi yake na maudhui yake kuyapindisha ni kwenda kinyume na asili.Komeni kuwaandama single mothers, ni ukosefu wa nidhamu na ni kinyume na utu.
Unasema mahari ipokelewe na baba ambaye hata hamjui binti. Hapo kuna baba kweli.
Unasema binti hafahamiani hata na ndugu mmoja upande wa baba, hapo undugu uko wapi?
Halafu taratibu za mahari za kwenu ni tofauti na watu wengine. Upande wa bi harusi ndio unaoandaa taratibu zote za mahari na namna gani mahari ipokelewe, sio wewe unayepanga.
Weka hapa hiyo maana ya mahari na faida zake kwa wanandoaTatizo mnaendekeza usasa usiyo na maana hata kidogo. Kama hujui maana ya mahari, kaa kimya ujifunze kwa wakubwa zako
Kwa akili yako hapo umeona mali ila haujauna ujumbe wa mahali. [emoji23][emoji23][emoji23] Wanawake tamaa ndio iliwaweka mbali na MUNGU na kuwavuta kwa shetani hii tabia inachefua sana kwakweli mpo rahisi sana kuuza roho zenu kwa shetani mkisikia pesa au mali imetajwa.Kwanini mahari ni ya baba na si ya wote?
Imenikumbusha ya Morocco na world cup.Huyo Kabila lake la Muhammad wala usipate shida kumuuliza hilo swali, labda uliza mila za Waarabu ndio mtaelewana, huyo siyo Mwafrica huyo ni mwislamu na Mwarabu.
Hili swali kama liko upande wa kiislam basi ni simpleHuyu binti kalelewa na mama yake pekee yake. Baba yake yupo hajafa ila binti hajawahi kukutana ana kwa ana na baba yake wala katika upande wa baba yake hamjui ndugu yeyote.
Je, kwa scenario kama hiyo binti anafaa kutolewa mahari na kuolewa?
Na taratibu za mahari zipoje? Kwani navyojua mahari ni ya baba na kama baba hayupo mahari ipokelewe na yeyote upande wa baba yaani shangazi au baba mdogo au mkubwa.
Tatizo taratibu hamzijui mnaanza kutengeneza idea zenu za kipuuzi.Àache dharau...binti ana mama kabisa afu anaulizia pa kupeleka mahari....na waliofiwa na wazazi wote si mtawachukua bure sasa
Haitoshi ni kosa. Huwa mnafanya kimazoea ila ni kosa kubwa sana. Unaanzisha laana ya ukoo kwa mtoto hapo bila kujua. Mtoto ana ancestry line ya kufuata ambayo ni ya baba yake.Wape upande wa mama,waliolea binti inatosha....